13/01/2026
K**a unatumia dawa za maumiv kwa muda mref jua kwamba upo hatarini kupata
Vidonda vya tumbo
Magonjwa ya ini
Magonjwa ya Figo n.k
K**a unachangamoto yoyote bas itibie mapema kabla changamoto yako haijawa kubwa zaidi
Nitafute Kwa ushauri na tiba zaidi