Gba Royal salon

Gba Royal salon Karibu GBA ROYAL SALON- pumzika, Tulia, Ng’ara��

✨ Ngozi yako ina thamani! ✨Facial sio hanasa – ni huduma muhimu kwa ngozi yako kupumua, kupona, na kung’aa! 🌿Tunza uso w...
16/06/2025

✨ Ngozi yako ina thamani! ✨
Facial sio hanasa – ni huduma muhimu kwa ngozi yako kupumua, kupona, na kung’aa! 🌿
Tunza uso wako k**a malkia au mfalme, maana ni kitu cha kwanza watu huona 👑

📍 GBA Royal Salon – Experience the difference
📞 Piga simu au WhatsApp: +255 752 981 735

GBA Royal Salon inawatakia Eid al-Adha njema — kwa uzuri wa ndani na nje! 🌙✨
07/06/2025

GBA Royal Salon inawatakia Eid al-Adha njema — kwa uzuri wa ndani na nje! 🌙✨

Jipe zawadi ya utulivu na afya kwa full body massage kwa 50,000 tu!Tunatumia mbinu za kitaalamu kukupa uzoefu wa kipekee...
14/05/2025

Jipe zawadi ya utulivu na afya kwa full body massage kwa 50,000 tu!
Tunatumia mbinu za kitaalamu kukupa uzoefu wa kipekee wa kupumzika na kuondoa msongo wa mawazo.

Wahi sasa!
Wasiliana nasi kwa bookings kupitia WhatsApp au simu: +255 752 981 735

Tunawatakia Pasaka yenye furaha, amani na upendo.Happy Easter from GBA ROYAL SALOON!
20/04/2025

Tunawatakia Pasaka yenye furaha, amani na upendo.
Happy Easter from GBA ROYAL SALOON!

Huu mwezi usijinyime, jipe time upendeze!🔥🔥🔥Royal Salon tumekuwekea madili ya kibabe kwa ajili yako – kuanzia scrub, mas...
10/04/2025

Huu mwezi usijinyime, jipe time upendeze!🔥🔥🔥
Royal Salon tumekuwekea madili ya kibabe kwa ajili yako – kuanzia scrub, massage hadi sauna… kila kitu cha kukuweka fresh!

Chagua kifurushi chako:
• Grand Glamour – full body glow, scrub, sauna na zaidi
• Majestic Treatment – massage, pedicure, manicure & wax
• Lavish – facial ya nguvu na touch ya mrembo kamili

Ofa ni mpaka tarehe 30 April 2025 – usibaki nyuma!
Booking?

Tupigie au tupate WhatsApp: +255 752 981 735
Location: Kigamboni Mikwambe, karibu na Mikwambe Dispensary.

Happy karume day 🇹🇿
07/04/2025

Happy karume day 🇹🇿

Msimu huu wa baraka, pumzika, rejea nguvu na ujipe mwonekano mpya na ofa maalum kutoka Royal Salon! 💆‍♀️💅✅ Facial✅ Body ...
04/04/2025

Msimu huu wa baraka, pumzika, rejea nguvu na ujipe mwonekano mpya na ofa maalum kutoka Royal Salon! 💆‍♀️💅

✅ Facial
✅ Body Scrub
✅ Waxing
✅ Massage

Na k**a haitoshi… WiFi, Matunda & Fresh Juice BURE kwa kila mteja anayechagua huduma zetu! 🍹🍉📶

📍 Tunapatikana Kigamboni Mikwambe
📞 Piga simu sasa: +255 752 981 735

💖

Eid Mubarak kwa wateja wetu wapendwa! 🌙✨ Tunawatakia furaha, amani, na baraka tele katika siku hii takatifu. Asanteni kw...
31/03/2025

Eid Mubarak kwa wateja wetu wapendwa! 🌙✨ Tunawatakia furaha, amani, na baraka tele katika siku hii takatifu. Asanteni kwa kutuamini katika safari yenu ya utulivu na urembo. Karibu ujipatie huduma za spa ili kusherehekea Eid ukiwa na mwonekano na hisia safi! 💆‍♀️🌿

27/03/2025

MAMBO NI MENGI MUDA NI MCHACHE NJOO UONDOE DEAD SKIN YAKO HAKUNA KUTIA HURUMA MSIMU HUU SHEHEREKEA SIKUKUU ZA EID UKIWA NA MUONEKANO MZUR NA WAKUVUTIA🔥🔥🔥✨✨Njoo sasa TukuhudumieFOR BOOKING INQUIRIES CALL/WHATSAPP VIA 0752 981 735.📍 Kigamboni, Mikwambe street. Near Mikwambe dispensary .

27/03/2025

Boresha mwili wako leo kuelekea sikukuu za Eid tuna ofa maalum kwa wale wanaohangaika na vitambi changamkia hii fursa sio ya kukosa😛🔥🔥Boresha mwonekano wako leo! 📅📍 Kigamboni, Mikwambe street. Near Mikwambe dispensary .📞 Piga simu / WhatsApp:0752 981 735

🌙✨ RAMADHAN OFFER! ✨🌙Msimu huu wa baraka, pumzika, rejea nguvu na ujipe mwonekano mpya na ofa maalum kutoka Royal Salon!...
14/03/2025

🌙✨ RAMADHAN OFFER! ✨🌙

Msimu huu wa baraka, pumzika, rejea nguvu na ujipe mwonekano mpya na ofa maalum kutoka Royal Salon! 💆‍♀️💅

✅ Gravid Package – 60,000 (Massage, Pedicure & Manicure)
✅ Love Birds – 80,000 (Facial, Body Scrub, Waxing)
✅ Majestic Treatment – 100,000 (Sauna, Massage, Waxing, Pedicure & Manicure)

Na k**a haitoshi… WiFi, Matunda & Fresh Juice BURE kwa kila mteja anayechagua huduma zetu! 🍹🍉📶

📍 Tunapatikana Kigamboni Mikwambe
📞 Piga simu sasa: +255 752 981 735

💖

12/03/2025

Jali Mwili Wako kwa Massage na Scrub ya Kipekee! 💆‍♀️✨

Pata utulivu wa mwili na ngozi laini kupitia huduma zetu bora za massage na body scrub. Tunakusaidia kupunguza msongo wa mawazo, kuondoa uchovu, na kurejesha mng’ao wa ngozi yako.

🔹 Full body massage – Kupumzisha na kulegeza misuli
🔹 Deep tissue massage – Kuondoa mkazo wa misuli
🔹 Body scrub – Kuondoa seli zilizokufa na kulainisha ngozi
🔹 Aromatherapy massage – Kupunguza stress na kuamsha hisia chanya

FOR BOOKING INQUIRIES CALL/WHATSAPP VIA 0752 981 735.
📍 Kigamboni, Mikwambe street. Near Mikwambe dispensary .

Jitunze, jipe nafasi ya kupumzika na kung’aa! ✨

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gba Royal salon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category