07/01/2026
π¨π¦πππ¨π₯π ππͺπ π ππ’π‘ππͺπ πͺπ πππͺππ¦πππ (πππ π’π₯π₯ππ’πππ¦)
Bawasili si laana, ni hali ya kiafya inayoweza kudhibitiwa kwa mabadiliko sahihi ya maisha na lishe. Jilinde leo kwa kufanya yafuatayo
πππ‘π¦π π¬π ππ¨πππππ‘ππ π‘π ππ¨π£π¨π‘ππ¨ππ ππππππ
- Epuka kukaa chooni muda mrefu bila haja
- Usilazimishe choo (kujikamua sana)
- Kunywa maji ya kutosha (glasi 8β12 kwa siku)
- Fanya mazoezi mepesi kila siku ili kusaidia mmengβenyo
- Epuka kukaa au kusimama muda mrefu bila kupumzika
- Hakikisha choo kinakuwa laini, si kigumu
π©π¬πππ¨ππ π©π¬π ππ¨ππ (π©ππ‘ππ©π¬π’π¦πππππ)
- Mboga za majani mchicha, matembele, kabichi
- Matunda yenye nyuzinyuzi papai, chungwa, pera, maapulo
- Vyakula vya nafaka zisizokobolewa β dona, ulezi, mtama, shayiri
- Karanga na kunde β maharage, dengu, mbaazi
- Maji mengi β husaidia kulainisha choo
π©π¬πππ¨ππ π©π¬π ππ¨ππ£π¨ππ
- Vyakula vya kukaanga sana
- Pilipili nyingi na viungo vikali
- Pombe
- Vyakula vya haraka (fast foods)
- Chai au kahawa kupita kiasi
ππ¨π ππ¨ππ
π Bawasili hudhibitika bila upasuaji kwa wengi endapo lishe na mtindo wa maisha vitazingatiwa
π Usipuuzie dalili k**a maumivu, kuwasha, au damu chooni
π Ushauri wa kitaalamu ni muhimu mapema
π Afya njema huanza na maamuzi sahihi ya kila siku.
π Jitunze, jilinde, na badilisha lishe yako leo.
Ikiwa unapitia changamoto yoyote wasiliana nasi