Siri.za.uzazi

Siri.za.uzazi Suluhisho na maelekezo juu ya kulinda afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke ����

09/02/2025

Hivi mnawezaje kuvumilia!?…tutafute tukusaidie ………………………📞 0745460133

08/02/2025

Sasa mtu wa hivi anaweza akawa Ana infections ukeni….au ana hormonal imbalance pamoja na infections…yani ni lazima awe na infections

Sababu hizo ndo huwa zinaleta harufu ukeni

Na hivi jamani ukeni kwako kunatoa harufu…hivi huogopi!???, yani unawezaje kuvumilia jamani unawezaje?….au mpaka watu waanze kusikia unanuka!?…aibu yake utaiweza!??🙌🙌🙌

Kwa mawasiliano na tiba
📞 0745460133
Madam Linnah

Nikisema infections inaweza ikawa ni neno gumu kwa baadhi ya watuIla namaanisha wale wenye fangasi sugu (fangas za mara ...
08/02/2025

Nikisema infections inaweza ikawa ni neno gumu kwa baadhi ya watu

Ila namaanisha wale wenye fangasi sugu (fangas za mara kwa mara), UTI sugu (UTI za mara kwa mara)

Utajuaje K**a una infections

-kutokwa na uchafu ukeni
-kupata miwasho
-kupata harufu ukeni
-ukavu ukeni na kukosekana kwa ute msafi
-maumivu wakati wa tendo la ndoa
-maumivu ya kiuno, nyonga, tumbo, mgongo

Nk…..

Kwa msaada na mawasiliano
📞 0745460133
Madam Linnah

08/02/2025
08/02/2025
08/02/2025
08/02/2025

Tumia , tangawizi, limao, manjano pamoja na pili pili manga….pendelea kutumia mara kwa mara, zaidi ukiwa unakaribia period

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 10:30 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siri.za.uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram