DSM Brokers

DSM Brokers DSM BROKERS tunakusaidia kuuza mali yako Au kununua kwa haraka na uhakika Kama viwanja mashamba nyumba magari na vifaa mbalimbali vya Nyumbani ofisini nk

ENEO ZURI KIBIASHARA LINAUZWA BINAFSILocation Tabata sanene chama..Linatazama barabara kuu ya tabata-kinyereziUkubwa sqm...
16/10/2025

ENEO ZURI KIBIASHARA LINAUZWA BINAFSI

Location Tabata sanene chama..

Linatazama barabara kuu ya tabata-kinyerezi

Ukubwa sqm 1064

Lina hati safi kutoka wizara ya ardhi

Panafaa kwa kituo cha mafuta (filling stations) hotel, ukumbi, lodge, nk

Bei mil 650

Kwenye eneo kuna nyumba mbili moja ina vyumba 4 kimoja master, dinning, na sebule na nyingine ina vyumba viwili na sebule...

Gharama za Kupelekwa site 50k

Tuwasiliane Whatsapp/call 0784 919 453,, call 0658 582 977..

Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq

16/10/2025

ENEO LA WAZI LINAKODISHWA..

LINAWEZA KUWEKWA FENSI KWA MAKUBALIANO MAALUMU..

LOCATION: TABATA BIMA

BEI NI MIL 1 KWA MWEZI...

*NOTE* MALIPO YA DALALI YANALIPWA NA MPANGAJI KAMA IFUATAVYO

GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI SH 30,000
COMMISSION YA DALALI MIL 1

TUWASILIANE WHATSAPP & CALL 0784 919 453,, CALL ONLY 0658 582 977
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq


NYUMBA PAGALA (UNFURNISHED HOUSE) INAUZWAIPO MBEZI RUGULUNI KWEMBE DAR-ES-SALAAM-TZ INA ROOM 3 ZA KULALA, KIMOJA SELF, S...
16/10/2025

NYUMBA PAGALA (UNFURNISHED HOUSE) INAUZWA

IPO MBEZI RUGULUNI KWEMBE DAR-ES-SALAAM-TZ

INA ROOM 3 ZA KULALA, KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, CHOO

INAUZWA NA BANK NA MWENYEWE AMEKUBALI KUUZA

UKUBWA NI 18 KWA 20
HUDUMA MUHIMU ZOTE ZIPO

BEI MILIOINI 20 MAONGEZI YAPO

NYUMBA IPO KARIBU NA JENGO LA

mkurugezi ya manispaa ya ubungo

Pikipiki 1000

GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI SH 50,000

TUWASILIANE WHATSAPP & CALL 0784 919 453,, CALL ONLY 0658 582 977
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq




KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSI Ukubwa-sqm 450Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml 7.8 maongezi Location- Mwand...
14/10/2025

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSI

Ukubwa-sqm 450

Umiliki-mauziano serikali za mtaa

Bei-ml 7.8 maongezi

Location- Mwandege vikindu Pwani

Umbali-km 3.8 kutoka main road kilwa road (kiwanda cha Baharesa)

Gharama za Kupelekwa site 50k

Karibuni

Tuwasiliane Whatsapp & call 0784 919 453, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇
https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq






NIMEVUNJA BEI 🔥🔥🔥,,BOSS NJOO TUYAJENGEENEO ZURI SANA, KUBWA LINAUZWA BINAFSILOCATION GOBA MUUNGANO UWANJA WA NYARA DAR-E...
14/10/2025

NIMEVUNJA BEI 🔥🔥🔥,,BOSS NJOO TUYAJENGE

ENEO ZURI SANA, KUBWA LINAUZWA BINAFSI

LOCATION GOBA MUUNGANO UWANJA WA NYARA DAR-ES-SALAAM-TZ,

PLOT SIZE 4073 SQM

PANA MAPAGALA MAWILI

PANAFAA KWA MAKAZI, APARTMENTS ZA BIASHARA, UKUMBI, SHULE, NK

SIFA ZAKE

1. LINATAZAMA BARABARA. LINAWEZA KUFAA KWA MATUMIZI MENGI TOFAUTI

2. LIMEPIMWA

3. NI CORNER PLOT

BEI SASA NI MIL 340 MAZUNGUMZO KIDOGO

Site visit fee 50k

Karibu tukuhudumie boss

CONT Whatsapp +255784919453,, CALL +255 658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq





Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:30

Telephone

+255658582977

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DSM Brokers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to DSM Brokers:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram