Afya Care

Afya Care Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto za kiafya

‼️‼️HUDUMA YA VIPIMO VYOTE ,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO, 🩸USIFANYE UPASUAJI KWANZA. GCAT HOSPITAL, IMETOA ...
30/09/2025

‼️‼️HUDUMA YA VIPIMO VYOTE ,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO, 🩸USIFANYE UPASUAJI KWANZA.

GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa(supplements) tiba lishe

Magonjwa tunayo PIMA NA KUTIBU ni;
✅,SUMU MWILINI ✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa, ✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari ✅Pumu
✅Stroku. ✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa, ✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi, ✅Figo, ✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri, ✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0766569991

TAMBUA AFYA YA MWILI WAKO KWA KUFANYA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA 30,000/=               (Fully Body Checkup)  WIKI YA MW...
12/09/2025

TAMBUA AFYA YA MWILI WAKO KWA KUFANYA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA 30,000/=
(Fully Body Checkup)

WIKI YA MWISHO YA MWEZI KWA ZETU HIZI

Tambua afya ya mwili wako kwa kupata huduma ya vipimo vya mwili mzima leo ( Fully Body Checkup) kwa kutumia vifaa vya kisasa na Taasisi ya Kimataifa ya Watu wa CHINA GCAT International, na upate huduma kutoka kwa madaktari bingwa wenye uzoefu. Tunakuletea huduma bora na salama kwa bei nafuu ya Ofa.

Ukifika kwenye kituo chetu chochote, utafanya vipimo vyote vya mwili mzima kwa Ofa ya TZS 30,000 tu (Badala ya TZS 50,000)! Lengo kuwafanya Watanzania wafahamu afya ya miili yao.

HUDUMA YA BURE: Utapata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari bingwa kabla/baada ya vipimo.
Ikiwemo kumuona dokta ni bure.

FAIDA ZA HUDUMA YETU.
✔ Vipimo vinavyolenga kugundua matatizo mapema.
✔ Vifaa vya kisasa vinavyotoa matokeo ya haraka na sahihi.
✔ Ushauri wa bure ili kuhakikisha unapata matibabu bora.

Ili kupata huduma zetu tembelea tawi letu lililo karibu nawe ( DAR ES SALAAM Majumba Sita, Mbezi, Tegeta na Mbezi,
MOROGORO Nanenane na Kilombero Kiwanda cha miwa,
DODOMA Sabasaba karibu na Dodoma Secondari,
MWANZA Nata karibu na msikiti wa Wahindi, ARUSHA Kaloleni karibu,
MOSHI Kilimani Plaza,
TANGA Kange,
MBEYA sowete.. N.k.

FIKA SASA UPATE HUDUMA: Kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kupata huduma, tupigie kwa 0766 569 991

KARIBU SANA, TUNAJALI AFYA YAKO.



10/09/2025

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu!

Changamoto Za Uzazi Kwa Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufanana Lakini Vyanzo Na Visababishi Vyake Hutofautiana Sana.

Ili Kutibu Changamoto Za Uzazi Kwa Uhakika Zaidi Shiriki Kwanza Vipimo Vya Mfumo Mzima Wa Uzazi Vitakavyokusaidia Sana Kufahamu Yafuatayo;

✅️ Kujua Tatizo Zaidi Ni Lipi (Wengi Hawafahamu Changamoto Walizonazo Wanaziotea Tu Kwa Kuangalia Dalili Peke Yake)

✅️ Kufahamu Chanzo Cha Tatizo (Changamoto Za Uzazi Hazitibiwi Kwa Kutazama Matokeo Peke Yake! Vipimo Vitakupa Nafasi Ya Kufahamu Vyanzo Ni Vipi Na Ndio Msingi Wa Afya Njema Ya Uzazi)

✅️ Kufahamu Namna Tatizo Lilivyoathiri Uzazi Kwa Ndani

Vipimo Hivi Vya Uzazi Na Matibabu Ya Uzazi Yanapatikana Kwenye Vituo Vyetu Vya Afya Vilivyopo Kwenye Zaidi Ya Mikoa 20 Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu!)

Ndio Ni Kwa Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu)

Wasiliana Nasi Hapa Kupata Vipimo Sahihi Vya Uzazi Na Matibabu Sahihi Zaidi

0766569991

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram