25/09/2024
Hii nimeweka spesho kwa wanawake wanaochanganya U.T.I na Fangasi/P.I.D/kutokwa uchafu unaonuka)....
Kwa kawaida mwanamke ana vishimo viwili, kishomo cha juu ni njia ya mkojo na shimo la chini ndo k yenyewe hapa uume hupita, mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakini pia mwanamke akiwa period, damu hupita hapo..
U.T.I (yutiai inahusiana na njia ya JUU tu, yaani njia ya mkojo, na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo, kutoa mkojo wenye harufu kali sana
kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani, maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus, P.I.D, au hata vaginosis, ila SIO U.T.I📌..
Kuna chochote umejifunza?
Una swali lolote kuhusiana na mambo ya uzazi na ungependa kujua namna ya kujitibia kwa kutumia vyakula, mazoezi na tiba?
Wasiliana nasi kwenye comment, inbox au whatsapp 0744660345