Afya Junction

Afya Junction NAWASAIDIA WENYE CHANGAMOTO ZA...
πŸ“ VIDONDA VYA TUMBO.
πŸ“ ACID REFLUX.
πŸ“ BAWASIRI.
πŸ“ KUKOSA CHOO / CHOO KIGUMU.
πŸ“ KUJAA GESI TUMBONI.
☎️ +255766377254

USIPUUZIE DALILI MBAYA ZA KOO, SARATANI ITAKUADHIBU CHUKUA HATUA ZA MATIBABU...Kwa msaada zaidi +255766377254   πŸ‡ΊπŸ‡²
13/01/2026

USIPUUZIE DALILI MBAYA ZA KOO, SARATANI ITAKUADHIBU CHUKUA HATUA ZA MATIBABU...Kwa msaada zaidi +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

12/01/2026

UMECHELEWA SANA KULIJUA HILI... CHUKUA HATUA SASA NA UANZE MATIBABU... Kwa msaada zaidi nipigie simu kwa: +255766377254

12/01/2026

USIRUHUSU KOO LAKO LIKUTESW KIASI HIKI,, Kwa msaada zaidi nipigie +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI...DOZI IMEFIKA MWANZA...HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO... Kwa msaada zaidi wa mati...
10/01/2026

MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI...
DOZI IMEFIKA MWANZA...
HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO... Kwa msaada zaidi wa matibabu nipigie simu kwa: +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

10/01/2026

ACID REFLUX ITAENDELEA KUKUTESA IKIWA BADO UPO KWENYE HALI HII, Kwa msaada zaidi nipigie +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

09/01/2026

HALI YA KUPATA HOFU NA WASIWASI MWINGI NI MOJA YA MADHARA YATOKANAYO NA CHANGAMOTO YA ACID REFLUX,,Kwa msaada zaidi wa matibabu nipigie Kwa: +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

HIZI NI HATUA TANO (5)zinazoelezea jinsi Acid Reflux (GERD) inavyoathiri mishipa ya neva ya parasympathetic (hasa Vagus ...
09/01/2026

HIZI NI HATUA TANO (5)
zinazoelezea jinsi Acid Reflux (GERD) inavyoathiri mishipa ya neva ya parasympathetic (hasa Vagus Nerve) na kusababisha tatizo la koo pamoja na maumivu/ usumbufu wa mfumo mzima wa fahamu:

HATUA YA 1:
Acid kupanda kutoka tumboni hadi kooni
Acid kali ya tumbo inapopanda juu (reflux), hufika hadi kwenye Koo / UMIO (larynx & pharynx)
Wakati mwingine hadi puani na masikioni
πŸ‘‰ Maeneo haya yana mishipa mingi ya neva, hasa ile ya parasympathetic (Vagus nerve).

HATUA YA 2:
Acid kuchoma na kuudhi Vagus Nerve
Vagus nerve hupita karibu sana na:
Umio, Koo, Kifua
Acid inapogusa au kuudhi tishu hizi:
Husababisha inflammation (uvimbe wa neva)
Neva hutuma signal za maumivu zisizo sahihi kwenda kwenye ubongo
πŸ‘‰ Hapa ndipo mtu huanza kuhisi:
-Koo kuwaka
-Kubana koo
-Hisia ya kitu kukwama kooni

HATUA YA 3:
Kuvurugika kwa kazi ya Parasympathetic Nervous System
Parasympathetic system husimamia:
Kupumua kwa utulivu
Mpigo wa moyo
Mmeng’enyo wa chakula
Utulivu wa mwili na akili
Acid reflux ikiiudhi:
Mfumo huu hupoteza balance
Mwili huingia hali ya stress ya kudumu
πŸ‘‰ Dalili huanza kuenea mwilini:
Mapigo ya moyo kwenda kasi
Kizunguzungu
Wasiwasi bila sababu
Uchovu wa mwili mzima

HATUA YA 4:
Ubongo kupokea taarifa za maumivu ya uongo (Referred pain)
Ubongo hushindwa kutofautisha chanzo halisi cha maumivu kwa sababu:
Vagus nerve huunganisha koo, kifua, tumbo na ubongo
πŸ‘‰ Ndiyo maana mtu huweza kuhisi:
Maumivu ya kichwa
Maumivu ya shingo
Maumivu ya kifua
Hisia za ganzi au kuchoma sehemu mbalimbali za mwili

HATUA YA 5:
Maumivu ya mfumo mzima wa fahamu (Nervous system overload)
Acid reflux ikidumu kwa muda mrefu:
Neva hubaki kwenye hali ya tahadhari (overstimulation)
Mfumo wa fahamu huchoka
πŸ‘‰ Dalili za mwisho hujumuisha:
Maumivu ya mwili mzima bila chanzo kinachoonekana
Usingizi kukatika
Hofu, panic attacks
Hisia ya β€œsipo sawa mwilini” muda wote
MUHIMU KUFIKIA
πŸ‘‰ Acid Reflux si tatizo la tumbo pekee,
πŸ‘‰ Ni tatizo linaloweza kuathiri neva, koo, ubongo na mfumo mzima wa fahamu k**a halitashughulikiwa mapema

πŸ‡ΊπŸ‡²

08/01/2026

USISUBIRIE KUFIKA KWENYE HALI HII,,QNZA MATIBABU HARAKA,Kwa msaada zaidi wa matibabu nipigie +255766377254

07/01/2026

UNASHINDWA KUMEZA CHAKULA KWA SABABU YA MAUMIVU KWENYE KOO...??
ANZA MATIBABU HARAKA, Kwa msaada zaidi nipigie +255766377254

HIZI NDIO SABABU KUU NNE (4)Zinazoeleza kwa nini tonsils (vichocheo vya koo) huweza kuvimba kutokana na ACID ya tumbo (A...
07/01/2026

HIZI NDIO SABABU KUU NNE (4)
Zinazoeleza kwa nini tonsils (vichocheo vya koo) huweza kuvimba kutokana na ACID ya tumbo (Acid Reflux / GERD):
1️⃣ ACID hupanda hadi kooni
Wakati acid ya tumbo inapopanda juu (reflux), hufika hadi koo na sehemu ya tonsils, hivyo kusababisha muwasho na uvimbe kwa sababu sehemu hizi hazijazoea kemikali kali k**a acid.

2️⃣ Huharibu kinga ya asili ya koo
Acid ya tumbo huondoa tabaka la ulinzi (mucus) la koo na tonsils, jambo linalozifanya ziwe rahisi kushambuliwa na bakteria au virusi, hivyo kuvimba mara kwa mara.

3️⃣ Husababisha inflammation ya muda mrefu
Kwa mtu mwenye acid reflux ya muda mrefu, tonsils hukaa kwenye hali ya uchochezi (chronic inflammation), hali ambayo husababisha kuvimba bila maambukizi ya moja kwa moja.

4️⃣ Huchochea mfumo wa kinga kupita kiasi
Acid inapogusa tonsils, mwili hutafsiri hali hiyo k**a tishio, hivyo mfumo wa kinga huamshwa kupita kiasi, na matokeo yake ni uvimbe, maumivu ya koo, na hisia ya kitu kukwama kooni.
πŸ“Œ Dalili zinazoweza kuambatana:
– Maumivu ya koo yasiyoisha
– Tonsils kuvimba mara kwa mara
– Harufu mbaya ya mdomo
– Koo kukauka au kuwaka moto
Kwa msaada zaidi wa MATIBABU nipgie simu kwa: +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

06/01/2026

HII NDIO NAMNA SAHIHI YA KUTIBU ACID REFLUX KWA TIBA YA KUDUMU,,,Kwa msaada zaidi nipigie +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

06/01/2026

TIBU ACID REFLUX ILI KUEPUKA MADHARA ZAIDI,, Kwa msaada zaidi wa matibabu nipigie simu kwa namba +255766377254
πŸ‡ΊπŸ‡²

Address

Makumbusho Bus Stand
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Junction posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram