AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI > 🌿 Afya njema ni siri ya mafanikio!

Tunakupa elimu, ushauri na tiba asilia kwa mwili wenye nguvu na maisha yenye furaha πŸ’š
πŸ“ž Wasiliana: 0794 802 053
Jali afya yako, kwa sababu Afya ni Mtaji!

  YA_KUSAMBAZA_TAARIFAWanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company...
25/12/2025

YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited

Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe zanzibar tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo

MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)

Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo Mwanakwerekwe
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0794802053
KARIBU KWENYE
https://chat.whatsapp.com/J9Kd9NKEzGhDmxG2AZPSPh?mode=hqrt3

πŸ”— Huduma za Afya (bonyeza hapa):https://isackamussa5.systeme.io/drisacka---Jinsi ya Kupona Maradhi Yote ya Mfumo wa Uzaz...
06/12/2025

πŸ”— Huduma za Afya (bonyeza hapa):
https://isackamussa5.systeme.io/drisacka

---

Jinsi ya Kupona Maradhi Yote ya Mfumo wa Uzazi kwa Wanawake na Wanaume 🌿

Je, wewe ni:

πŸ‘©β€πŸ¦° Mwanamke unaesumbuliwa na kutokwa na uchafu ukeni, fangas, maumivu ya kizazi, kutopevuka kwa mayai, hedhi isiyo sawa, au changamoto nyingine za mfumo wa uzazi?

πŸ‘¨β€πŸ¦± Mwanaume unaekutana na tatizo la uume kulegea, kufika kileleni mapema, maumivu ya tezi dume, au mbegu kushindwa kutungisha mimba?

Ujumbe huu ni kwa AJILI YAKO.

Mimi ni Dr. Isack, mtaalamu wa afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume.
Nimesaidia zaidi ya watu 200 kupata mwongozo sahihi wa afya ya uzaziβ€”na wengi wao leo wanafurahia matokeo mazuri na familia zao.

Ndani ya Mwongozo Wangu Utapata:

βœ… Elimu kamili kuhusu mfumo wa uzazi
βœ… Njia sahihi za kugundua chanzo cha tatizo
βœ… Miongozo salama na ya asili ya kutatua changamoto zako

πŸŽ“ Nimeandaa DARASA LA BURE kwa watu 30 tu ili kila mmoja apate uangalizi wa karibu.

---

Ungana nami sasa kupitia WhatsApp πŸ‘‡

Bonyeza hapa:
https://chat.whatsapp.com/JjttVBiUHRn1ns7txgflpu?mode=ems_copy_t

πŸ“Œ Nafasi ni chacheβ€”vikijaa hatutapokea wengine.

Kwa kuzingatia afya yako,
Dr. Isack
πŸ“ž 0794 802 053

---NAFASI ZA KAZI – KUSAMBAZA TAARIFATunawatafuta vijana wa Zanzibar watakaosaidia kusambaza taarifa za huduma za Gcat I...
23/11/2025

---

NAFASI ZA KAZI – KUSAMBAZA TAARIFA

Tunawatafuta vijana wa Zanzibar watakaosaidia kusambaza taarifa za huduma za Gcat International Company Limited kwa kutumia Smartphone.

Vigezo

Uwe na simu kubwa / Smartphone

Uwe Zanzibar

Uwe mwenye bidii

Elimu kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea

Malipo

Malipo ya kila siku: Tsh 20,000/=

Malipo ya mwisho wa mwezi: kuanzia 350,000/=

Karibu Ujiunge

Kwa mawasiliano: 0794 802 053
πŸ‘‰ Jiunge kupitia link:
https://chat.whatsapp.com/J9Kd9NKEzGhDmxG2AZPSPh?mode=hqrt3

---HUDUMA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMAJe, unajiuliza wapi unaweza kupata huduma ya upimaji wa mwili mzima kwa haraka na kwa...
23/11/2025

---

HUDUMA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA

Je, unajiuliza wapi unaweza kupata huduma ya upimaji wa mwili mzima kwa haraka na kwa gharama nafuu zaidi?

Kumbuka: Afya yako ndiyo msingi wa mambo yote.

Kwa mara ya kwanza kabisa tumekuandalia OFA Maalumu ya kuelekea mwisho wa mwezi.

OFA KUBWA YA MWISHO WA MWEZI

Gharama halisi za vipimo ni 30,000/=
Lakini kwa sasa, kutokana na OFA hii maalumu, utapima kwa TSH 20,000/= tu!

Hivyo utaokoa kiasi cha Tsh 10,000/= β€” hakika HII ni nafasi nzuri kwa wale wanaojali afya zao.

---

KIPIMO HIKI HUSISHA:

1. Kubaini tatizo husika

2. Kugundua chanzo cha tatizo

3. Viashiria vya matatizo mengine mwilini

Hiki ni kipimo kinacholenga zaidi magonjwa sugu yasiyoambukiza.

---

Tunapima Mifumo Hii ya Mwili:

1. Mfumo wa Ubongo

2. Mfumo wa Upumuaji

3. Mfumo wa Tumbo

4. Mfumo wa Ngozi

5. Mfumo wa Mifupa na Misuli

6. Mfumo wa Uzazi (wanawake & wanaume)

7. Mfumo wa Macho

---

HUDUMA ZA MATIBABU TUNAZOTOA

Tunatibu magonjwa sugu k**a:

Vidonda vya tumbo

Presha

Kisukari

Moyo

Figo

Ini

Cholesterol

Bawasiri

Tezi Dume

Fangasi

Uzazi kwa wanaume & wanawake

Allergy

Mifupa

Ngozi

Miguu, Magoti, Ganzi

Uzito mkubwa & unene

Uvimbe bila upasuaji

Stroke (Kupooza)

Macho

Ukuaji mbovu kwa watoto, n.k.

---

USIKOSE OFA HII MAALUMU

Piga Simu / Tuma SMS / WhatsApp kwenda:
πŸ“ž 0794 802 053

TUNAPATIKANA TANZANIA NZIMA β€” Bara na Visiwani.

Ungana na Group letu hapaπŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/JjttVBiUHRn1ns7txgflpu?mode=hqrt3

β›‘ *FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA BRONCHITIS(KUVIMBA KWA NJIA ZA HEWA)* πŸ‘‰Bronchitis ni hali ya kuvimba kwa njia za hewa (bronc...
22/11/2025

β›‘ *FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA BRONCHITIS(KUVIMBA KWA NJIA ZA HEWA)*

πŸ‘‰Bronchitis ni hali ya kuvimba kwa njia za hewa (bronchi) zinazobeba hewa kwenda na kutoka kwenye mapafu. Ugonjwa huu unaweza kuwa wa muda mfupi (bronchitis ya papo hapo) au wa muda mrefu (bronchitis sugu).

*Visababishi vya Bronchitis:*

Bronchitis ya papo hapo:

Maambukizi ya virusi (k**a vile homa ya kawaida au mafua).

Maambukizi ya bakteria mara chache.

Vichochezi k**a moshi, vumbi, kemikali au uchafuzi wa hewa.

Bronchitis sugu:

Uvutaji sigara (sababu kuu).

Uchafuzi wa hewa au kazi katika mazingira yenye kemikali zenye madhara.

Magonjwa ya muda mrefu k**a pumu na maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya hewa.

*Dalili za Bronchitis:*

Kikohozi chenye makohozi (mara nyingine yanaweza kuwa na rangi ya njano au kijani).

Kupumua kwa shida au kubanwa kifua.

Homa ya chini au baridi kali.

Uchovu au mwili kukosa nguvu.

Maumivu ya misuli na koo.

Bronchitis sugu inaweza kusababisha kikohozi kinachoendelea kwa muda mrefu.

*Madhara ya Bronchitis:*

Pneumonia: Bronchitis ya papo hapo isipotibiwa inaweza kusababisha maambukizi kwenye mapafu (nimonia).

Shida za muda mrefu za kupumua: Bronchitis sugu inaweza kusababisha magonjwa ya kudumu ya njia ya hewa k**a COPD (Chronic Obstructive Pulmonary Disease).

Kudhuru kinga ya mwili: Bronchitis ya mara kwa mara inaweza kudhoofisha kinga ya mwili, na kuathiri ubora wa maisha.

**Tiba na Kinga:*

Tiba ya papo hapo: Kupumzika, kunywa maji mengi, kutumia dawa za kikohozi au inhaler (kwa shida ya kupumua).

Tiba ya sugu: Kuacha kuvuta sigara, kuepuka vichochezi, kutumia dawa za kuzuia uchochezi au bronchodilators.

**Kinga:* *
Epuka kuvuta sigara.

Jikinge na mafua kwa chanjo.

Epuka vumbi na moshi kwa kutumia barakoa inapohitajika.

Ikiwa dalili ni kali au zinaendelea, ni muhimu kumwona mtaalam wa afya kwa uchunguzi zaidi na matibabu sahihi.

🫴🏽Kila pumzi unayovuta ni zawadi, nasi tuko hapa kuhakikisha unazifurahia bila kikwazo.

https://chat.whatsapp.com/JjttVBiUHRn1ns7txgflpu?mode=hqrt3

Mawasiliano zaidi:WhatsApp

0794 802 053
Dr isacka

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na ...
22/11/2025

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;
Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri

JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kunywa maji mengi
Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO

Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Kwa msaada zaidi wasiliana nami kupitia simu namba
https://chat.whatsapp.com/JjttVBiUHRn1ns7txgflpu?mode=hqrt3

0794 802 053
DR ISACKA

🌿 Jinsi ya Kupona Maradhi Yote ya Mfumo wa Uzazi kwa Wanawake na Wanaume 🌿Je, una:Mwanamke: Uchafu wa ukeni usiokoma, fa...
15/11/2025

🌿 Jinsi ya Kupona Maradhi Yote ya Mfumo wa Uzazi kwa Wanawake na Wanaume 🌿

Je, una:

Mwanamke: Uchafu wa ukeni usiokoma, fangas, uvimbe au matatizo mengine ya kizazi?

Mwanaume: Tatizo la kufika kileleni, uume mlegevu, tezi dume, au manii kushindwa kufika yai?

πŸ’‘ Ujumbe huu ni kwa AJILI YAKO.

Mimi ni Dr. Isack, mtaalamu wa masuala ya uzazi. Nimesaidia zaidi ya watu 200 kupata mwongozo wa kutatua matatizo yao na wengi sasa wana familia zao.

Mwongozo wangu unajumuisha:
βœ… Elimu kamili kuhusu mfumo wa uzazi
βœ… Vipimo vya kugundua chanzo cha tatizo
βœ… Njia salama na za asili za matibabu

πŸŽ“ Darasa la bure, lakini nitaweza kusaidia watu 30 pekee, ili niweze kuzingatia kila mmoja.

πŸ’¬ Bonyeza hapa kuanza sasa kwa WhatsApp:
https://chat.whatsapp.com/JjttVBiUHRn1ns7txgflpu?mode=ems_copy_t

πŸ“ž 0794 802 053 – Wahi mapema, nafasi ni ndogo!

Kwa afya yako,
Dr. Isack

---🌿 KARIBU ETERNAL HERBALIST CLINIC! πŸŒΏπŸ’« Tunajali afya yako ya uzazi – kwa mwanamke na mwanaume! πŸ’«Ndugu yetu mpendwa,K**...
10/11/2025

---

🌿 KARIBU ETERNAL HERBALIST CLINIC! 🌿
πŸ’« Tunajali afya yako ya uzazi – kwa mwanamke na mwanaume! πŸ’«

Ndugu yetu mpendwa,
K**a umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu bila kupata mtoto, au unapata maumivu ya tumbo, hedhi zisizo sawa, kukosa nguvu za kiume, au matatizo ya homoni β€” basi hii ni nafasi yako ya dhahabu! ✨

Kwa kawaida vipimo vya mfumo wa uzazi ni TSH 30,000,
lakini sasa kupitia OFA MAALUM utapima kwa TSH 20,000 tu! 😍
🩺 Na cha kufurahisha zaidi β€” kumuona daktari ni BURE kabisa!

Utapata: βœ… Vipimo kamili vya uzazi
βœ… Ushauri wa kitaalamu
βœ… Mwongozo wa tiba sahihi ya asili
βœ… Na njia bora ya kurejesha afya yako ya uzazi kikamilifu

Usikubali tatizo likuume kwa kimya. Chukua hatua leo kwa afya njema ya kesho πŸ’š

πŸ“ž Piga au tuma ujumbe kwa 0794 802 053
πŸ‘‰ Ungana nasi kwenye group letu la afya ujifunze

https://chat.whatsapp.com/JjttVBiUHRn1ns7txgflpu?mode=wwt
zaidi kuhusu tiba asilia, afya ya uzazi, na lishe bora!

Eternal Herbalist Clinic β€” Afya yako, fahari yetu! 🌺
NYOTE MNAKARIBISHWA KWA MIKONO MIWILI! 🀝

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram