18/04/2025
Jipatie Vipimo vya mwili mzima ( full body checkup ) kwa gharama nafuu ambapo kupitia Vipimo hivyo Tutakusaidia Kufahamu Chanzo na ukubwa wa Changamoto yako lakini pia Tutakusaidia Kupata matibabu rahisi na sahihi
Si hivyo tu, kupitia wataalamu wetu utajipatia Ushauri Nasaha bure ambao kwa kiasi kikubwa utakusaidia kuondoa Changamoto ulionayo
Tunatoa Huduma za Vipimo na matibabu kwa Changamoto Mbalimbali K**a vile
Kisukari,Presha,Maumivu ya Viungo,bawasili,Vidonda Vya Tumbo na kadhalika
Wasiliana Nasi Sasa Kupata Huduma Hii
0656922500