01/10/2022
VIAMBATA 13 MUHIMU NDANI YA DETOXIFICATION TEA
Baadhi ya viambata hivyo na kazi zake mwilini
1.GINGER
Anti-inflammatory & analgesic contents. Husaidia kutibu mafundo fundo kwenye koo, maumivu ya kichwa, maumivu ya viungo na changamoto kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
2.PAPAYA
Papain hii inasaidia sana kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kupambana haswa na minyoo na bacteria washambulizi tumboni
3.BLESSED THISTLE
Kupambana na maambukizi mwilini, kuondoa vichakaza seli(free radicals), kuondoa homa ya manjano, kupambana na mashambulizi na magonjwa kwenye ini.
4.PRESIMNON LEAVES
Husaidia kuweka uwiano sawa wa sukari na shinikizo la damu. Nzuri kwa matatizo ya macho na kuongeza kinga ya mwili.
5.MASHMALLO LEAVES
Husaidia kuongeza madini ya calcium, vitamin B, Iron
6.MALVA LEAVES
Husaidia kutibu na kurepair tissue zilizo haribika, kuongeza ufanisi wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, kusaidia kupambana na uzee kwa kuzalisha seli mpya, husaidia watu wenye changamoto ya kukosa usingizi usiku.
7.MYRRH
Husaidia kusafisha mfumo wa mzunguko wa damu, kupambana na maambukizi haswa kwenye damu, kupambana na vichakaza seli
8.CHAMMOMILE
Husaidia kuleta muscle relaxation, watu wenye shida ya kupanda uso, maumivu wakati wa hedhi, husaidia watu wanaokosa usingizi usiku.
9.REISH MUSHROOM
Husaidia kuongeza kinga ya mwili, husaidia kupambana na maambukizi ya virusi, husaidia matatizo ya mapafu, husaidia matatizo ya moyo, husaidia kupunguza mafuta mabaya mwilini, husaidia kuweka uwiano sawa wa mzunguko wa damu.
10.SIBERIAN CHAGA
Husaidia watu wenye changamoto ya asthma, nzuri kwa ajili ya kuondoa maumivu ya viungo, maumivu ya misuli, changamoto kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
11.RED CRANBERRY
Hutumika k**a antibiotic husaidia kupambana na maabukizi ya bacteria k**a Ecoli, husaidia watu wenye UTI chronic, maumivu ya meno, vidonda vya tumbo, mawe kwenye figo, mafundo fundo kwenye koo
12.HOLY THISTLE
Husaidia kupambana na changamoto kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, maumivu ya tumbo, kukosa choo, kupambana na bacteria wabaya tumboni na kuweka Ph ya tumbo sawa
13.MICRO FIBRE
Husaidia kuondoa tatizo la choo kigumu
Tupigie 0763 403040 kuipata chai hii.