Dr Jaafar Zengwe Makarama

Dr Jaafar Zengwe Makarama Njoo upate suluhisho la Majini yanayokusumbua,Kinga za majumba,mwili mvuto na Makarama mbalimbali call me +255753123445 sema halow Dr Makarama .

Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh enyi vipenzi vyangu mpo salaamaa? nawatakieni Ijumaa kariim
10/10/2025

Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh enyi vipenzi vyangu mpo salaamaa? nawatakieni Ijumaa kariim

04/04/2025

🏞ELIMU YA UTAMBUZI 🏔🎠SEHEMU YA PILI
IJUE NGUVU YAKO YA ASILI

Katika ELIMU ya nguvu iliyopo ndani kiasili ,huwa imejificha sana lakini pia huonekana kwa watambuzi,
TAMBUA
Kila kiumbe kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu kina ujuzi wa kipekee na utambuzi wa elimu kabla ya kufundishwa au kujijua zaidi basi anauwezo wa kujua vitu vingi, kusikia mbali, kujua matukio yajayo na ya sasa hata yaliyopita

Mfano halisi upo katika viumbe wote ila nitazungumzia mwanaadamu yaani bin adam (uzao uliotokana na NABII wa kwanza ADAM) ndie muwakilishi wetu

MTOTO
Kabla ya kuzaliwa mtoto ikiwa anajulikana kuwa kuna kiumbe kinakuja(mama akiwa mjamzito) taarifa zitawafikia wengi hata usiposema basi nuru ya uwepo wa mtoto huyo hujulikana kabla ya kusema au kujua
Hapa ndipo utapata kuona wazazi au watu wanaotuzunguka kumjua mtu ni mjamzito kabla hata yeye mwenyewe hajajua
Je, ni kwanini.?
Ni kutokana na nguvu ya kiumbe hicho inajionesha kabla ya ujio wake, hata mnyama au mdudu atajua kuwa kuna kiumbe anakuja na ndio maana, mjamzito hupata ishara mbalimbali za kusikia kitu,kuhisi, kutembelewa na viumbe tofauti watakao onesha ujio wa mtoto k**a chura,nyoka,mjusi,paka,mbwa nakadhalika(n.k)
Pia hata hali ya hewa inaweza kubadilika k**a upepo mkali au tulivu,mvua, radi,jua kali ,joto,baridi n.k,
MZAZI ukiwa makini basi utaitambua nguvu ya mtoto wako mapema sana na kumfanya awe na nguvu kwa makuzi ,maadili, malezi na mienendo mizuri kwa kufuata asili yake pindi utakapo ijua nguvu yake utapata kuijua kinga yake mapema kabla ya kuzaliwa kwake ,WAZAZI wote wanahitajika kuelewa hili ili wapate kuikomboa nguvu ya mtoto kabla ya muongozo wake kudhibitiwa kwani muongozo ndio unao itumia nguvu, na nguvu hiyo ni msaada kwa wengi waliopotea au kupoteza,

Niwaeleweshe kidogo, muongozo uliokuwa nao ndio unaoweza kuitumia nguvu na kukufanya wewe ujijue na uweze kufanya kitu ,na ndio maana nilitoa elimu ya kuwa nyota haichukuliwi wala kuibiwa ila inadhibitiwa na kupotezewa muelekeo kwa maana ya muongozo

Assalaamu alaykum jamiiaaTuzidishe kufuturishana Kheri kubwa itapatikana inshaa AllaahPia tuzidishe Dhikri na Dua.
24/03/2025

Assalaamu alaykum jamiiaa

Tuzidishe kufuturishana Kheri kubwa itapatikana inshaa Allaah
Pia tuzidishe Dhikri na Dua.

Karibuni saanaa
24/01/2025

Karibuni saanaa

Ewe mja mwenye meengi matatizo njoo nikufanyie Dua na makarama kwa uwezo wa Allaah utakaa vizuur

Napatikana morogoro mjini
WhatsApp Number +255 753 123 445
Nyoote nawakaribisha.

Ewe mja mwenye meengi matatizo njoo nikufanyie Dua na makarama kwa uwezo wa Allaah utakaa vizuurNapatikana morogoro mjin...
24/01/2025

Ewe mja mwenye meengi matatizo njoo nikufanyie Dua na makarama kwa uwezo wa Allaah utakaa vizuur

Napatikana morogoro mjini
WhatsApp Number +255 753 123 445
Nyoote nawakaribisha.

Je wataka kupata mafanikio? Baasi njoo upate pete ya Bahati WhatsApp number +255753123445 pia utapata Dua na makarama
12/01/2025

Je wataka kupata mafanikio? Baasi njoo upate pete ya Bahati
WhatsApp number +255753123445 pia utapata Dua na makarama

12/01/2025

Elimu ya Majini na viumbe visivyoonekana kiurahisi kwasasa wasomi wake weengii wamekimbia na.kuiacha kabisaa wengi wetu tumejazana kwenye elimu ya Madawa kununua vitaabu vya kiswahili na nk lkn niwaambie ukweli siri kubwa ipo kwenye kumiliki na kuwatumikisha nahapo ndio utakua umefika kwenye kilele cha Utabibu nawakaribisha nyoote kwenye peji yangu hii mpya Tutaenda kufahaamu mambo mbalimbali karibuni saanaa na pia kwamawasiliano.Zaidi WhatsApp number +255753123445 Nyooteee mnakaribishwa.

Address

+255753123445
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Jaafar Zengwe Makarama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category