VijanaEvents Production

VijanaEvents Production AFYA NDIO MTAJI WA KWANZA KABISA BAADA YA MUNGU. KARIBU JIDJE CARE KWA TIBA NA USHAURI WA CHANGAMOTO ZA MARADHI MBALIMBALI.. TUNAPATIKANA TANZANIA NZIMA.

Tutaweza kupata matukio mbalimbali humu ndani. Yanayohusu vijana, hususan vijana wa ki- Adventista wasabato, wakiwa katika matukio yao ya kidini.

15/07/2025
04/02/2025

Time to heal

07/04/2018

Sabato Njema Wana Na Binti Za Mungu...

20/07/2017

Wapendwa Katika KRISTO YESU Kwema Huumuuu...?? HEBU TUAMBIE MAKAMBI YAKO YANAANZA LINI NA WAPI Ili Tufike Na Kushirikisha Ulimwengu Mzima Kupeana Habari Njema Kutoka Sehemu Zetu Tulipo.. Barikiwa Pindi Unapotujuza Hilo..

17/02/2017

Tunapenda kuwatakia sabato Njema wapendwa wote... Ujumbe wetu kwa wote Nikwamba, huu ni wakati wa kuchukua Upanga wa neno na kuingia dhambi... Acha kubaki nyuma... Je wangoja nini huukoo...? Sisi tumeshaamua kusonga mbele.... Fuatana pamoja nasi.....

Ilikuwa ni furaha namna hiyo baada ya safari ndefu kutoka nchi Kenya to Tanzania....  Na pichani ni Baadhi ya Vijana wa ...
17/02/2017

Ilikuwa ni furaha namna hiyo baada ya safari ndefu kutoka nchi Kenya to Tanzania.... Na pichani ni Baadhi ya Vijana wa .. Wakiwa pamoja na kiongozi wa Idara ya Vijana .... Endelea kufuatilia mlolongo wa matukio haya....

13/02/2017

Tunapenda kuwasalimu wote katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo.... Ni msimu mwingine tena, baada ya kupoteana. Kwa muda,SaaSa tunakuja kuvingine tena... Jiandae kupokea taarifa na matukio mbalimbali yaliyofanyika kule nchini Kenya siku mbili zilizopita... Yaani katika Kongamano la Vijana likihusisha na Masuala ya Muziki...
Usiwe mbali sana kuifuatilia page yetu.. Maana tumedhamiria kukufikia, nawe pia uweze tambua ni kwanamna gani vijana wamejitolea kuifanya kazi ya Mungu....
Tukiwa chini ya bila kusahau lazima kazi isonge mbele... Keep on waiting........... VijanaEvents Production... Tumejizatiti kukuhabarisha.

Kazi inasonga mbele....         tunawatakia Sabato njema woote....
16/09/2016

Kazi inasonga mbele....
tunawatakia Sabato njema woote....

Address

Buguruni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VijanaEvents Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram