Nutr-Eat Food Pro

Nutr-Eat Food Pro Nutr–Eat Food Pro! Tunatoa Huduma Ya Uzalishaji Na Uuzaji Nutrients, Herbs & Spices.

Bofya Kutazama Catalog Yetu.

>>https://sites.google.com/view/nutreatpro/home

15/03/2026

Mwani(Seamos) for Healthy body
゚viralシ

15/03/2026

Rastafarian trying to defend the legality of using 'Holly Herb'
゚viralシ

14/03/2026

14/03/2026

Tip ya Afya kutoka kwa Prof. Janabi

🔥 Siri Watu Wengi Hawaijui Kuhusu Mstafeli( soursop)! 🔥Kila siku watu wengi wanahangaika na:❌ Uchovu usioisha❌ Sukari ku...
14/03/2026

🔥 Siri Watu Wengi Hawaijui Kuhusu Mstafeli( soursop)! 🔥
Kila siku watu wengi wanahangaika na:
❌ Uchovu usioisha
❌ Sukari kupanda (Kisukari)
❌ Presha ya kupanda (Shinikizo la damu)
❌ Maumivu ya viungo na mwili
❌ Kinga dhaifu ya mwili
Lakini wengi hawajui kuwa majani ya mstafeli yana nguvu kubwa sana kiafya!
🌿 UNGA WA MAJANI YA MSTAFELI 🌿
Ni moja ya mimea inayotafitiwa sana kwa sababu ina:
✅ Antioxidants nyingi sana
✅ Kemikali asilia zenye kusaidia mwili kujilinda
✅ Virutubisho vinavyosaidia kurejesha nguvu za mwili
💥 Matokeo ambayo watu wengi wanasema wanayapata:
✔️ Mwili kupata nguvu na uchovu kupungua
✔️ Kinga ya mwili kuimarika
✔️ Presha kusaidiwa kushuka
✔️ Sukari kusaidiwa kudhibitiwa
✔️ Mwili kupambana na seli zisizo za kawaida zinazohusishwa na Saratani
⚠️ Tatizo ni hili:
Watu wengi wanakuja kuuliza wakati afya tayari imeanza kudorora.
Usingoje hadi hali iwe mbaya.
🔥 Anza kutumia nguvu ya asili ya mstafeli sasa!
📦 Unga safi wa majani ya mstafeli upo tayari.
📲 Agiza sasa:
0625 516 311
⏳ Stock ni ndogo – wanaowahi kuagiza ndiyo wanapata!

14/03/2026

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Shaban Ligomba, Cecylia Makwati, Ephraimjobu Mtafya

14/03/2026

Tip ya Afya kutoka kwa Prof.Janabi kwa watu wenye Kisukari

14/03/2026

Tip ya Afya kutoka kwa Prof.Janabi

KISUKARI!!!?Kwa Madini haya yaliyoko ndani ya   (Seamoss), Kisukari kinapatia wapi Upenyo!?Tazama maajabu ya Mungu. Madi...
14/03/2026

KISUKARI!!!?
Kwa Madini haya yaliyoko ndani ya (Seamoss), Kisukari kinapatia wapi Upenyo!?
Tazama maajabu ya Mungu.

Madini Muhimu Ndani ya Mwani Yanayosaidia kudhibiti Kisukari.
1️⃣ Magnesium;
-Husaidia mwili kutumia vizuri insulin.
-Hupunguza upinzani wa insulin (insulin resistance).
-Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu.

2️⃣ Zinc (Zinki)
-Husaidia kazi ya Kongosho inayozalisha insulin.
-Husaidia mwili kuhifadhi na kutumia insulin vizuri.

3️⃣ Chromium
Ni madini muhimu sana kwa watu wenye kisukari.
Husaidia seli kutumia glucose vizuri na kupunguza kupanda kwa sukari ya damu.

4️⃣ Iodine
Husaidia kazi ya Tezi.
Tezi ikifanya kazi vizuri huimarisha mfumo wa metabolisim wa mwili.

5️⃣ Iron (Chuma)
Husaidia kuongeza damu mwilini na kuboresha mzunguko wa damu.

6️⃣ Calcium
Husaidia afya ya mishipa ya damu na moyo, ambayo mara nyingi huathiriwa na kisukari.

Faida Nyingine za Mwani kwa Mwenye Kisukari
✔ Hupunguza kupanda kwa sukari baada ya kula
✔ Husaidia kupunguza cholesterol
✔ Huboresha mmeng'enyo wa chakula
✔ Husaidia kupunguza uzito uliopitiliza
💡 Muhimu: Mwani pia una fiber nyingi ambazo hupunguza kasi ya sukari kuingia kwenye damu.

Sema nasi:
0625 516 311 Dar es Salaam
0744652340 Dar es Salaam
0785680096 Mwanza
+255753174446 Moshi

13/03/2026

🔥 UMESHAJARIBU NGUVU YA VIUNGO VYA ASILI?
Watu wengi wanateseka na:
❌ Kuchoka mwili kila siku
❌ Tumbo kujaa gesi
❌ Kinga ya mwili kushuka
❌ Maumivu ya viungo na mifupa
Sasa suluhisho limefika!
💥 NUTR-EAT POWER SPICE
Mchanganyiko maalum wa
✔ Tangawizi
✔ Iliki
✔ Karafuu
✔ Mdalasini
FAIDA ZAKE:
✅ Huimarisha kinga ya mwili
✅ Husaidia mmeng’enyo wa chakula
✅ Huongeza nguvu na uchangamfu
✅ Husaidia mwili kupunguza mafuta
✅ Husaidia mwili kupambana na uchovu.

Kijiko kimoja tu kwenye chai au maji ya uvuguvugu kila siku!
⚠️ Usisubiri mpaka mwili uchoke kabisa. Anza kujali afya yako sasa!
📞 Agiza sasa:
0625 516 311
🏷 NUTR-EAT POWER SPICE
"Nguvu ya viungo vya asili kwa afya yako."

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Shaban Ligomba, Cecylia Makwati, Ephraim...
13/03/2026

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Shaban Ligomba, Cecylia Makwati, Ephraimjobu Mtafya

Address

Kariakoo Soko Kuu, Swahili/Mkunguni
Dar Es Salaam
11106

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nutr-Eat Food Pro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category