Hepatitis Solutions

Hepatitis Solutions KARIBU KWA CHANGAMOTO YA HOMA YA INI (HEPATITIS). MAWASILIANO PIGA 0625359934

26/04/2025

Nimekuwa nikiwasaidia watu wengi wenye changamoto ya hepatitis kupitia tiba asilia.
Hasa kwa wale ambao hawajapata bado madhara makubwa na hata wale ambao Tayar wameshaanza kupata madhara ya Homa ya ini k**a vile :
1. Kuvimba miguu
2. Kuvimba tumbo
3. Unjano wa macho au ngozi
4. Ngozi kuwasha
5. kubadilika rangi ya kinyesi
6. Kupata saratani ya ini
7. kuchoka sana au maumivu ya mwili

Kwa kudili zaidi na kutibu:

1. Chanzo cha tatizo
2. Tatizo lenyewe na
3. Madhara yatokanayo na Homa ya ini ( hepatitis)

Sasa k**a wewe una hii changamoto au umeanza kupata dalili zozote zile za Homa ya ini au umegundulika kuwa una Homa ya ini (hepatitis) na unahitaji kupona changamoto hii ya hepatitis (Homa ya ini) kwa kupata matibabu sahihi

Basi unaweza kuwasiliana nasi kupitia 0674769934

Lakin pia unaweza kunitumia ujumbe mfupi wa neno DAKTARI nitakupigia. Karibu sana

IJUE HOMA YA INI(hepatitis)INAVYOTESA NA KUUA KIMYA KIMYAHoma ya ini  inapewa uzito hafifu katika jamii yetu ya kila sik...
09/11/2024

IJUE HOMA YA INI(hepatitis)INAVYOTESA NA KUUA KIMYA KIMYA

Homa ya ini inapewa uzito hafifu katika jamii yetu ya kila siku licha ya kuwa ni hatari kubwa sana katika maisha ya binadamu kila uchao.

Miongoni mwa watu wengi katika jamii yetu hawafahamu madhara ya ugonjwa huu wapo wengine ambao hawaufahamu ugonjwa huu kabisa.

Kwa wanaoujua wanakiri kuwa ugonjwa huu Wanasayansi wanaeleza kuwa Hepatitis B (homa ya ini) ni ugonjwa unaoambukizwa kwa urahisi na ni wenye madhara makubwa na uwezo wa kuambukizwa kwa wepesi kuliko UKIMWI.

Kitaalam, ugonjwa huu wa ini husababishwa na virusi vya Hepatitis B(HBV)ambayo vinaathiri mifumo ya utoaji wa sumu katika mwili wa binadamu.

Inaaminika kwamba robo tatu ya watu ulimwenguni wameathiriwa na vimelea vya homa ya ini na wengine milioni 350 wameathirika moja kwa moja.

Hesabu zinaonyesha kwamba homa ya ini huua watu 600,000 kila mwaka sehemu mbalimbali duniani ambayo ni sawa na idadi ya wanaokufa kutokana na maradhi ya homa ya malaria.

SABABU ZINAZOPELEKEA KUPATA HOMA YA INI

✓Ulevi wa kupindukia hasa kwa wale wanaotumia pombe

✓Kuambukizwa kwa kufanya tendo la ndoa kwa kushikana na majimaji ya mwili na mtu aliyeathirika ikiwa ni pamoja na damu, mate, machozi na mkojo na jasho

DALILI ZA HOMA YA INI.

Ugonjwa huu wa ini dalili zake huchukua muda mrefu kuonekana na zikionekana mgonjwa anakuwa tayari amekwisha athirika sana.

✓Mwili kuchoka na kudhofika sana
✓Homa ndogo ndogo
✓Kuumwa na kichwa bila mpangilio.
✓Kusikia kichefu chefu
✓Kukosa hamu ya kula na kupungua uzito
✓Maumivu makali ya tumbo upande wa ini
✓Macho na ngozi kubadilika na kuwa rangi ya manjano
✓Choo kubwa na ndogo kuwa na rangi ya manjano.
✓Kutapika
✓Kuharisha
✓Kuvimba tumbo katika hatua za mwisho

NJIA ZA HOMA YA INI INAVYOAMBUKIZA (MODE OF TRANSIMISSION)

✓Ngono bila kinga k**a kati ya hao wapenzi mmoja wao akiwa ana virusi vya ugonjwa ugojwa wa ini.

✓Kunyonyana ndimi

✓Mama mwenye ugonjwa hasa ule wakati wa kujifungua anaweza kumuambukiza mtoto hata mkunga anae mzalisha

✓Kuchangia damu isiyo salama

✓Kuchangia vitu vyenye ncha kali k**a; sindano, nyembe, hereni

✓Kuchangiana miswaki

✓Kuchangia taulo

✓Watumiaji wa dawa za kulevya wanapochangiana kutumia shindano moja.

Ugonjwa huu unatibika......] Mawasilino 0674769934

Address

#kimara Stopover
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hepatitis Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram