10/11/2025
NIMEPIMA VIPIMO VYOTE VYA UZAZI KWA MWANAMKE SINA TATIZO LOLOTE LAKINI MBONA SIBEBI UJAUZITO?.π€·ββοΈπ€·ββοΈ
Baadhi yetu tumeshajitibu na kujiridhisha kwenye vipimo vyote vya uzazi lakini bado hatujafanikiwa kubeba ujauzito.
"Dr. Sebastian ahsante kwa huduma yako nzuri nimepona kila kitu, nimepima homoni zote ziko sawa, mirija haina shida, mayai yanapevuka vizuri, ute wa uzazi napata, sina uvimbe na hata ultrasound nimepiga zaidi ya tatu niko sawa, hedhi napata vizuri na hata maziwa hayaumi wala kujaa LAKINI kwanini sibebi ujauzito?."π³
Au kwanini sipati period k**a wengine?.π₯Ή
Hili swali wengi linawasumbua bila majibu wala ufafanuzi mzuri.
K**A HUYU NI WEWE FANYA HIVI:π
1. Mwambie mwenza wako (mme) nae akapime kipimo cha wingi na ubora wa mbegu (semen analysis) kwa sababu baadhi ya wanaume pia wana changamoto za Uzazi hasa katika wingi na ubora wa mbegu zake.
2. Punguza matumizi ya dawa za vipodozi (make up) hasa zenye kemikali kali.
Baadhi ya kemikali zilizopo kwenye vipodozi hasa zenye uwezo wa kuchubua ngozi huathiri taratibu katika mishipa ya neva na damu hivo kupelekea uwezo mdogo wa mayai kupevuka au kukomaa. Mfano mwingine dawa/ vipodozi vya kubadili muonekano ukitumika kwa kipindi kirefu unaweza kuchochea madhara katika uwiano wa homoni.
3. Punguza mawazo na jipe miezi 6 upime upya vipimo vyote na katika kipindi hiki unaweza kujipa likizo ya kupunguza safari za mara kwa mara zisizokuwa za lazima kuepuka kubadili mazingira. Maana kubadili mazingira mara kwa mara huchochea homoni kubadilika hasa kupata period kabla ya wakati au kuchelewa kupata period.
4. Punguza uzito endapo una uzito mkubwa lakini pia punguza mazoezi makali k**a wewe ni mpenda mazoezi sana basi fanya mazoezi kwa wastani yasiwe makali sana kwa kipindi kirefu.
5. Katika kipindi unachohitaji ujauzito na hupati kwa wakati jitahidi kupunguza baadhi ya vyakula, vilevi hasa vilevi vikali vyenye wingi wa kafeini ndani yake na punguza pia uraibu mfano kuvuta sigara, sh**ha na uraibu mwingine wenye kufanana na hivyo.
6. Chunguza utokaji wa hedhi yako, mzunguko wako, aina ya damu inayotoka (nyeusi, mabonge, inatoa harufu au yenye utelezi), na ishara zingine ambazo hujitokeza siku kadhaa