19/06/2025
🌱 *UFAHAMU UGONJWA WA P.I.D* 🌱
⚡ Pelvic inflammatory disease (P.I.D) -Ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani uterus, Fallopian tube, o***y na parametrium.
⚡ HUSABABISHWA NA WADUDU WAJULIKANAO K**A:
👉Gonococci
👉Chlamydia
Hawa wawili ndo visababishi vikubwa vya PID, na wengineo K**a vile:
👉 Staphylococcus
👉 Streptococcus
👉 Coliforms
👉 Mycoplasma
👉Colistridium perfringens
🔷Huenezwa kwa njia ya kufanya mapenzi (through sexual in*******se) kwa asilimia kubwa.
🔷Njia zingine ni k**a:
👉 Wakati wa kuwekewa kitanzi cha uzazi wa mpango (insertion of intrauterine contraceptive device)
👉 Wakati wa kutoa mimba(therapeutic or elective abortion)
👉 Wakati wa kujifungua mtoto(during childbirth)
👉 Wakati wa Upasuaji wa endometrium(endometrial biopsy)
🥬 DALILI ZA P.I.D🥬
👉Kutoka uchafu usio wa kawaida ukeni (vaginal discharge with abnormal colour)
👉 Maumivu ya Tumbo la chini(lower abdominal pain)
👉 Hedhi isiyoeleweka (irregular menstrual cycle)
👉 Maumivu wakati wa hedhi(increased menstrual cramping)
👉 Maumivu wakati wa kufanya mapenzi (pain during sexual in*******se)
👉Kutoka damu baada ya tendo(bleeding after sexual in*******se)
👉 Kichefuchefu (nausea)
👉Kukosa hamu ya chakula (lack of appetite)
👉 Kuchokachoka (fatigue)
👉Maumivu ya kiuno(lower back pain)
🔷WATU WALIOPO KWENYE HATALI YAKUPATA P.I.D NI🔷
👉Watu waliofikia umri wa kufanya mapenzi (sexually active age group)
👉Watu wenye mahusiano na mpenzi zaidi ya moja(multiple sexual partners)
👉Wenye upungufu wa Kinga ya mwili(immunodeficiency)
👉Wenye historia ya kuwa na PID(past history of PID)
👉Wenye kuingiziwa vitanzi(Insertion of IUCD).
🔷 MADHARA YA PID🔷
👉Ugumba/kushindwa kubeba mimba (infertility)
👉Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy)
👉 Maumivu ya muda mrefu(chronic pelvic pain)
👉 Kutungwa kwa usaha(pelvic abscess)
👉Mimba kuharibika (Miscarriage)
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Mirija ya uzazi kuziba
👉Kupata saratani ya shingo la kizazi
👉Kuvurugika kwa mfumo wa homoni (hormonal imbalance)
🔥 *NOTE* UONAPO DALILI HIZO TAFUTA MSAADA WA KUONDOKANA NA TATIZO HILO.
Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
WHATSAPP 0756260521