Afya Yangu

Afya Yangu Hi!!karibu Tunatoa huduma ya kutoa sumu mwilini,pia tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima

TANGAZO TANGAZO TANGAZOTAASISI YA ETERNAL INTERNATIONAL INAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAZEE,VIJANA,WAKUBWA ,WATOTO,WANAU...
13/10/2025

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

TAASISI YA ETERNAL INTERNATIONAL INAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAZEE,VIJANA,WAKUBWA ,WATOTO,WANAUME NA WANAWAKE..

KUWA IMELETA OFFER YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA BEI NAFUU YA SHILINGI ELFU30,000/=TU.

UTAPATA FAIDA YA KUJUA AFYA YAKO UTAPATA FAIDA YAKUONANA NA MADAKTARI WABOBEZI LAKINI UTAPATA KUJUA NININI KINAKUSUMBUA

WAHU SASA UJE UJUE AFYA YAKO NA UJUE NINI KINAKUSUMBUA,TUNAPATIKA TANZANIA NZIMA KWA UPANDE WA DAR ES SALAAMA TUNAPATIKANA NJIA PANDA YAKIGOGO ,,KWA MAWASILIANO ZAIDI NIPIGIE NAMBA/WHATSUP NAMBA 0618068878

karibu tako
afya yako
afya yako
afya yako
na kukuthamini

FIBROID(UVvimbe kwenye kizazi)Ni hali ambapo kuna kuwa na tishu isiyo yakawaida ndani ya mji wa mimba au karibu kabisa n...
19/07/2025

FIBROID(UVvimbe kwenye kizazi)

Ni hali ambapo kuna kuwa na tishu isiyo yakawaida ndani ya mji wa mimba au karibu kabisa na mji wa mimba(uterus)

☆Uvimbe kwenye kizazi(fibroid) hii ndy aina maarufu ya uvimbe kwenye kizazi unaweza kuitwa pia
-MYOMA
-LEIOMYOMA

SIFA
-Ni vimbe zisizo na kansa
-Hutokana na ukuaji wa ukuta wa kizazi
-Ukubwa wake hutofautiana unaweza kuwa vidogo k**a maharage au ukubwa k**a ndimy
-Huweza kuotandani,nje au kwenye ukuta wa ndani unaobeba mimba

DALILI ZAKE
▪︎Kupata hedhi nzito na yamuda mrefu
▪︎Maumivu kwenye kinena/maumivu wakati wa tendo
▪︎Kupata choo kigumu
▪︎Ugumu wakushika/kuharibika mimba
▪︎kubanwa kwa kibofu cha mkojo/kukojoa mara kwa mara

SABABU
SAbabu za ugonjwa huu hazijajulikana kikamilifu,ila kuna baadhi ambazo zimegundulika ambazo ni
▪︎Homoni(estrogen na progesterone inachangia ukuaji wa fibroid)
▪︎kurithi
▪︎Uzito mkubwa
▪︎Umri wa kuzaa

MADHARA
▪︎Ugumba
▪︎kuchelewa kuzaa au ugumba
▪︎Kansa

NI WATU GANI AMBAO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA HUU!?
Wenye hatari zaidi yakupata ugonjwa huu ni
☆Wanawake wenye umri kuanzia miaka30 hadi 45
☆wenye historia na ugonjwa huu kwenye ukoo wao
☆Uzito uliopitiliza

MATIBABU
Matibabu yake yanategemea na ukubwa,sehemu na dalili zake
-Kufanya vipimo mara kwa mara
-vidonge
-Operesheni
-Mionzi

Hivyo basi wanawake wengi wa kiafrika wannathirika zaidi na huu ugonjwa pasipo kupata matibabu stahiki,hivyo bhc taasisi ya ETERNAL INTERNATIONAL inakuletea ofa kabambe ya madaktari waliobobea waliofunzwa kutoka china pamoja na offer ya kipimo cha mwili mzima kwa bei nafuu kabisa

Unachelewa nini sasa wahi sasa uje ujue afya yako na uanze kujipatia matibabu yaliyo sahihi

Tupo kigogo njia panda,
mawasiliano zaidi tupigie namba 0740 068 897


kukuthamini
NYOTE MNAKARIBISHWAA...

Address

Kigogo Round About
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Yangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Yangu:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram