Nuru Bee Product

Nuru Bee Product Bee scientist,
Managing director of NuruBeeProduct,
Trainings| Teamplayer.

13/03/2026

Asali Unayohitaji kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya wateja wako Tunayo Sisi




13/03/2026

Save the bees, save your life




12/03/2026

Micro engineers 🐝 🐝 help us to produce a pollen, protein supplements




🍯 Dhahabu Safi ya KitanzaniaJipatie  Asali asilia 🌿Moja kwa moja kutoka misitu ya Tanzania. Asali asilia, na inayobubuji...
12/03/2026

🍯 Dhahabu Safi ya Kitanzania

Jipatie Asali asilia 🌿Moja kwa moja kutoka misitu ya Tanzania. Asali asilia, na inayobubujika kwa nguvu za asili za uponyaji.
Ongeza kinga, tuliza roho yako, na onja asili ya pori!

🐝💛zimebaki chache wasiliana nasi ili kuagiza yako leo!

Kuanzia 7,000/= /
Yafanye maisha yako kuwa matamu sasa. 🇹🇿
0767650968












10/03/2026

Mavazi ya kujikinga wakati wa kulinia asali kwa ajili ya kampuni, watu binafisi na Taasisi utayapata kwetu.

Ubora wa kifalme bei ya kizawa



Kwa Mahitaji yako ya Asali Asilia yenye kukidhi mahitaji ya wateja wako. Karibu Nuru Bee Products. Ubora wa kifalme bei ...
04/03/2026

Kwa Mahitaji yako ya Asali Asilia yenye kukidhi mahitaji ya wateja wako.
Karibu Nuru Bee Products.
Ubora wa kifalme bei ya kizawa.
Tunapatikana Mwenge mpakani




Asali  Unayohitaji Tunayo sisi Nuru Bee Products. Kwa Bei ya jumla na reja reja.
04/03/2026

Asali Unayohitaji Tunayo sisi Nuru Bee Products.
Kwa Bei ya jumla na reja reja.





26/02/2026

Sustainable beekeeping practices




Ubora wa bidhaa  huanzia kwenye  Uchakataji. Sisi Nuru Bee Products  tunaamini kwenye ubora wa bidhaa ambao mteja hatoju...
24/02/2026

Ubora wa bidhaa huanzia kwenye Uchakataji.
Sisi Nuru Bee Products tunaamini kwenye ubora wa bidhaa ambao mteja hatojutia pesa yake.
Karibu ujipatie machine za kuchakata Asali asilia.

19/02/2026

🌿 Buzz Alert! 🌿

Nuru Bee Products is thrilled to launch our Premium Bee Propolis, nature's powerhouse for immunity and vitality straight from Tanzanian hives! 🐝💚

Fight inflammation, soothe wounds, and supercharge your wellness routine with this golden gift from bees.

Limited launch stock – grab yours now and let propolis propel you to peak health!

***************
🌿 Habari Njema🌿

Nuru Bee Products inayo furaha kuzindua Premium Bee Propolis (Gundi ya Nyuki), nguvu ya asili ya kinga na uhai kutoka kwa mizinga ya Tanzania! 🐝💚

Pambana na kuondoa uvimbe,
Hutibu vidonda vya tumbo, huponya majeraha ya kuungua na moto, na uimalishe afya bora ukitumia zawadi hii ya dhahabu kutoka kwa nyuki.

Zipo chache jinyakulie yako sasa na uruhusu propolis ikusaidie kupata kilele cha afya njema!

Tunapambana mwenge mpakani Dar es Salaam.
0767650968


09/02/2026

Ubora wa kifalme bei ya kizawa

Wapendwa WETEJA wangu wa Thamani.
Ile asali ya nyuki wadogo asilia utaipata kwetu.

Tunapatikana Mwenge mpakani Dar es Salaam.

Pia unaweza kuweka oda na kulipia tunakuletea mpaka Nyumbani au ofisini kwako

Bees of the acacia belt , honey that honors biodiversity and care
09/02/2026

Bees of the acacia belt , honey that honors biodiversity and care

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nuru Bee Product posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram