12/07/2025
🔥 TUMIA CHAKULA K**A DAWA… 🔥
_Ili baadaye usije kutumia DAWA k**a chakula_
Maneno haya yanabeba hekima ya kina sana kuhusu afya yako:
✅ Chakula ni msingi wa afya bora. Unachokula kila siku kina uwezo wa kuimarisha kinga ya mwili au kuleta magonjwa taratibu bila kujua.
✅ Lishe bora ni kinga. Matunda, mboga mboga, mbegu k**a karanga, chia, maboga, mayai, samaki nk. vina virutubisho muhimu k**a vitamini, madini (k**a zinc na iron), protini na antioxidants.
✅ Ukila vibaya leo, utatibu kesho. Ulaji wa vyakula vya mafuta mengi, sukari nyingi, vyakula vya haraka (junk food) husababisha kisukari, shinikizo la damu, saratani, uzito kupita kiasi, na matatizo ya uzazi.
✅ Epuka kutegemea dawa k**a mlo. Kuna watu wanaishi kwa kutumia dawa kila siku kwa sababu walipuuza lishe bora.
🟢 Chagua leo kula vizuri.
🟢 Wekeza kwenye afya, si maradhi.
🟢 Lishe ni tiba ya asili isiyo na madhara.
TUMIA CHAKULA K**A DAWA –Afya ni hazina, si bahati.
Ni jukumu lako kulinda Afya Yako kwa mwenendo mzima wa MAISHA tusiishi kwa mazoea Kila siku zingatia mlo kamili na Fanya mazoezi Kila siku au angalau mara tatu kwa wiki.
Magonjwa mengi yasiyo ya kuambukizwa husababishwa na mwenendo wetu wa MAISHA ikiwepo Lishe Duni, mfano magonjwa k**a vile presha, kisukari, mvurugiko wa homoni, upungufu wa nguvu za kiume, tezi DUME, nk.
Kwa ushauri zaidi wasiliana NAMI kupitia
https://wa.me/255627218576