Mr Afya App

Mr Afya App Mr. Afya App ni suluhisho lako bora kwa huduma za afya mtandaoni. Pakua hapa πŸ‘‰ http://bit.ly/44G8vI6

😊 Anza mwaka ukiwa na tabasamu na afya njema. Mr Afya App inakusaidia kujua, kuelewa na kujali afya yako kila siku.
01/01/2026

😊 Anza mwaka ukiwa na tabasamu na afya njema. Mr Afya App inakusaidia kujua, kuelewa na kujali afya yako kila siku.

07/12/2025

🀫 Uliza bila aibu!
Maswali yako ya afya ni siri yako,
Mr Afya App inayaheshimu kwa usiri wa hali ya juu.
Pata majibu ya haraka, sahihi na ya kitaalamu moja kwa moja kwenye simu yako.

πŸ“² Pakua Mr Afya App sasa.

🍺Ukweli uliofichwa kuhusu Nguvu za kiume na Chupa ya bia....Download Mr Afya appπŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6
11/10/2025

🍺Ukweli uliofichwa kuhusu Nguvu za kiume na Chupa ya bia....

Download Mr Afya app

πŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

πŸ€” Kuna huu mchanganyiko maarufu wa Panadol na Energy watu huamini unaongeza nguvu za kiume, lakini ukweli wake ni zaidi ...
01/10/2025

πŸ€” Kuna huu mchanganyiko maarufu wa Panadol na Energy watu huamini unaongeza nguvu za kiume, lakini ukweli wake ni zaidi ya nguvu za kiume una mambo makubwa ya kiafya...

πŸ“² Pakua Mr Afya App kwenye Play Store ujue siri nzima,
Bonyeza hii link https://bit.ly/44G8vI6

πŸ’” Umeshapitia heartbreak?Don’t worry… ni sehemu ya safari ya maisha!Lakini kumbuka πŸ‘‰ afya yako ya mwili na akili ndiyo t...
11/09/2025

πŸ’” Umeshapitia heartbreak?

Don’t worry… ni sehemu ya safari ya maisha!
Lakini kumbuka πŸ‘‰ afya yako ya mwili na akili ndiyo ticket ya kusimama tena πŸ™Œ

🌿 Mr Afya App inakupa tips πŸ”‘, ushauri wa madaktari 🩺 na elimu ya afya πŸ’‘ ili ujijenge upya bila stress.

πŸ“² Pakua sasa… ni BURE✨

Bonyeza hapa πŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

πŸ‘©β€πŸ‘©β€πŸ‘§ Unatafuta kupata ujauzito haraka?Usibaki na maswali bila majibu…??? πŸ“² Pakua Mr Afya App upate ushauri wa kitaalamu...
07/09/2025

πŸ‘©β€πŸ‘©β€πŸ‘§ Unatafuta kupata ujauzito haraka?

Usibaki na maswali bila majibu…???

πŸ“² Pakua Mr Afya App upate ushauri wa kitaalamu kutoka kwa madaktari 🩺 na elimu ya afya ya uzazi itakayokusaidia kufanikisha ndoto yako ya kuwa mama.

πŸ‘‰ Kila safari ya maisha huanza na hatua moja, Ndoto yako ya kuitwa Mama ianze sasa na
Mr Afya App

Bonyeza hapa πŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

22/08/2025

"Maumivu yasikusumbue tena! 😷
Kupitia Mr Afya App unaweza kuzungumza na daktari, kupata elimu ya afya na kujua jinsi ya kujikinga na maradhi mapema.

πŸ“²Pakua sasa Mr Afya App – Afya bora, bila usumbufu."

Bonyeza hapa πŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

🌟 Changamoto ni Sehemu ya Safari ya Maisha…Jifunze njia rahisi na zenye nguvu za kusimama imara hata unapopitia wakati m...
11/08/2025

🌟 Changamoto ni Sehemu ya Safari ya Maisha…
Jifunze njia rahisi na zenye nguvu za kusimama imara hata unapopitia wakati mgumu.
πŸ“² Pakua Mr Afya app sasa na soma makala kamili ya β€œNamna ya Kusimama Imara Wakati wa Changamoto.”

Afya yako na ustawi wako, jukumu letu πŸ’š

🦷Unapata maumivu ya jino kwa sababu ya mdudu mdogo?😫Usiruhusu maumivu tena!πŸ“² Pakua Mr Afya app sasa, pata ushauri wa wat...
10/08/2025

🦷Unapata maumivu ya jino kwa sababu ya mdudu mdogo?😫
Usiruhusu maumivu tena!

πŸ“² Pakua Mr Afya app sasa, pata ushauri wa wataalamu na jifunze jinsi ya kumtoa mdudu kwa urahisi.

πŸ’‘ Afya ya meno ni muhimu download sasa!
Bonyeza hapa πŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

🟒 Je, unahangaika na uzito mkubwa?Uzito mkubwa huongeza hatari ya kisukari, shinikizo la damu, na magonjwa ya moyo β€” lak...
15/07/2025

🟒 Je, unahangaika na uzito mkubwa?

Uzito mkubwa huongeza hatari ya kisukari, shinikizo la damu, na magonjwa ya moyo β€” lakini habari njema ni kwamba unaweza kuanza kubadilika leo!

βœ… Mambo ya msingi ya kuzingatia:

🍽️ Kula vizuri – punguza wanga, kula zaidi mbogamboga na matunda
πŸšΆβ€β™‚οΈ Fanya mazoezi – hata kutembea kila siku
πŸ§˜β€β™€οΈ Punguza msongo – pumzika na lala vya kutosha
πŸ’§ Kunywa maji mengi angalau glass 8 kwa siku – acha soda na vinywaji vyenye sukari

Badiliko dogo leo, ni afya bora kesho!
πŸ‘‰ Pakua Mr. Afya App kwa ushauri wa moja kwa moja na miongozo bora ya lishe na mazoezi.

πŸ”— Pakua hapa sasa https://bit.ly/44G8vI6

πŸ” Umekuwa ukiamini kila unachosikia kuhusu hedhi?πŸ›‘ Baadhi ni uongo unaoweza kukupotosha na kuhatarisha afya yako!πŸ“˜ Mr. A...
01/07/2025

πŸ” Umekuwa ukiamini kila unachosikia kuhusu hedhi?
πŸ›‘ Baadhi ni uongo unaoweza kukupotosha na kuhatarisha afya yako!

πŸ“˜ Mr. Afya App inakufundisha:
βœ… Nini ni kweli kuhusu hedhi
βœ… Uongo maarufu unaosambaa
βœ… Na jinsi ya kujitunza kiafya

🎯 Elimu sahihi ipo Mr Afya app.
Pakua Mr. Afya App sasa
Bonyeza hapa πŸ‘‰ https://bit.ly/44G8vI6

Address

Tabata Aroma
Dar Es Salaam
12103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Afya App posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram