Mshauri wa Afya

Mshauri wa Afya Tunatibu kwa seli za mimea,kuanzia chanzo cha tatizo na kuliondoa kabisa.,,
magonjwa yote ,figo,tezi dume,sukari ,presha nk.

24/10/2025

*Kongosho Ni Nini?...*
0716535237
*Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo*
*wa chakula ambayo* *hutoa*
*Insulin hormone* *ambacho ni kichocheo Au homoni ambayo kazi yake ni* *kuondoa glucose katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini na hutumika k**a nishati mwilini*....

Kwa Maan Nyingine Kongosho ni Organ Ambayo huusika na regulation au Kuratibu Sukari Mwilini ...

Kongosho hutoa Chemical iitwayo Insulin Hormone Ambayo huusika na Kubalnce sukari mwilini....

Hivyo changamoto ya kisukari Huaanzia Pale insuline hormone inapotolewa kwa uchache kwenye mwilini...

Okey Subiri Nikuonyeshe Kiundani hii huwa Ndani ya kongosho kuna Aina mbili ya cells Ambazo ni beta cells Na alpha cells...

Mara nyingi Kinachotokea Nini Cells hizi hushindwa kufanya kazi vizuri Na mara nyingi kupelekea kiasi cha insuline hormone kuzalisha kwa kiasi kidogo kwenye kongosho...

Twende Kiundani zaidi👇

Beta cells are cells that make insulin, a hormone that controls the level of glucose (a type of sugar) in the blood...

Maan yake Ni kwamba Beta cells kwa asilimia kubwa ndiyo Muhusika mkuu wa Kusaidia uzalishaji wa insuline hormone kutolewa kwa Ufasaha...

Swali Je ni kiasi gani Cha insuline hormone kinachoitajika kutolea na kongosho?...

Kitaalamu kiasi cha Insuline kinacho hitajika kutolewaa na kongosho kwa siku ni 0.2- 0.5 U/Kg/day Yaan kila siku...

Hapo Huenda Hujanielewa sana ila Hicho kiwango mara nyingi ukiwa na changamoto ya kisukari Huwa Akifikiwi na Huwa chini Apo....

Sasa Unapoenda kutibu Kongosho Maan yake ni Nini...

Ni kwamba Unaenda kusaidia uzalishaji wa Beta cells kwa Wingi kwenye kongosho....

Kila Mtu Atakuambia Nakupa Dawa Yakutibu kongosho Ebu muulize kutibu kongosho kwa Namna Gani...

Hapo Ndipo Tofauti huanza Wewe Mwenye ni shahidi ulipewa Dawa ya kutibu kongosho lakini mtaalamu Aliyekupa iyo dawa hakukupa maelekezo Akinifu ila alikuambia Inatibua kongosho Tumia utanipa majibu mwenywe....

Tuelewe ili Siyo kila Dawa ni kwaajili ya kutibu kongosho Jaribu ili unapataka Kuchukua Dawa kabla ya kutumia au kununua msikilize Vizuri mtu Anayekupa iyo Dawa na Maelezo yake....

Nafikiri Nimekupa mwanga kidogo jinsi kongosho Linavyofanya kazi....

mwisho kabisa Mimi nipo Apa kukusaidia wewe kuondokana na changamoto Kisukari Kwa Kutibu Kongosho Lako.
Afacell inasaidia ,,,kukarabati kongosho haraka.
Mawasiliano.
0716535237
Dar es salaam.

*FAHAMU ZAIDI KUHUSU SARATANI YA MATITI (Breast Cancer)*Mob:0716535237.Follow this link to join my WhatsApp group: https...
10/09/2025

*FAHAMU ZAIDI KUHUSU SARATANI YA MATITI (Breast Cancer)*
Mob:0716535237.
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DW9Yc9VSq04L8brcUgSjnI?mode=ems_share_c
*➡️ Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum.*

Saratani ya mat**i hutokea kwenye t**i ambalo kwa kawaida lina sehemu ya kutengeneza maziwa ijulikanayo k**a lobules na aina fulani ya mishipa inayounganisha hizi lobules na chuchu za t**i. Sehemu kubwa iliyobakia ya mat**i inajumuisha mafuta na tishu ambazo kitaalamu tunazoita connective and lymphatic tissue. Saratani ya mat**i inayotokea kwenye lobules huitwa lobular carcinoma na ile inayotokea kwenye ducts huitwa ductal carcinoma.

Baadhi ya saratani ya mat**i zinaongeza ukubwa kutokana na kuwa na vishikizi aina ya receptors zinazojulikana k**a estrogen receptors kwenye seli zao ambazo husababisha ukuaji wa saratani ya mat**i.

*➡️Vihatarishi vya Saratani*

Kuna mambo kadhaa ambayo yameonekana kuwa na uhusiano, ama wa moja kwa moja au kwa kupitia vitu vingine, wa kusababisha saratani ya mat**i, au kumfanya mtu au kundi la watu kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa huu kuliko wengine. Mambo hayo ni pamoja na

1️⃣ *Jinsia:*
Ingawa, saratani ya mat**i huweza kutokea kwa wote wanawake na wanaume, imeonekana kuwa wanawake ni waathirika wakubwa zaidi wa saratani hii ikilinganishwa na wanaume.
2️⃣ *Umri:* Uwezekano wa kupata saratani hii huendana na umri wa mtu. Kadiri umri wa mtu unavyoongezeka ndivyo pia uwezekano wa kupata saratani hii unavyozidi kuwa mkubwa.

3️⃣ *Uzazi:* Wanawake ambao hawajazaa au kunyonyesha wapo kwenye hatari kubwa ya kupata saratani ya mat**i. Wanawake wanaopata ujauzito kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30 nao pia wapo kwenye hatari kubwa ya kupata saratani hii.

4️⃣ *Historia ya ugonjwa huu katika familia:* Wanawake walio katika familia zenye historia ya ugonjwa huu wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya mat**i ukilinganisha na wale ambao hawana historia ya ugonjwa huu katika familia zao.

5️⃣ *Umri wa kuvunja ungo:*
Wanawake wanaovunja ungo (kupata hedhi) kabla ya umri wa miaka 12 wapo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa .

Huduma ya tiba ya seli imesaidia wengi,saratani aina zote ,,,,stage zote na kupambana na complication zote za Kansas,hakuna haja yakusafiri nje ya nchi siku hizi tiba zimeingia nchini.
Ili kupata huduma ya seli na kupona tuwasiliane nikushauri kitu chema ,utamshukuru Mungu baadae.
In vema mgonjwa uwahi ukiwa hatua za awali usisubirie upo katika hali mbaya,,,,.
Mawasiliano,+255743225237
WhatsApp.
Dar es salaam.
Popote tutakufikia.
Ofisi zipo sky city mall ,opposite na mlimani city Dar es salaam.

JE UMETESEKA NA MAGONJWA SUGU KWA MUDA MREFU?     https://chat.whatsapp.com/GZlnfwoqfJGEpxQdUQi3K1?mode=ems_share_c  Je,...
28/08/2025

JE UMETESEKA NA MAGONJWA SUGU KWA MUDA MREFU? https://chat.whatsapp.com/GZlnfwoqfJGEpxQdUQi3K1?mode=ems_share_c Je, umekata tamaa ya kupona?Je umetumia madawa mengi bila mafanikio?Na je umeambiwa tatizo lako haliwezi kupona?Usijali ,usikatishwe ama kukata tamaa suluhisho tunalo ambalo ni DOUBLE RED ROSE STEMCELL.https://chat.whatsapp.com/GZlnfwoqfJGEpxQdUQi3K1?mode=ems_share_c
Mwili ni mkusanyiko wa seli k**a mtu ni mgonjwa seli ni dhaifu na hazifanyi kazi vizuri..
Kazi ya DOUBLE RED ROSE, NI;
1.Kuzipa cell upya
2.Kurejesha seli zilizokufa ziamke na kuanza kufanya kazi
3.Hurekebisha seli zilizoharibika ama zilizolala ziweze kufanya kazi vizuri
4.Husafisha damu na kuondoa lehemu( cholesterol)
5.Hufufua seli zilizozeeka
6.Hurejesha utendaji wa kazi upya.
*DOUBLE RED ROSE* huondosha magonjwa kuanzia katoka chanzo ni katika cell na pia humkinga MTU na maradhi mapya.
Maradhi yanayotibika na DOUBLE RED ROSE ,nimengi ,Mimi nakuorodheshea machache.Kila ugonjwa inatibu tofauti ni dozi.
Magonjwa yanayotibiwa na DOUBLE RED ROSE,;NI,
1.KISUKARI
KANSA AU SARATANI AINA ZOTE STAGE ZOTE,HATA K**A UMESHATUMIA MIONZI NIPIGIE
VIDINDA VYA TUMBO
KIHARUSU AU STROKE
TEZI DUME
UVIMBE TUMBONI
HOMA YA INI,PINGILI ZA MGONGO,MAGONJWA YA MAPAFU,BANDAMA,,
KIUNO MGONGO,UTI,PID
Kwa maulizo,ushauri na kupata tiba,.
Mawasiliano 0716535237
0743398872
Tupo jirani na mabibo hostel na Buguruni Malapa jirani na Amazon college / barabara ya Uhuru.

*Mungu ametupa mimea kwa tiba na chakula*
Karibu Mungu bado anakupenda.

JE UMETESEKA NA MAGONJWA SUGU KWA MUDA MREFU? Je, umekata tamaa ya kupona?Je umetumia madawa mengi bila mafanikio?Na je ...
28/08/2025

JE UMETESEKA NA MAGONJWA SUGU KWA MUDA MREFU? Je, umekata tamaa ya kupona?Je umetumia madawa mengi bila mafanikio?Na je umeambiwa tatizo lako haliwezi kupona?Usijali ,usikatishwe ama kukata tamaa suluhisho tunalo ambalo ni DOUBLE RED ROSE STEMCELL.
Mwili ni mkusanyiko wa seli k**a mtu ni mgonjwa seli ni dhaifu na hazifanyi kazi vizuri..
Kazi ya DOUBLE RED ROSE, NI;
1.Kuzipa cell upya
2.Kurejesha seli zilizokufa ziamke na kuanza kufanya kazi
3.Hurekebisha seli zilizoharibika ama zilizolala ziweze kufanya kazi vizuri
4.Husafisha damu na kuondoa lehemu( cholesterol)
5.Hufufua seli zilizozeeka
6.Hurejesha utendaji wa kazi upya.
*DOUBLE RED ROSE* huondosha magonjwa kuanzia katoka chanzo ni katika cell na pia humkinga MTU na maradhi mapya.
Maradhi yanayotibika na DOUBLE RED ROSE ,nimengi ,Mimi nakuorodheshea machache.Kila ugonjwa inatibu tofauti ni dozi.
Magonjwa yanayotibiwa na DOUBLE RED ROSE,;NI,
1.KISUKARI
KANSA AU SARATANI AINA ZOTE STAGE ZOTE,HATA K**A UMESHATUMIA MIONZI NIPIGIE
VIDINDA VYA TUMBO
KIHARUSU AU STROKE
TEZI DUME
UVIMBE TUMBONI
HOMA YA INI,PINGILI ZA MGONGO,MAGONJWA YA MAPAFU,BANDAMA,,
KIUNO MGONGO,UTI,PID
Kwa maulizo,ushauri na kupata tiba,.
Mawasiliano 0716535237
0743398872
Tupo jirani na mabibo hostel na Buguruni Malapa jirani na Amazon college / barabara ya Uhuru.

*Mungu ametupa mimea kwa tiba na chakula*
Karibu Mungu bado anakupenda.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshauri wa Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram