Mc Charles Turuka

Mc Charles Turuka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mc Charles Turuka, Marriage Therapist, Dar es Salaam.
(3)

I'm a Professional MC | Content Creator | Marriage & Life Coach | Author of Life Reflections✍️.
• Helping people grow, heal & build meaningful relationships.🌱

🛜 CONNECT WITH ME:
📍 Instagram: mc_turuka
🎥 YouTube: mc_turuka

Muwe na Usiku Mwema Ndugu zangu🙏
09/03/2026

Muwe na Usiku Mwema Ndugu zangu🙏

With Charles Marwa – I'm on a streak! I've been a top fan for 9 months in a row. 🎉
09/03/2026

With Charles Marwa – I'm on a streak! I've been a top fan for 9 months in a row. 🎉

Tafakuri za  ✍️✍️✍️"Uovu huzaa hofu ndani ya nafsi ya mtu,hata bila kufuatwa.Lakini uadilifu huleta ujasiri na utulivu w...
09/03/2026

Tafakuri za ✍️✍️✍️

"Uovu huzaa hofu ndani ya nafsi ya mtu,hata bila kufuatwa.
Lakini uadilifu huleta ujasiri na utulivu wa moyo."

Tunawatakia Ushindi katika Wiki hii.
Mungu atusaidie Kuishi Kwa Haki na Furaha ili Kuishinda Hofu.

Wiki Mpya Imeanza!Mungu Mwema Atubariki Sisi sote mimi na wewe Rafiki yangu uliyeona hii post.Usipungukiwe Katika Kila U...
09/03/2026

Wiki Mpya Imeanza!
Mungu Mwema Atubariki Sisi sote mimi na wewe Rafiki yangu uliyeona hii post.
Usipungukiwe Katika Kila Unachokifanya.

Amen🙏

Tafakuri za ✍️✍️✍️ Kuna Tofauti kubwa sana kati ya:-🌀 Mwanamke anayetamani kuwa mke na mama wa watoto. 🌀 Na Mwanamke ana...
07/03/2026

Tafakuri za ✍️✍️✍️

Kuna Tofauti kubwa sana kati ya:-

🌀 Mwanamke anayetamani kuwa mke na mama wa watoto.
🌀 Na Mwanamke anayetamani kuolewa na kuwa na mume..

Hivyo moja ya maombi Bora Unayopaswa Kuyaomba Unapotaka kuoa..

✅ Ni Kumuomba Mungu akupe Mwanamke Aliye tayari kuwa mke na mama wa watoto kuliko anayetamani Kuolewa.
✅ Kwani Kuolewa tu hakutoshi Kumfanya kuwa mke Mwema✍️

Tafakuri Njema 🙏

Hongera sana Maboss Zangu..Ikawe ndoa Yenye Baraka na Kila lililo Jema.Ahsante sana Kwa Kuniamini  kuwa host kwenye Sher...
06/03/2026

Hongera sana Maboss Zangu..
Ikawe ndoa Yenye Baraka na Kila lililo Jema.

Ahsante sana Kwa Kuniamini kuwa host kwenye Sherehe yenu.

Let you have a blessed marriage🥰

05/03/2026

Hii ndiyo Hekima Bora zaidi Ambayo Kila mtu Anapaswa Kuwa nayo✍️

🎉 Facebook recognised me for starting engaging conversations and producing inspiring content among my audience and peers...
05/03/2026

🎉 Facebook recognised me for starting engaging conversations and producing inspiring content among my audience and peers!

04/03/2026

Halotel Tanzania hivi Mnatuchukuliaje?
Hivi kweli kwa Dunia ya Sasa.
Mtandao Unapotea Tarime kwa Masaa zaidi ya 12?
Hivi mnajua mnatuingiza hasara kiasi gani?

Tafakuri za  ✍️✍️✍️K**a ilivyo katika maisha kuwa Kuna:🌀 Usiku na mchana,🌀 Furaha na huzuni,🌀 Kilio na kicheko,🌀 Njaa na...
03/03/2026

Tafakuri za ✍️✍️✍️
K**a ilivyo katika maisha kuwa Kuna:
🌀 Usiku na mchana,
🌀 Furaha na huzuni,
🌀 Kilio na kicheko,
🌀 Njaa na shibe.

Vivyo hivyo, kuna kupata na kukosa.
Ukipata leo, usijivune wala kujiona bora kuliko wengine.
Ukikosa, usikate tamaa.

Kwani Kila mtu hupitia nyakati hizi kwa wakati wake,
Yote yakiwa chini ya mpango wa Mungu.

Uwe na wakati mwema, mpambanaji Mwenzangu🫡

02/03/2026

Tafakuri Njema🙏
Follow Mc Charles Turuka

Tafakuri za Mc Charles Turuka ✍️✍️✍️UJUMBE WA WIKI HII MPYA KWAKO 🫡"Ukweli ni mmoja:Ili uwe mshindi tena mshindi mwenye ...
02/03/2026

Tafakuri za Mc Charles Turuka ✍️✍️✍️
UJUMBE WA WIKI HII MPYA KWAKO 🫡

"Ukweli ni mmoja:
Ili uwe mshindi tena mshindi mwenye kuheshimika katika pambano lolote lile, lazima uwe na mtu imara wa kushindana naye.

Mpinzani wako akiwa Bora na Imara anakupa sababu ya kupambana kwa bidii zaidi.
Anakufanya usilale.
Anakulazimisha kuongeza bidii na nguvu zako kila siku ili Asije kukushinda.

Kwa kifupi, ushindi wako au mafanikio yako hayaamuliwi na juhudi zako pekee, bali pia na nguvu na ushindani unaokukabili.

Ndivyo ilivyo hata katika maisha ya kawaida.
Vikwazo na maadui si laana ni muhimu.
Huwa vinatuongezea bidii, kasi, ari, na sababu ya kupambana zaidi.

Kwa hiyo,
Usiwachukulie maadui zako k**a kikwazo cha safari yako,
kwa sababu kwa hakika, wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yako.
Waone k**a sababu ya wewe kupambana zaidi.

Tafakuri Njema🙏

Address

Dar Es Salaam

Website

https://wa.me/255764370212?text=Habari+MC+Turuka%2C+nimeona+kazi+zako+Facebook%2C+naomba+

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Charles Turuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram