BJ Herbal center

BJ Herbal center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from BJ Herbal center, Medical and health, Kinondoni B, Dar es Salaam.

Tunasaidia wanaume & wanawake kuondokana na changamoto za uzazi kama vile:
●Wanawake – ugumba, PID, homoni imbalance, ovarian cysts.
● Wanaume – upungufu wa nguvu za kiume, kuwahi kumwaga, kushindwa kurudia tendo
Kwa kutumia bidhaa bora za asili!

MWANAUME: UNAKUMBWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME?Unapata shida ya uume kusimama. Unasimama lakini nguvu zinapotea haraka....
13/02/2026

MWANAUME: UNAKUMBWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME?
Unapata shida ya uume kusimama. Unasimama lakini nguvu zinapotea haraka. Unamwaga mapema. Unashindwa kuendelea na tendo hadi mwisho. Unakosa msisimko hata ukiwa na mwenza.
Haya ni matatizo yanayotibika kikamilifu kwa tiba sahihi.
BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama. Tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini. Tunatafuta chanzo cha tatizo na kutoa suluhisho sahihi.
Matokeo huanza kuonekana ndani ya siku 7 tu na nguvu hurudi taratibu bila kutumia booster.
Wasiliana nasi sasa: 0743 615 531
Tunapatikana Dar es Salaam.
BJ HERBAL CENTRE – Afya yako ni kipaumbele chetu.

MWANAUME, UNAKUMBIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME? Je, una dalili hizi:• Kupungua hamu ya tendo la ndoa• Uume kusimama kw...
13/02/2026

MWANAUME, UNAKUMBIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME?
Je, una dalili hizi:
• Kupungua hamu ya tendo la ndoa
• Uume kusimama kwa shida
• Kusimama bila uimara wa kutosha
• Uume kusimama lakini haraka kushuka
• Kumwaga mapema (kabla au muda mfupi baada ya kuanza)
• Kushindwa kuendelea na tendo hadi mwisho
• Kukosa msisimko hata ukiwa na mwenza
• Uume kulegea katikati ya tendo
Usijione dhaifu — tatizo lina suluhisho la uhakika.
🌿 BJ HERBAL CENTER tunatoa tiba asilia salama na inayotibu chanzo cha tatizo, sio booster.
✅ Dose ni siku 30 tu
✅ Ndani ya siku 7 matokeo huanza kuonekana kwa wateja wengi
📞 Piga simu sasa: 0743 615 531
📍 Dar es Salaam
💪 Kumbuka: Mwanaume ni nguvu za kiume
Kujiamini NdoaBora AfyaKwanza MatibabuAsilia DarEsSalaam

SABABU 4 ZA MWANAMKE KUKOSA HISIA ZA TENDO LA NDOA● Kukosa hisia za tendo la ndoa ni changamoto kubwa inayowaathiri wana...
06/02/2026

SABABU 4 ZA MWANAMKE KUKOSA HISIA ZA TENDO LA NDOA
● Kukosa hisia za tendo la ndoa ni changamoto kubwa inayowaathiri wanawake wengi na huathiri sana furaha ya ndoa, ukaribu wa kimapenzi, na hali ya kujiamini. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu za kiafya, kisaikolojia, na kimahusiano.
● Mabadiliko ya homoni. Kupungua kwa homoni ya estrogen husababisha uke kukauka, kupungua kwa hamu ya tendo, na hisia kuwa ndogo. Hali hii hutokea sana wakati wa msongo wa mawazo, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango, baada ya kujifungua, au kipindi cha kuelekea ukomo wa hedhi.
● Msongo wa mawazo na matatizo ya kisaikolojia. Mawazo mengi, hofu, presha ya maisha, migogoro ya ndoa, na uchovu mkubwa wa mwili huathiri ubongo na homoni za mapenzi na hivyo kupunguza kabisa hisia za tendo la ndoa.
● Magonjwa ya mfumo wa uzazi. Fangasi, bakteria, magonjwa ya zinaa, maambukizi ya uke, maumivu ya tumbo la uzazi, na matatizo ya via vya uzazi husababisha maumivu, muwasho, na hali ya kutokufurahia tendo.
● Kukosa maandalizi na ukaribu wa kimapenzi. Kukosa mawasiliano mazuri, foreplay duni, kutokujaliwa kihisia, na mazingira yasiyo rafiki hupunguza msisimko na kufanya mwanamke ashindwe kupata hisia za tendo la ndoa.
● Athari za kukosa hisia za tendo. Hupunguza furaha ya ndoa. Huletea mwanamke hali ya kujilaumu na kujiamini kushuka. Huongeza migogoro ya kimahusiano. Hupunguza ukaribu wa kimapenzi kati ya wanandoa.
● Suluhisho sahihi. Kutambua chanzo halisi cha tatizo. Kupata ushauri wa kitaalamu mapema. Kurekebisha mtindo wa maisha. Kupata tiba salama inayorejesha uwiano wa homoni na afya ya mfumo wa uzazi.
● BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama kwa matatizo ya mfumo wa uzazi kwa wanawake. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini ili kumsaidia mteja kupata suluhisho sahihi kulingana na tatizo lake.
● Anza kujijali sasa. Linda furaha ya ndoa yako. Rejesha hisia zako za tendo la ndoa. Wasiliana nasi kupitia namba 0743 615 531. Tunapatikana Dar es Salaam. BJ HERBAL CENTRE. Afya yako ni kipaumbele chetu.
Mahusiano TibaAsilia Consultation DarEsSalaam AfyaY

SABABU ZINAZOPELEKEA UKE KUTOA HARUFU MBAYA WAKATI WA TENDO LA NDOA● Harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowasumbua wanawak...
05/02/2026

SABABU ZINAZOPELEKEA UKE KUTOA HARUFU MBAYA WAKATI WA TENDO LA NDOA
● Harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi na huathiri sana kujiamini, mahusiano ya ndoa, na raha wakati wa tendo la ndoa. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiafya na kimazingira.
Sababu kuu za uke kutoa harufu mbaya:
● Maambukizi ya bakteria (Bacterial Vaginosis): Hali hii hutokea pale bakteria wabaya wanapozidi wale wazuri ukeni na kusababisha harufu kali k**a ya samaki.
● Maambukizi ya fangasi (Candida): Husababisha uchafu mzito mweupe, muwasho, na wakati mwingine harufu isiyo ya kawaida.
● Kutozingatia usafi wa sehemu za siri: Kukosa kunawa vizuri, kutumia maji machafu, au kuvaa chupi zenye unyevunyevu huongeza hatari ya harufu mbaya.
● Mabadiliko ya homoni: Kipindi cha hedhi, ujauzito, au matumizi ya dawa za uzazi wa mpango huweza kubadilisha mazingira ya uke na kusababisha harufu.
● Magonjwa ya zinaa (STDs): Kisonono, klamidia, trichomonas na mengine husababisha uchafu wenye harufu kali sana.
● Kubaki kwa mbegu za mwanaume ukeni: Mbegu zinaweza kubadilisha pH ya uke na kusababisha harufu mbaya endapo usafi hautazingatiwa.
Athari za tatizo hili:
● Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa.
● Kuvurugika kwa mahusiano ya kimapenzi na ndoa.
● Kuathiri hali ya kisaikolojia na kujiamini.
Nini cha kufanya:
● Epuka kujisafisha uke kwa kemikali kali au dawa za kuingiza ndani.
● Vaeni chupi safi za pamba na badilisha mara kwa mara.
● Kunywa maji ya kutosha na kula chakula bora.
● Pata ushauri wa kitaalamu mapema.
Suluhisho sahihi:
● Katika BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asili na tiba mbadala salama kwa matatizo ya uke, magonjwa ya zinaa, fangasi, na harufu mbaya ukeni. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini, ili kumpatia mteja ushauri sahihi kulingana na chanzo halisi cha tatizo lake.
Wasiliana nasi sasa:
● Simu: 0743 615 531
● Mahali: Dar es Salaam
BJ HERBAL CENTRE – AFYA YAKO NI KIPAUMBELE CHETU
Consultation AfyaYakoNiKipaumbeleChetu

MWANAUME: K**A UNAFANYA TENDO MARA KWA MARA HAKIKISHA UNAKULA VIZURI PIA● Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunahitaji...
05/02/2026

MWANAUME: K**A UNAFANYA TENDO MARA KWA MARA HAKIKISHA UNAKULA VIZURI PIA
● Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunahitaji mwili wenye nguvu, damu ya kutosha, homoni zenye uwiano sahihi, na afya bora kwa ujumla. Lishe bora ni nguzo muhimu sana katika kulinda nguvu za kiume na uwezo wa kufanya tendo kwa ufanisi.
● Lishe bora huongeza nguvu za kiume. Kula vyakula vyenye virutubisho sahihi huongeza uzalishaji wa homoni ya testosterone, huimarisha mishipa ya damu, na huongeza msisimko wa tendo la ndoa.
● Lishe bora huongeza mzunguko mzuri wa damu. Damu ikisambaa vizuri kwenye uume, husababisha kusimama kwa nguvu, kudumu kwa muda mrefu, na kuongeza uwezo wa kurudia tendo mara nyingi bila kuchoka haraka.
● Lishe bora hupunguza uchovu wa mwili. Vyakula vyenye protini, vitamini na madini huupa mwili nguvu, hupunguza kuchoka, na huongeza stamina ya mwanaume wakati wa tendo.
● Lishe bora huongeza ubora wa mbegu za kiume. Vyakula vyenye zinc, selenium, na vitamin E huongeza idadi, uimara, na ubora wa mbegu za kiume, hivyo kusaidia afya ya uzazi.
● Vyakula muhimu kwa mwanaume. Matunda k**a ndizi, parachichi, na tikiti maji. Mboga za majani k**a spinachi na broccoli. Karanga, korosho, na mbegu za maboga. Samaki, mayai, asali, tangawizi, vitunguu saumu, na nyama nyekundu kwa kiasi.
● Epuka vyakula hatarishi. Pombe kupita kiasi. Sigara. Vyakula vya mafuta mengi. Sukari nyingi. Vyakula vilivyosindikwa kupita kiasi. Vyakula hivi hupunguza nguvu za kiume na huharibu mishipa ya damu.
● Mtindo bora wa maisha. Pata usingizi wa kutosha. Fanya mazoezi. Punguza msongo wa mawazo. Kunywa maji ya kutosha. Epuka kukaa muda mrefu bila kusogea.
● BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama kwa matatizo ya nguvu za kiume, mbegu hafifu, kusimama kwa shida, kuwahi kumwaga, na matatizo mengine ya mfumo wa uzazi. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini ili kupata chanzo halisi cha tatizo na kutoa suluhisho sahihi.
● Wasiliana nasi sasa kupitia 0743 615 531. Tunapatikana Dar es Salaam. BJ HERBAL CENTRE. Afya yako ni kipaumbele chetu.
.

UKWELI KUHUSU UUME KUSIMAMA WAKATI WA KUAMKA● Kusimama kwa uume wakati wa kuamka (maarufu k**a morning er****on) ni hali...
04/02/2026

UKWELI KUHUSU UUME KUSIMAMA WAKATI WA KUAMKA
● Kusimama kwa uume wakati wa kuamka (maarufu k**a morning er****on) ni hali ya kawaida kabisa kwa mwanaume mwenye afya njema ya uzazi. Hii ni ishara muhimu inayoonesha kuwa mishipa ya damu, homoni na mfumo wa fahamu vinafanya kazi vizuri.
Ukweli muhimu unapaswa kuujua:
● Ni dalili ya afya njema ya uzazi: Mwanaume anayepata uume kusimama asubuhi mara kwa mara huonesha kuwa mzunguko wa damu kwenda kwenye uume upo vizuri na mishipa haijaziba.
● Husababishwa na homoni ya testosterone: Wakati wa usingizi, hasa alfajiri, kiwango cha testosterone huongezeka na kuchochea kusimama kwa uume.
● Ni ishara ya mishipa ya fahamu kufanya kazi vizuri: Mfumo wa neva unapokuwa mzima, husababisha msisimko wa asili unaoleta kusimama kwa uume bila msukumo wa kimapenzi.
● Ni kipimo cha afya ya nguvu za kiume: Kukosa kusimama asubuhi kwa muda mrefu kunaweza kuashiria matatizo ya nguvu za kiume, homoni, stress au magonjwa sugu.
● Husaidia kulinda afya ya uume: Kusimama huku husaidia kuingiza damu yenye oksijeni kwenye tishu za uume na kuzuia kudhoofika kwake.
K**a mwanaume hapati uume kusimama asubuhi, inaweza kuashiria:
● Matatizo ya homoni (testosterone kushuka)
● Msongo wa mawazo na stress
● Kisukari, presha ya damu au magonjwa ya moyo
● Uchovu uliopitiliza
● Matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya
Suluhisho sahihi:
Katika BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama kwa matatizo ya nguvu za kiume na afya ya uzazi. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini, ili kumpatia mgonjwa ushauri sahihi kulingana na chanzo halisi cha tatizo lake.
Usisubiri tatizo liwe kubwa. Afya yako ni mtaji wako.
Wasiliana nasi: 0743 615 531
Dar es Salaam
BJ HERBAL CENTRE – AFYA YAKO NI KIPAUMBELE CHETU
TibaAsilia Consultation AfyaYakoNiKipaumbeleChetu

SABABU ZA MWANAUME KUTOKUFIKA KILELENI● Kutokufika kileleni (delayed ej*******on au anorgasmia) ni tatizo linalowapata w...
04/02/2026

SABABU ZA MWANAUME KUTOKUFIKA KILELENI
● Kutokufika kileleni (delayed ej*******on au anorgasmia) ni tatizo linalowapata wanaume wengi, na huathiri afya ya uzazi, mahusiano na hali ya kisaikolojia. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo ya mwili, akili au mtindo wa maisha.
Sababu kuu ni hizi:
● Msongo wa mawazo na stress: Mawazo mengi, presha za kazi, matatizo ya kifamilia au hofu ya kushindwa huchangia sana kuchelewa au kushindwa kufika kileleni.
● Uchovu uliopitiliza: Kukosa usingizi wa kutosha na kufanya kazi nzito kupita kiasi hupunguza nguvu za mwili na hamu ya tendo la ndoa.
● Matatizo ya homoni: Upungufu wa testosterone na homoni nyingine husababisha kupungua kwa hamu ya tendo na kuchelewa kufika kileleni.
● Magonjwa sugu: Kisukari, presha ya damu, magonjwa ya moyo na matatizo ya mishipa ya fahamu huathiri mfumo wa uzazi.
● Matumizi ya pombe, sigara na dawa za kulevya: Hupunguza msisimko wa neva na mzunguko wa damu, hivyo kuchelewesha au kuzuia kufika kileleni.
● Matumizi ya baadhi ya dawa: Dawa za presha, msongo wa mawazo (antidepressants) na baadhi ya dawa za usingizi zinaweza kuathiri uwezo wa kufika kileleni.
Dalili zinazoambatana na tatizo hili:
● Kukosa hamu ya tendo la ndoa
● Kusisimka kwa muda mrefu bila kufika kileleni
● Kumaliza tendo bila kutoa manii
● Kuchoka haraka na kukosa msisimko
Suluhisho sahihi:
Katika BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama kwa matatizo ya nguvu za kiume na afya ya uzazi. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini, ili kumsaidia mgonjwa kulingana na chanzo halisi cha tatizo lake.
Usinyamaze na tatizo – tiba ipo.
Wasiliana nasi: 0743 615 531
Dar es Salaam
BJ HERBAL CENTRE – AFYA YAKO NI KIPAUMBELE CHETU
TibaAsilia Consultation AfyaYakoNiKipaumbeleCheti

SABABU 3 ZA KORODANI MOJA KUWA KUBWA KULIKO NYINGINE● Ni jambo la kawaida kwa mwanaume mmoja kuwa na korodani moja kubwa...
02/02/2026

SABABU 3 ZA KORODANI MOJA KUWA KUBWA KULIKO NYINGINE
● Ni jambo la kawaida kwa mwanaume mmoja kuwa na korodani moja kubwa kidogo kuliko nyingine. Mara nyingi hali hii hutokana na mpangilio wa kawaida wa mwili na haiashirii ugonjwa. Hata hivyo, mabadiliko makubwa au ya ghafla yanaweza kuashiria tatizo la kiafya.
● Sababu ya kwanza ni mpangilio wa asili wa mishipa na misuli ya korodani. Korodani moja huwa inaning’inia zaidi ili kusaidia kudhibiti joto sahihi la uzalishaji wa mbegu za kiume. Hii hufanya ionekane kubwa au nzito zaidi.
● Sababu ya pili ni mkusanyiko wa maji au mishipa kupanuka (hydrocele au varicocele). Hali hizi husababisha korodani kuonekana kubwa, nzito na wakati mwingine kuleta maumivu au joto kupita kiasi.
● Sababu ya tatu ni maambukizi, uvimbe au jeraha. Maambukizi ya njia ya uzazi, michubuko au ajali zinaweza kusababisha kuvimba kwa korodani na kuleta tofauti kubwa ya ukubwa.
● Dalili hatarishi ni maumivu makali, kuvimba ghafla, joto kali, homa, uzito usio wa kawaida au mabadiliko ya haraka ya umbo. Dalili hizi zinahitaji ushauri wa kitaalamu haraka.
● Katika BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kuonana ofisini. Tunachunguza chanzo cha tatizo na kutoa tiba sahihi kulingana na hali ya mgonjwa.
● Usipuuzie mabadiliko ya mwili wako. Chukua hatua mapema. Linda afya yako ya uzazi.
Wasiliana nasi: 0743 615 531
Tunapatikana Dar es Salaam
BJ HERBAL CENTRE – AFYA YAKO NI KIPAUMBELE CHETU
TibaAsilia Consultation DarEsSalaam2

VYANZO 3 VYA MAUMIVU WAKATI WA KUTOA MBEGU● Maumivu wakati wa kutoa mbegu ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi lakini ...
01/02/2026

VYANZO 3 VYA MAUMIVU WAKATI WA KUTOA MBEGU
● Maumivu wakati wa kutoa mbegu ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi lakini wengi hulificha. Tatizo hili huathiri raha ya tendo la ndoa. Hupunguza hamu ya tendo. Huleta hofu na msongo wa mawazo. Huathiri afya ya uzazi kwa ujumla.
● Chanzo cha kwanza ni maambukizi kwenye njia ya mkojo au njia ya uzazi. Maambukizi haya husababisha uvimbe na muwasho. Hufanya mishipa ya fahamu iwe nyeti. Huchochea maumivu wakati wa kutoa mbegu. Hali hii huweza kuambatana na maumivu wakati wa kukojoa. Harufu mbaya ya mkojo. Au uchafu usio wa kawaida.
● Chanzo cha pili ni matatizo ya tezi dume. Tezi dume inapovimba au kuwa na tatizo. Husababisha maumivu wakati wa kumwaga. Hupunguza nguvu za kiume. Husababisha kukojoa mara kwa mara. Huleta maumivu chini ya tumbo au kwenye korodani.
● Chanzo cha tatu ni msongo wa mawazo na uchovu wa mwili. Stress huathiri homoni za uzazi. Hupunguza mzunguko mzuri wa damu. Hufanya misuli ya sehemu za siri kujikaza. Husababisha maumivu na hali ya kutojisikia vizuri wakati wa tendo.
● Kupuuza dalili hizi kunaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi. Huongeza hatari ya maambukizi sugu. Hupunguza ubora wa mbegu. Huathiri uwezo wa kupata watoto. Huleta matatizo ya kudumu ya nguvu za kiume.
● BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia na tiba mbadala salama, yenye ufanisi na inayolenga chanzo halisi cha tatizo. Lakini pia tunafanya consultation ya mtu mmoja mmoja kwa njia ya simu au kwa kuonana ofisini, kwa faragha na usiri mkubwa, ili kumpa mteja tiba sahihi kulingana na hali yake. Tunasaidia kurejesha afya ya uzazi. Tunaboresha nguvu za kiume. Tunarejesha furaha ya ndoa.
● Chukua hatua mapema. Usisubiri tatizo liongezeke. Wasiliana nasi leo kupitia namba 0743 615 531. Tunapatikana Dar es Salaam. BJ HERBAL CENTRE. Afya yako ni kipaumbele chetu.
UzaziBora TibaAsilia MahusianoImara AfyaKwanza DarEsSalaam

SABABU 3 ZA KORODANI MOJA KUWA KUBWA KULIKO NYINGINE● Korodani moja kuwa kubwa kuliko nyingine ni hali inayoweza kutokea...
01/02/2026

SABABU 3 ZA KORODANI MOJA KUWA KUBWA KULIKO NYINGINE
● Korodani moja kuwa kubwa kuliko nyingine ni hali inayoweza kutokea kwa wanaume wengi. Mara nyingine ni hali ya kawaida ya kimaumbile. Lakini pia inaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi wa mapema.
● Sababu ya kwanza ni mkusanyiko wa maji kwenye korodani maarufu k**a hydrocele. Hali hii husababisha korodani kuvimba, kuwa nzito na wakati mwingine kusababisha maumivu. Ikiwa haitatibiwa mapema inaweza kuathiri afya ya uzazi wa mwanaume.
● Sababu ya pili ni varicocele, yaani kuvimba kwa mishipa ya damu inayozunguka korodani. Hali hii huathiri mzunguko wa damu na joto la korodani. Huathiri uzalishaji wa mbegu za kiume na inaweza kusababisha tatizo la uzazi.
● Sababu ya tatu ni maambukizi au uvimbe kwenye korodani. Maambukizi ya bakteria au virusi yanaweza kusababisha maumivu, uvimbe na kuongezeka kwa ukubwa wa korodani. Uvimbe usiotibiwa mapema unaweza kuleta madhara makubwa zaidi.
● Dalili hatarishi ni pamoja na maumivu makali, kuvimba ghafla, joto kwenye korodani, uzito usio wa kawaida, na mabadiliko ya umbo la korodani. Dalili hizi zinahitaji uchunguzi wa haraka.
● BJ HERBAL CENTRE tunatoa ushauri wa kitaalamu. Tunatoa tiba asilia salama na yenye ufanisi. Tunazingatia faragha ya mteja. Tunashughulikia chanzo cha tatizo. Tunasaidia kurejesha afya ya uzazi kwa mwanaume.
● Usisubiri tatizo liongezeke. Chukua hatua mapema. Linda afya yako. Linda uzazi wako. Wasiliana nasi kupitia 0743 615 531. Tunapatikana Dar es Salaam. BJ HERBAL CENTRE – AFYA YAKO NI KIPAUMBELE CHETU.
TibaAsilia DarEsSalaam

UNAFAHAMU KWAMBA MAJANI YA MABOGA NI TIBA NZURI YA NGUVU ZA KIUME KULIKO VI**RA?• Majani ya maboga yana virutubisho ving...
31/01/2026

UNAFAHAMU KWAMBA MAJANI YA MABOGA NI TIBA NZURI YA NGUVU ZA KIUME KULIKO VI**RA?
• Majani ya maboga yana virutubisho vingi muhimu vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya asili. Yana madini ya zinc, magnesium, chuma, na vitamini A, C na E ambavyo huimarisha mfumo wa uzazi wa mwanaume. Husaidia kuongeza hamu ya tendo na kuboresha uwezo wa kusimamisha uume.
• Zinc iliyopo kwenye majani ya maboga husaidia kuongeza homoni ya testosterone. Homoni hii ndiyo msingi wa nguvu za kiume. Upungufu wake husababisha mwanaume kukosa hamu ya tendo, kusimama kwa shida na kuwahi kumwaga. Majani ya maboga husaidia kurekebisha tatizo hili kwa usalama.
• Majani ya maboga huongeza mzunguko wa damu mwilini, hasa kwenye sehemu za siri. Mzunguko mzuri wa damu husababisha uume kusimama vizuri, kudumu muda mrefu na kutoa msisimko wa kutosha wakati wa tendo la ndoa.
• Majani ya maboga husaidia kutengeneza mbegu nyingi na zenye ubora. Husaidia kuboresha uwezo wa kupata mtoto. Hupunguza tatizo la mbegu chache, dhaifu au zisizo na mwendo mzuri.
• Tofauti na vi**ra, majani ya maboga hayana madhara makubwa kwa mwili. Vi**ra huongeza nguvu kwa muda mfupi lakini hairekebishi chanzo cha tatizo. Majani ya maboga hufanya kazi ya kurekebisha mwili taratibu na kutoa matokeo ya kudumu.
• Njia sahihi ya kutumia majani ya maboga ni kuyapika k**a mboga au kuyachemsha na kunywa maji yake. Matumizi ya mara kwa mara husaidia kuboresha nguvu za kiume, stamina na hamu ya tendo. Matokeo yake huonekana taratibu lakini huwa ya kudumu.
• Hata hivyo, kwa wanaume wenye matatizo makubwa ya nguvu za kiume, kuwahi kumwaga, kushindwa kusimamisha uume au kupungua kwa homoni, wanahitaji tiba ya ziada ya asili ili kurejesha afya ya uzazi kikamilifu.
• BJ HERBAL CENTRE tunatoa tiba asilia salama kwa matatizo yote ya nguvu za kiume. Tunarekebisha homoni. Tunaimarisha mishipa ya fahamu. Tunaongeza mzunguko wa damu. Tunaboresha mbegu. Tunatibu chanzo cha tatizo na siyo dalili pekee.
• Usinyamaze na tatizo. Chukua hatua mapema. Linda afya yako ya uzazi. Boresha maisha yako ya ndoa. Wasiliana nasi kupitia 0743 615 531. Tunapatikana Dar es Salaam. BJ HERBAL CENTRE — AFYA YAKO NI KIPAUMBELE .

Address

Kinondoni B
Dar Es Salaam
14110

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BJ Herbal center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram