Mr Health

Mr Health Mtaalamu wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanamke, Miongozo ya lishe bora na Ushauri wa Kisaikolojia..🩺

Umewahi Kujiuliza Ni Kwanini Baada ya Bao la Kwanza Unashindwa Kuendelea na Tendo...?Siri Ambayo Wanaume Wengi Hawajui N...
14/03/2026

Umewahi Kujiuliza Ni Kwanini Baada ya Bao la Kwanza Unashindwa Kuendelea na Tendo...?

Siri Ambayo Wanaume Wengi Hawajui Ni hii..👇

— Kuna wanaume wengi leo, wanaoamini kwamba kukosa hamu baada ya bao la kwanza ni kawaida..

Lakini kitaalamu, hiyo ni ishara ya mwili wako kukata umeme wa homoni muhimu za nguvu za kiume...

Ipo hivi....👇

Wakati mwanaume anafika kileleni, Mwili wake huachia homoni kadhaa zinazobadilisha hali ya mwili na akili...

Homoni kuu ni Prolactin— ambayo hupanda ghafla baada ya mshindo....💦

Homoni hiyo hufanya kazi k**a brake system ya hamu ya tendo baada ya bao la kwanza....

Prolactin ikipunguza ghafla nguvu ya testosterone, hupelekea mwili kuingia kwenye refractory period (kipindi cha mwili kukataa hamasa).....

Kwa mwanaume mwenye mwili wenye afya nzuri, mfumo huu hurejea haraka ndani ya sekunde chache......

Udhaifu wa kudumu hutokana na uchovu wa mwili, msongo wa mawazo, ulaji duni, usingizi hafifu, na matumizi ya vionjo (Booster)...

Kipindi hicho kinakuwa kirefu mno— hata kufika saa 1 masaa 2 au zaidi....

Ndiyo maana baada ya bao la kwanza, Unakosa hamu kabisa au unashindwa kuendelea...☠️

Sababu kuu zinazofanya hali hii kuwa mbaya zaidi ni...👇

1. Kupungua kwa testosterone– Homoni ya msingi ya nguvu, stamina na hamu ya tendo....

2. Uchovu wa mfumo wa neva (nervous fatigue)– Kutokana na msongo wa akili au usingizi hafifu....

3. Mzunguko wa damu duni kwenye mishipa ya uume– Mishipa inakuwa dhaifu, hivyo hata damu haiwezi kurudi haraka kuanzisha round ya pili....

4. Lishe mbovu, sigara, pombe, na sukari nyingi– Huaribu uzalishaji wa nitric oxide na kushusha nguvu....

5. Psychological disconnect– Ubongo haupokei tena signal ya hamasa kutokana na presha, hofu au kutokujiami.....

NB: Kuweza kuunganisha rounds— Ni matokeo ya afya bora ya mwili, akili na homoni....

Ukianza kurekebisha mwili wako ndani kwa ndani — kwa chakula sahihi, usingizi bora, mazoezi, na detox ya mfumo wa homoni, Utagundua kwamba round ya pili inakuja as naturally as breathing..

Je, umewahi kukutana na changamoto hii ya kukosa hamu baada ya bao la kwanza..?

K**a jibu ni “NDIYO” Fuata Link Kwenye comment Soma kwa makini tukutane WhatsApp....

Nikupatie muongozo wa kitaalamu wa kurejesha stamina na nguvu zako za asili bila Booster....👇

12/03/2026

Unamwaga Mbegu Nyepesi K**a Maji ya Mchele? Hii Ni Ishara Mwili Wako Unakosa Viini Lishe Muhimu..💦

K**a shahawa zako zinatoka nyepesi sana k**a maji ya mchele, mara nyingi huwa ni ishara ya upungufu wa virutubisho vinavyojenga ubora wa mbegu za kiume...

Epuka vidonge vya nguvu za kiume kiume, Anza Tiba formula hii ukiwa nyumbani....

Tiba Formula ya Lishe (Siku 14)....👇

• Ndizi mbivu 3
• Almonds punje 22
• Korosho punje 22
• Karanga mbichi punje 22
• Tende 3
• Maziwa fresh glasi 1

NB: Saga kwa pamoja hadi iwe laini, Kunywa glasi 1 kila siku kwa siku 14 mfululizo....Mchanganyiko huu husaidia mwili kupata...

Mafuta bora, madini na virutubisho vinavyosaidia kuboresha ubora na wingi wa mbegu za kiume...

Andika neno (MWANAUME GROUP) kwenye comment nikutumie link ya kujiunga na group la wanaume (Bure) ambapo tunajadili kwa kina afya ya uzazi na nguvu za kiume. 🔥

Mnakumbuka nilisema Bitacola ni hazina ya asili kwa afya ya mwanaume…?🍆💦Swali langu leo ni hili, Ni nani anakumbuka vizu...
11/03/2026

Mnakumbuka nilisema Bitacola ni hazina ya asili kwa afya ya mwanaume…?🍆💦

Swali langu leo ni hili, Ni nani anakumbuka vizuri..!? 👇

↳ Jinsi ya kuandaa Tiba formula ya Bitacola..?
↳ Ni kwa siku ngapi inapaswa kutumika...?
↳ Na matumizi yake hasa kwa afya ya mwanaume…?

Andika jibu lako kwenye comment Nataka kuona nani anafuatilia elimu kwa umakini…

Halafu nitawapa maelekezo sahihi hakikisha umefolo page hii....🩺

Uume Legelege katika ya tendo, Sio Laana... Mara Nlnyingi ni upungufu wa viinilishe muhimu mwilini.🍆💦Wengi wanaohangaika...
11/03/2026

Uume Legelege katika ya tendo, Sio Laana... Mara Nlnyingi ni upungufu wa viinilishe muhimu mwilini.🍆💦

Wengi wanaohangaika na uume kulegea wakati wa tendo la ndoa hudhani tatizo ni kubwa sana au ni la kudumu.....

Ukweli wa kitaalamu ni kwamba mara nyingi chanzo huwa ni upungufu wa virutubisho vinavyosaidia..

Uzalishaji wa homoni za kiume, mzunguko mzuri wa damu, na nguvu ya mishipa ya fahamu....

Kombo hili unaloliona hapa lina zaidi ya viinilishe 12.🔥

Vinavyosaidia mwili kuongeza uzalishaji wa homoni ya testosterone, kuboresha mzunguko wa damu kwenye mishipa ya uume, na kuimarisha nguvu za kiume kwa njia ya asili...

👉 Hii ndiyo sababu wanaume wengi wanaobadilisha lishe yao kwa kutumia mimea na viungo sahihi huanza kuona mabadiliko makubwa ya uimara kitandani bila kutegemea vidonge.❌

Lakini kabla sijakupa mbinu sahihi ya kuandaa tiba formula yako hatua kwa hatua….

Niambie kwenye comment, Umetambua mmea gani hata mmoja kwenye picha hii..?

Nikiona watu wengi wametambua...👇

Nitashusha mwongozo kamili wa kitaalamu wa jinsi ya kuandaa kombo hili ukiwa nyumbani...🔥

Hakuna Dawa ya Kutibu Madhara ya Nyeto, Tatizo Sio Ugonjwa, Bali Msingi wa Afya Yako ya Kiume.→ Siku moja nikiwa kazini,...
11/03/2026

Hakuna Dawa ya Kutibu Madhara ya Nyeto, Tatizo Sio Ugonjwa, Bali Msingi wa Afya Yako ya Kiume.

→ Siku moja nikiwa kazini, nilipokea ujumbe ulionifanya nitafakari kwa kina k**a daktari…

> "Daktari, naweza pata dawa ya kutibu madhara ya ma********on..?"

Nilipo soma meseji hii, moyo ukaniuma, Nikajua bado kuna vijana wengi wanapotezwa...

Wanatapeliwa, na wanaharibiwa maisha yao kwa kuaminishwa kuwa...

Ma********on na upungufu wa nguvu za kiume ni ugonjwa unaohitaji dawa...

Ukweli mchungu ni huu...👇

Hakuna kidonge, hakuna dawa, na hakuna booster inayoweza kutibu kitu ambacho— Si ugonjwa...☠️

↳ Wewe sio mgonjwa...
↳ Upungufu wa nguvu za kiume si ugonjwa...
↳ Uraibu na madhara ya punyeto haviondolewi kwa kidonge...

Ipo hivi.. 👇

Wauza Booster Mitandaoni, wanatumia hofu yako k**a mtaji...

Wanajua ukiamini umeharibika, utatafuta msaada wa haraka kwa gharama yoyote ile...

Uzuri nikwamba kila siku kwenye jukwaa hili huwa nasisitiza..👇

Nguvu zako za kiume hazijengwi kwenye chupa ya vidonge bali kwenye misingi mikuu ya afya yako ya uzazi....

Na misingi yenyewe ni hii.. 👇

1. Saikolojia Yako (Psychological State), Nguvu za kiume huanzia kwenye ubongo, Sio kwenye uume.

Hofu, wasiwasi, kutokujiamini wakati wa tendo la ndoa hujenga, Performance anxiety..

Huathiri neurotransmitters na kuzuia ishara sahihi kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye uume...

2. Testosterone Hormone, Hormone hii ndiyo mhimili wa....

↳ hamu ya tendo
↳ uimara wa uume
↳ nguvu na stamina

3. Mzunguko wa Damu (Blood Circulation), Uimara wa uume ni suala la damu kufika na kubaki kwenye uume...

Lishe duni, punyetoo, mafuta mengi mwilini, na stress, huathiri mishipa ya damu kwenye uume (vascular function)....

4. Misuli ya Uume (Pelvic Floor Muscles), Uume unaungwa mkono na misuli maalum (pelvic floor)
ambayo huboresha.....

↳ Uimara
↳ Muda wa kumaliza
↳ Nguvu ya msisimko

NB: Ukitambua na kujenga misingi hii mikuu minne, Utagundua nguvu zako zilikuwa ndani yako muda wote..

Sio kwenye vidonge, Sio kwenye booster, Sio kwenye matangazo ya madawa huko Instagram na Facebook..

Booster hutoa nguvu za bandia za dakika chache, lakini zinakuharibu kwa miaka mingi...👇

Misingi hii minne ukiielewa, Ukiimarisha, itakupa nguvu za kudumu zenye uasili ndani yako na afya bora ya uzazi wakati wote...

K**a kweli una nia ya kujijenga na kurejesha nguvu zako za kiume, saikolojia imara, na nidhamu ya maisha k**a mwanaume rijali...

→ Basi wakati sahihi ndiyo huu, Kupitia miongozo tiba hii niliyo kuandalia leo...🫵

Broo, nimekuandalia special professional program ya kurejesha na kuimarisha afya ya uzazi....

↳ Bila dawa
↳ Bila vidonge
↳ Bila booster
↳ Kwa misingi ya kitabibu na kisayansi
↳ Kwa mfumo wa hatua kwa hatua

Hii si kwa kila mwanaume, ni kwa yule aliyechoka kuishi kwa wasiwasi na kutegemea madawa..

Ni kwa yule aliye tiania ya kurejesha heshima yake ya kitandani ndani ya mwezi huu wa pili....

K**a ni wewe na uko tayari kujijenga upya, si kwa hisia bali kwa mfumo sahihi, wa afya yako ya uzazi

Comment neno "MWONGOZO TIBA" Nitakupa link ya kujiunga na UBIDA PROGRAM... 🩺

Hakikisha unatafuna walau Punje 2 za Vitunguu swaumu Kila Siku kabla ya Kulala.🍆💦Usidharau punje 2 tu za vitunguu swaumu...
10/03/2026

Hakikisha unatafuna walau Punje 2 za Vitunguu swaumu Kila Siku kabla ya Kulala.🍆💦

Usidharau punje 2 tu za vitunguu swaumu kabla ya kulala...Ukiwa kwenye dose Hii ya punje 2...🩺

Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usijichue
Usijichue
Usijichue
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO

↳ Wewe ni Imara, Usikubali Hisia Zako Zikutawale Kuliko Akili yako,

Kupiga PUNYETO ni Uvulana , Si Uanaume, Wanawake ni wengi, Fanya kuoa...🫵

Kuna kitu kimoja kimekuwa kikiwatesa watu wengi kimya kimya… Madonda ya tumbo.Maumivu makali, kiungulia kisichokoma, kut...
10/03/2026

Kuna kitu kimoja kimekuwa kikiwatesa watu wengi kimya kimya… Madonda ya tumbo.

Maumivu makali, kiungulia kisichokoma, kutapika damu au kupoteza hamu ya kula, hugeuza maisha kuwa mateso....

— Lakini je, ulikuwa unajua kwamba suluhisho linaweza kuwa ndani ya bustani yako tu..?

Madonda ya tumbo (Peptic Ulcer) hutokana na mambo k**a....

↳ Vimelea (H. pylori bacteria)

↳ Unywaji wa pombe na sigara

↳ Matumizi ya dawa za maumivu bila mpangilio

↳ Msongo wa mawazo (stress)

↳ Lishe duni na kula chakula kwa muda usio sahihi

Matokeo yake..?

Maumivu yanakufanya uishi kwa machungu ya kila siku, Wengine hufikia hatua ya kulala njaa kwa hofu ya kula.! ☠️

Majani ya Papai (Papaya Leaves Juice) ndiyo tiba ya asili inayothibitishwa kupunguza maumivu na kusaidia kuponya vidonda vya tumbo kitaalamu kabisa...

Kwa nini.. Majaniya Papai ?

↳ Yana enzyme ya papain inayosaidia mmeng’enyo bora wa chakula na kupunguza presha tumboni.

↳ Yana antioxidants zinazopunguza uvimbe na kulinda ukuta wa tumbo.

↳ Yanasaidia kuzuia ukuaji wa bakteria H. pylori ambao mara nyingi husababisha vidonda...

NB: Kunywa nusu kikombe asubuhi kabla ya kula chochote na jioni kabla ya kulala..Endelea kwa wiki 2–3 kwa matokeo ya kudumu...

Je, umewahi kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na kuishi kwa mateso kila siku..? ANZA TIBA HII LEO..📌

By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...🩺🫡

07/03/2026

Ukweli wa Kuhusu Morning Er****on 🍆 Ukiona Haipo, Anza Tiba Formula Hii kwa Siku 7...🩺

Kusimama kwa uume asubuhi (Morning er****on) ni moja ya viashiria muhimu vya afya ya mwanaume,

Hasa afya ya mishipa ya damu, Testosterone homoni na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume...

Ukianza kugundua hali hii haijitokezi mara kwa mara, Huashiria kupungua kwa mzunguko wa damu au kushuka kwa baadhi ya virutubisho muhimu mwilini..

➝ Hi tiba formula rahisi ya asili husaidia kuamsha mzunguko wa damu na kuchochea nguvu za kiume kwa njia salama....

Chukua, karafuu chache, Limao kipande, Punje 2 za kitunguu saumu pamoja na glasi 1 ya maji ya moto..

Jinsi ya kuandaa Tiba formula hii ukiwa nyumbani..👇

↳ Weka karafuu ndani ya glasi...

↳ Kamulia limao ndani ya glasi hiyo...

↳ Ongeza punje 2 za kitunguu saumu zilizopondwa kidogo, Kisha....

↳ Mimina maji ya moto kwenye glasi, Funika kwa dakika 10 hadi 15 ili virutubisho vijiachie vizuri....

Baada ya hapo kunywa glasi 1 kila siku kwa muda wa siku 7 mfululizo...Ukimaliza siku 7 unaruhusiwa kishiriki tendo la ndoa...🍆💦

NB: Mchanganyiko huu wa karafuu, limao na kitunguu saumu husaidia kuimarisha mzunguko wa damu, kusaidia mishipa ya damu kupanuka vizuri na husaidia afya ya nguvu za kiume kwa njia ya asili....

Broo, epuka matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume, huathiri mfumo wa mwili na kuwa tegemezi wa madawa hayo mpaka kufa kwako...☠️

Anza tiba formula hii mapema, andika neno “TIBA FORMULA” kwenye comment...👇

Nikupatie Mwongozo wa Program ya Nguvu za Kiume ya siku 14, Ukiwa nyumbani kwako...🔥🍆💦

Ukiijua siri hii ya "BAMIA" Hakika utakuwa na Afya njema wakati wote...Uzuri Ni kwa wanaume na wanawake Kila mmoja Kwa n...
06/03/2026

Ukiijua siri hii ya "BAMIA" Hakika utakuwa na Afya njema wakati wote...Uzuri Ni kwa wanaume na wanawake Kila mmoja Kwa nafasi yake...

Bidhaa nyingi unazotumia kuongeza hamu ya tendo au uke mkavu zinaharibu mfumo wa uzazi—kimya kimya… Bila wewe kujua..!

Zina kemikali zinazochochea...👇

↳ Fangasi sugu,
↳ Harufu mbaya ya uke,
↳ Na hata maumivu ya kudumu wakati wa tendo.

Lakini... Kuna njia salama?

Ndiyo! Na si dawa— Ni BAMIA!

JUICE YA BAMIA, Ni ukombozi wa asili wa afya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke..!

Utafiti unaonesha kuwa bamia ina virutubisho vinavyochochea homoni muhimu za uzazi na huimarisha afya ya via vya uzazi bila madhara yoyote ya muda mrefu....

MBINU RAHISI KABISA...YA KUANDAA BAMIA...👇

↳ Chemsha maji kidogo hadi yawe ya uvuguvugu

↳ Osha bamia 3–5 kisha zikate vipande

↳ Loweka kwenye maji hayo kwa masaa 2

↳ Kunywa maji yake na tafuna vipande vya Bamia – Kila siku kwa wiki moja

*TUONE FAIDA KWA WANAWAKE....*

↳ Huondoa uke mkavu na kuufanya kuwa na unyevunyevu wa asili...

↳ Hupunguza maambukizi ya fangasi na harufu mbaya....

↳ Husaidia usawa wa homoni za k**e –Huongeza uwezekano wa kushika mimba....

*FAIDA KWA WANAUME JE..? NIZIPI....?*

↳ Huchochea uzalishaji wa testosterone – homoni ya nguvu za kiume...

↳ Huongeza hamu ya tendo, stamina, na uimara wa mishipa ya uume.....

↳ Husaidia ujenzi wa misuli ya uume bila boosters hatarishi..

*Bamia Ni Ukombozi wa afya yako, Kwa ujumla kwani Husaidia katika....*

↳ Antioxidants, Kupunguza hatari ya moyo, kisukari, na saratani....

↳ Huimarisha kinga, ngozi, na afya ya utumbo...

↳ Husaidia kusafisha mwili kwa sumu (natural detox)...

↳ Hupunguza cholesterol mbaya, hivyo kuboresha mzunguko wa damu....

*NB: ACHANA NA MADAWA YANAYO KUGEUZA MTEJA WA MAUMIVU..!*

Bamia ni tiba ya asili, salama, na rafiki kwa mwili wako Uzuri zinapatikana sokoni....SO...

Anza leo —Kwa afya ya uke, Hormone, na mwili ulio imara na wenye kinga...🫡

Je umesha wahi kutumia Bamia k**a sehemu ya shile yako ya kilasiku...? FUNGUA KWENYE COMMENT 👇

Chukua mbegu za maboga, 🎃 Ziloweke katika maji yenye chumvi, zikaushe vizuri kisha zikaange kidogo bila kuziunguza Tafun...
06/03/2026

Chukua mbegu za maboga, 🎃 Ziloweke katika maji yenye chumvi, zikaushe vizuri kisha zikaange kidogo bila kuziunguza

Tafuna mbegu 20 kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi mmoja ukitafuna meza vyote hakuna cha kutemwa hapo, mbegu hizi sifa yake kubwa... 🩺

Kwa WANAUME 👇
↳ Nikuongeza wingi wa mbegu za kiume (manii) k**a unatatizo la kutoa manii machache nyepesi (Low s***m count) basi hii ni muhimu sana kwako... lakini pia

↳ Husaidia kuongeza muda wa kudumu kitandani.

Kwa WANAWAKE 👇
↳ Husaidia kurekebisha Homoni, Chango la UZAZI na Mpangilio wa Hedhi .

NB: Hii ni ya asili, Isiyo na madhara....Jifunze kisha Chukua hatua 🩺📌

Je!!? Umesha wahi kutumia mbegu za maboga k**a sehemu ya shile...??

05/03/2026

MAAJABU YA KARAFUU, Glasi 1 kwa siku 7, mzunguko wa damu unaimarika na chuma kusimama imara🍆💦

Wengi hawajui kuwa changamoto ya ulegevu wa uume mara nyingi haihusiani tu na nguvu za misuli ya uume bali mzunguko wa damu na afya ya mishipa ya damu.

Virutubisho vilivyopo kwenye karafuu na tangawizi na Asili mbichi..vina uwezo wa kusaidia....👇

↳ Kuchochea mzunguko wa damu kwenye mishipa midogo midogo ya uume...

↳ Kusaidia uzalishaji wa nitric oxide ambayo hufanya mishipa ya damu kupanuka...

↳ Kuimarisha nguvu na stamina kwa ujumla...🍆

Tiba Formula Rahisi ya Asili ukiwa hapo Nyumbani...👇

Chemsha pamoja, Tangawizi mbichi vipande kadhaa pamoja na Karafuu kijiko 1cha maboga...

Chemsha kwa dakika 10–15, kisha chuja vizuri, Baada ya hapo...

Ongeza kijiko 1 cha asali mbichi kwenye resho ya glasi 1 ya mchanganyiko huo.....

Kunywa glasi 1 kila siku kwa siku 14 mfululizo ili kusaidia kuimarisha mzunguko wa damu na afya ya nguvu za kiume...

NB: Nguvu imara hutegemea pia lishe bora, usingizi mzuri, na afya ya homoni k**a testosterone....

K**a unataka kufahamu mfumo mzima wa kurejesha nguvu za kiume bila dawa...

Comment neno eBook Nikupatie Program maalum ya UBIDA (Urijali Bila Dawa) ambayo tayari imesaidia wanaume wengi kurejesha uimara wao kwa njia za asili.... ⚡🍆

TIBA: Mwanaume ukila sahani k**a hizi kwa siku 14 mfululizo… nini hutokea mwilini...? 🍆💦Kula sahani k**a hizi unaunganis...
05/03/2026

TIBA: Mwanaume ukila sahani k**a hizi kwa siku 14 mfululizo… nini hutokea mwilini...? 🍆💦

Kula sahani k**a hizi unaunganisha makundi muhimu ya virutubisho ambavyo vina mchango mkubwa katika afya ya uzazi...

—Hasa upande wa mzunguko wa damu, homoni za uzazi, na nguvu za mwili....

Kuongezeka kwa uzalishaji wa Nitric Oxide kwa wingi, Mboga za majani na parachichi zina virutubisho k**a nitrates, folate na antioxidants ambazo huchochea mwili kutengeneza Nitric Oxide.....

Nitric Oxide ni kemikali muhimu inayopanua mishipa ya damu (vasodilation)...

Matokeo yake ni...👇

↳ Damu kusafiri vizuri mwilini..
↳ Damu kufika vizuri kwenye viungo vya uzazi..
↳ Kuimarika kwa er****on strength 🍆

Hii ndiyo sababu kuu lishe sahihi inaweza kusaidia kupunguza uume lege lege bila kutegemea booster..

Kuimarika kwa homoni ya kiume (Testosterone) Mayai, samaki au nyama nyeupe na Almonds zina....

↳ Zinc..
↳ Healthy fats..
↳ Vitamin D..
↳ High quality protein..

Virutubisho hivi vina mchango mkubwa sana katika utengenezaji wa Testosterone hormone, Homoni inayo boresha...

↳ Nguvu za kiume..
↳ Hamu ya tendo la ndoa..
↳ Uzalishaji wa mbegu za uzazi Na
↳ Stamina ya mwili wakati wote...

Kuimarika kwa ubora wa mbegu za kiume, parachichi, almonds na mayai yana antioxidants na omega fatty acids ambazo hulinda seli za uzazi dhidi ya uharibifu wa oxidative stress....

Moja kwa Moja husaidia katika kuongezeka kwa..

↳ S***m motility (uwezo wa mbegu kuogelea)....
↳ S***m count..
↳ Ubora wa mbegu kwa ujumla..

Nguvu ya mwili na stamina kitandani, Mchanganyiko wa protein, healthy fats na micronutrients huimarisha.

↳ Uzalishaji wa nishati mwilini..
↳ Uimara wa misuli..
↳ Uwezo wa mwili kuhimili uchovu..

Ndiyo maana wanaume wanaoboresha lishe yao mara nyingi huona mabadiliko makubwa kwenye stamina na performance kitandani...

NB: Siri ya nguvu za kiume haipo kwenye booster za dukani, Msingi wake unaanzia kwenye mzunguko wa damu, homoni na lishe sahihi ya kila siku....

Sahani k**a hii inaweza kuonekana yepesi kwamba hutoshiba...😂

Lakini ndani yake kuna virutubisho vinavyosaidia mwili wako kujitengeneza wenyewe....

Swali langu kwako mwanaume mwenzangu…👇

K**a sahani yako ya kila siku ingekuwa na lishe k**a hii kwa wiki mbili tu..!!

Unadhani mwili wako ungefanya mabadiliko kwa kiasi gani..?

Andika neno (AFYA) nikutumie mwongozo wa sahani 12 bora kwa mwanaume......💪

Address

Masaki
Dar Es Salaam
14111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram