29/09/2025
Mfumo wa mzunguko wa damu katika mwili wa binadamu huhusisha MOYO, MISHIPA YA DAMU NA DAMU YENYEWE ambayo huzunguka katika ogani zote za mwili na mifumo yake.
Mfumo wa mzunguko wa damu unapoathiriwa na hali mbalimbali zinazotokana na mtindo wa maisha hasa "Ulaji Usiofaa" huweza kupelekea magonjwa yasiyoambukiza k**a
✅PRESHA
✅KISUKARI
✅SARATANI
✅MATATIZO YA MACHO
✅MATATIZO YA UBONGO
✅MATATIZO YA INI
✅MATATIZO YA FIGO
✅CHANGAMOTO ZA UZAZI
👉Inafaa kuelewa vizuri ni kwa Njia gani Ulaji usiofaa huweza kupelekea magonjwa hayo yasiyoambukiza.