10/11/2025
๐ง๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฎ 5 ๐๐ฎ ๐ฎ๐๐๐ฏ๐๐ต๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ ๐ณ๐ถ๐ด๐ผ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ.
Figo ni miongoni mwa viungo muhimu zaidi katika mwili wa binadamu vinavyofanya kazi nyingi muhimu. Mbali na kuchuja damu, figo husaidia kutoa maji mwilini na kuondoa taka. Kadri muda unavyopita, figo zinaweza kudhoofika na kushindwa kufanya kazi ipasavyo.
Wakati ugonjwa wa kisukari, unywaji pombe, na unene uliopitiliza ni sababu zinazojulikana za ugonjwa sugu wa figo (Chronic Kidney Disease โ CKD), lakini pia kuna tabia nyingine zinazo weza kuharibu figo zako k**a zifuatazo.
1. ๐๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐จ๐ฃ๐จ๐ ๐๐ฌ๐ฎ๐๐ฎ๐ก๐ข.
Mara tu unapo amka mwili huitaji kutoa mkojo, kitendo hicho hurahisisha utendaji wa figo na kudumisha uimara wa kibofu.
Kubana mkojo wa asubuhi husababisha shinikizo kwa figo na kibofu kwa wakati mmoja na kusababisha udhaifu wa misuli ya kibofu, huongeza hatari ya maambukizi.
2. ๐๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐ฆ๐๐ซ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฆ๐ค๐.
Figo zako hupata ukavu (dehydration) wa kiwango kidogo kutokana na kutokunywa maji usiku kucha. Figo zinahitaji maji ya kutosha ili ziweze kuondoa taka mwilini ipasavyo.
Ukikosa kunywa maji asubuhi, unazifanya figo zifanye kazi kwa shida zaidi. Watu wengi hupendelea kunywa kahawa au chai asubuhi, lakini vinywaji hivi vina kafeini ambayo ni diuretic โ humfanya mtu kukojoa mara kwa mara na hivyo kupoteza maji mengi mwilini, jambo linaloongeza ukavu wa mwili.
3. ๐๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ณ๐จ๐๐ณ๐ข.
Mazoezi ya asubuhi ni mazuri kwa afya yako, lakini usipokunywa maji ya kutosha baada ya mazoezi, figo zako zinaweza kudharaika. Kadri unavo tokwa jasho maji na virutubisho muhimu hupotea mwilini, jambo linalosababisha utendaji duni wa mwili na kuzuia figo kusafisha damu kwa usahihi.
4. ๐๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐๐ฐ๐ ๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐๐ข๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐.
Watu hutumia dawa k**a Panadol na aspirin kutibu maumivu ya asubuhi, lakini kuzichukua bila kula kwanza huwaathiri figo zao.
Dawa hizi, zinazoitwa NSAIDs, hupunguza mtiririko wa damu kwenye figo, na kusababisha maumivu ya figo na kudharaika kwa matumizi ya mara kwa mara. Kula dawa hizi bila chakula huongeza msongo kwa figo, kwani chakula hulinda figo kutokana na kemikali hatari za dawa.
5. ๐๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ค๐ ๐ฆ๐ฅ๐จ ๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐ฎ๐๐ฎ๐ก๐ข.
Watu wengi huruka mlo huu ili kupunguza uzito au kutokana na ratiba zao za kazi. Hata hivyo, baada ya kuruka mlo huu hufuatisha kula vyakula vyenye chumvi nyingi, jambo linaloongeza kiwango cha sodiamu mwilini.
Pia, kukosa kula kwa muda mrefu husababisha kiwango cha sukari damu kusawazika na kuongeza asidi mwilini. Hii huongeza mzigo kwa figo, kwani figo zinahitaji kusawazisha kemikali mwilini na kutoa taka.
Hizi ni tabia zinazo onekana za kawaida k**a huja pata ugonjwa wa figo, ila ikitokea umepata tatizo hili jua hii itakuwa sheria kwako kufanya hivo.
Dr. Allen.๐น๐ฟ.
0749639292.