Mkeka Tiba

Mkeka Tiba Foot Massager Kubwa
Ni mkeka uliotengenezwa na teknlogia ya kisasa, unachosaidia kuchochea misuli

01/07/2025

Foot Massager Kubwa
Ni mkeka uliotengenezwa na teknlogia ya kisasa, unachosaidia kuchochea misuli kwenye miguu na kutoa massage yenye manufaa kwa afya ya miguu.

Tsh130000

0757101625

Kifaa hiki kinasaidia
• kupunguza maumivu,
• kuimarisha misuli,
• kuboresha mtiririko wa damu,
• kuondoa miguu kuwaka moto
• Miguu kufa ganzi
• Miguu kujaa na
• kusaidia kupumzisha misuli ili kuondoa msongo wa miguu na kusaidia kupata usingizi.

Kifaa hchi ni husaidia makundi mbali mbali ikiwemo:
• Watu wanaotumia mda mrefu Kusimama au Kukaa
• Watu wenye matatizo ya miguu k**a plantar fasciitis, soreness, neuropathy, or poor circulation na mengineyo
• Watu wa Mazoezi
• Watu wanaosafiri
• Watu wanaojali afya zao na kutaka kurelax baada ya mda mrefu wa kazi

Hairuhusiwi kwa
• Wanawake wajawazito
• Watu wenye vidonda vibichi kwenye miguu
• Watu wenye upasuaji wa hivi karibuni kwenye miguu yao

Matumizi
• Weka massager kwenye sehemu inayofaa k**a sakafu.
• Weka miguu yako kwenye massager

Tunapatikana kariakoo Mtaa wa N

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkeka Tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram