Health hub solution

Health hub solution Nawasaidia Wanawake Wenye Changamoto ya Uzazi Kupata Mtoto Kupitia Tiba Lishe

16/01/2026

Ni kweli una viungo hivi ndani je! unaitumia kwa usahihi?
K**a lengo lako ni kupata matokeo ya kuweka homoni sawa, kuondoa au kupunguza maambukizi ya ukeni na kukuwezesha kupata ujauzito basi ni muhimu kutumia vitu hivi kwa mpangilio mzuri na katika kiwango sahihi.

Kufahamu haya yote comment kiungo
Mawasiliano zaidi 0787070597

15/01/2026

Kwa usaidizi zaidi ushauri, tiba na muongozo wasiliana nasi 0787070597

15/01/2026

Unakabiliwa na ukavu ukeni?
Hizi njia mbili za asili zinaweza kukusaidia!
Ukavu ukeni unaweza kusababishwa na mabadiliko ya homoni, hasa baada ya hedhi au wakati wa stress. Sasa auntie anza na hii kitu

πŸ“ŒKarafuu
Chemsha karafuu 7–10 kiasi cha kikombe kimoja na nusu cha maji kwa dakika 10.
Kunywa mara moja kwa siku kwa siku 5–7.
Husaidia kuongeza mzunguko wa damu kwenye uke na kusaidia unyevu kurudi.

πŸ“Œ Maji ya Bamia
Loweka vipande vya bamia 4–5 kwenye maji ya uvuguvugu au baridi usiku kucha.
Kunywa kila asubuhi kwa siku 7–10.
Husaidia kulainisha na kuleta unyevu wa asili ukeni ikiwa utatumia kwa mwendelezo.

Muhimu πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
Hakikisha pia unapata lishe bora kwa kutumia pia vitu vingine vyenye virutubisho muhimu k**a parachichi kwa matokeo bora zaidi.

Unahitaji mpangilio kamili wa lishe & dose ya kuondokana na ukavu ukeni wasiliana nasi 0787070597

WanawakeNaAfya

14/01/2026

14/01/2026

Ili kuweza kupata matokeo sahihi basi inabidi utumie kitu katika mpangilio usahihi, kiasi sahihi na muda sahihi.
Usitumie vitu kwa mazoea ndio maana unajikuta hupati matokeo unayohitaji, hivyo utazidi kuona wengine wanapata matokeo kwasababu walijua mapema tips za kuzingatia katika matumizi ya tiba za asili.

Basi mdio maana tupo kukusaidia pia kutambua mbinu hizo ambazo zitakusaidia kutumia tiba hizi za asili na kukusaidia kupata matokeo unayohitaji.

Unachotakiwa kufanya sasa ni kuwasiliana nasi ili uweze kupata siri hizi za uponyaji sasa.
WhatsApp/call
0787070597

14/01/2026

Sahani yako ndio inaanza kujilisha hali yako ya afya ikoje, maana ikiwa unamatarajio ya kuwa mama au kuweka sawa homoni zako na kupata hedhi ya kueleweka basi utajua pia nini ule na nini upunguze au kuacha kabisa.

Ndio maana tumekuandalia mpangilio maalumu wa lishe wewe mwanamke ambae unahitaji kuleta uhai katika kizazi chako na homoni zako pia

Ili kupata mpangilio huu wa lishe wasiliana nasi sasa
WhatsApp/call 0787070597
🍌

13/01/2026

Kwa Mahitaji ya mbegu za chia na muongozo sahihi wa kutumia wasiliana nasi sasa WhatsApp/call 0787070597

13/01/2026

Shot hii ni nzuri kutumia hasa wakati wa asubuhi kabla ya kula kitu chochote.

Mwanamke usiendelee kuishi kwa kusikilizia hedhi itakuja lini huu ndio wakati wako wa kufahamu kwa usahihi mzunguko wako...
12/01/2026

Mwanamke usiendelee kuishi kwa kusikilizia hedhi itakuja lini huu ndio wakati wako wa kufahamu kwa usahihi mzunguko wako.

Haitakuepusha na aibu tu ndogo ndogo za kupata hedhi kwa gafla yani bila kufahamu siku mahususi au kuwa na mategemeo ndani ya siku hiyo.

Ndio maana njia hii ni mahususi kukusaidia kufahamu mzunguko wako kwani itakufanya kujua siku zako wa hedhi, kuepuka na mimba za kutotarajia au kupanga lini unahitaji kupata ujauzito.

K**a ni kipindi kirefu sasa hedhi yako imekuwa haieleweki yani Mvurugiko wa homoni imekuwa shida mpaka kufanya mzunguko kuto eleweka, wasiliana nasi sasa kupata suluhisho, ushauri pamoja na tiba husika.

WhatsApp/call
0787070597

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health hub solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram