13/10/2025
. (ULCERS)
~Ni ugonjwa ambao mtu hupata michubuko au vijitundu katika kuta za ndani za viungo vya umeng'enyaji au uyeyushaji chakula.
β’AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO.
1/ Oesophagael Ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye koo.
2/Duodenum ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo Mdogo.
3/Gastric Ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye mfuko wa chakula (TUMBO).
"CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO.
~Kushinda mda mrefu bila kula.
~Msongo wa mawazo (Stress).
~Matumizi ya dawa kwa mda mrefu,mfano aspirin
~H plyori hutengeneza enzymes (urease)ambayo hupunguza makali ya tindikali.
~Matumizi ya pombe na tumbaku kwa mda mrefu.
~Bacteria(helicobacteria).
β’DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.
~Maumivu ya tumbo
~Tumbo kujaa gesi/kunguruma
~Kichefuchefu na kutapika.
~Kupungua uzito
~Kupata choo cheusi
~Kupatwa na kiungulia
~Kushiba kwa mda mfupi
~Kutapika damu au k**a mabaki ya kahawa.
'TIBA NA USHAURI KWA WENYE TATIZO'
Tupo MIKOCHENI MKABALA KWA WALE AMBAO HUDUMA HAIJAWAFIKIA TUNATOA VIA
tuma sms au piga 0695513738