09/11/2025
Maumivu ya moyo ni matokeo ya tafsiri tunayotoa kwa kilichotokea. Tukikazia upande wa maumivu, tunaendelea kuumia. Lakini tukibadilisha mtazamo na kuona tukio kama sehemu ya ukuaji wetu, ubongo huanza kuachilia kemikali za utulivu kama serotonin na oxytocin.
Kwa hiyo, uponyaji wa moyo hauanzi nje - unaanza pale unaposema: “Sijapoteza, ila kuna manufaa kwenye hili"