Devotha na Afya

Devotha na Afya SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA MFUMO MZIMA WA MMENG'ENYO WA CHAKULA|0761642491

08/03/2026

Happy Women’s Day 🌸✨
Leo tunasherehekea nguvu, ujasiri na thamani ya mwanamke.
Mwanamke ni chanzo cha upendo, matumaini na mabadiliko duniani.
Usisahau kuwa wewe ni wa thamani, una nguvu kubwa ndani yako, na unaweza kufikia ndoto zako zote.
Endelea kung’aa, kuamini na kusimama imara.
Happy International Women’s Day to all amazing women! 💜🌷”

K**a una dalili zifuatazo nitafute nikupatie suluhisho kamili 1.Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa.2.Maumivu au kuwash...
28/02/2026

K**a una dalili zifuatazo nitafute nikupatie suluhisho kamili
1.Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa.
2.Maumivu au kuwasha kwenye sehemu ya haja kubwa
3.uvimbe karibu na sehemu ya haja kubwa.
4.Kuvimba kwa sehemu ya haja kubwa au hisia ya kutokuwa na raha na maumivu unapokaa.

27/02/2026

💧 Maji husaidia nini kwenye mfumo wa mmeng’enyo?
✔️ Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
Maji husaidia kuvunja chakula tumboni na kurahisisha ufyonzwaji wa virutubisho. Bila maji ya kutosha, mmeng’enyo huwa polepole.
✔️ Kuzuia choo kigumu (constipation)
Maji hufanya kinyesi kuwa laini na rahisi kutoka. Ukikosa maji, mwili huchukua maji yaliyopo kwenye chakula kilichosagwa → kinyesi hukauka na kuwa kigumu.
✔️ Kupunguza gesi na kuvimba tumbo
Mmeng’enyo mzuri unaotokana na maji ya kutosha hupunguza fermentation isiyohitajika tumboni ambayo husababisha gesi.
✔️ Kusafisha mwili (detox naturally)
Maji husaidia figo na utumbo kutoa uchafu mwilini kwa ufanisi zaidi.

25/02/2026

NDIYO 💯% Afya nyingi huanzia tumboni!
✔️ Virutubisho vikikosa kufyonzwa → ngozi hukosa lishe, inachoka, chunusi huongezeka.
Unapokula chakula, kazi ya utumbo mdogo ni kufyonza vitamini na madini k**a Vitamin A, C, E, Zinc na Iron.
K**a utumbo una tatizo (kuvimba, bakteria kuvurugika, au mmeng’enyo hafifu), virutubisho havifyonzwi vizuri.
Matokeo yake:
Ngozi kuwa kavu au yenye mafuta kupita kiasi
Chunusi kuongezeka
Ngozi kupoteza mng’ao wake
Kwa kifupi: Usitibu ngozi juu juu tu… angalia afya ya tumboni

Utumbo unanapaswa kuwa na bakteria wazuri (good gut bacteria) wanaosaidia mmeng’enyo na kudhibiti hamu ya kula.
Wakipungua kwa sababu ya sukari nyingi, antibiotics au lishe mbovu:
Mwili huanza kutamani sukari zaidi
Unahisi njaa mara kwa mara
Unakula bila kushiba vizuri
Ni mzunguko unaojirudia mpaka utumbo urekebishwe.
✔️ Kinga ya mwili ikidhoofika → unahisi uchovu kila mara hata bila kufanya kazi nzito.
Takribani asilimia kubwa ya kinga ya mwili inahusiana na utumbo.
Ukivurugika:
Unaumwa mara kwa mara
Unahisi uchovu sugu
Mwili hauna nguvu hata ukiwa umepumzika
Hii ni ishara kuwa mfumo wa mmeng’enyo unahitaji kurekebishwa.
💚 Afya si juu ya tumbo tu… ni mfumo mzima wa mwili.
Ukirekebisha chanzo, dalili nyingi hupungua zenyewe.
Tujifunze kuponya mwili kuanzia ndani kwenda nje.

24/02/2026

Toa maoni yako ni kweli?? Then I'll come na majibu sahihi

24/02/2026

baadhi ya dalili za bawasiri ni pamoja na
1. miwasho ya sehemu ya haja kubwa.
2.maumivu makali wakati wa kujisaidia,
3.kutokwa na damu wakati wa kujisaidia
4.kupata uvimbe au kinyama katika sehemu ya haja kubwa na
5.maumivu makali unapokaa kwa muda mrefu
kwa ushauri na tiba chukua namba zangu kwenye profile tuwasiliane

22/02/2026

unapofungua hakikisha unaanza na vyakula laini na vya moto,hata k**a ni maji ya moto,chai au uji.. hile vile hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili kurudisha energy na kupata energy zaidi.
❌️epuka kula vyakula vyenye pilipili nyingi au spices nyingi ni hatari sana utapata vidonda vya tumbo..
Nawatakia mfungo mwemaaa nawapenda sana

21/02/2026

Dalili za constipation
✔️ Kwenda chooni chini ya mara 3 kwa wiki
✔️ Kujikaza sana wakati wa kujisaidia
✔️ Kinyesi kigumu na kikavu
✔️ Tumbo kujaa au kuuma
📌 Sababu kuu zinaweza kuwa zifuataz
❌ Kunywa maji kidogo
❌ Kukaa muda mrefu bila kutembea (sedentary life)
❌ Kula vyakula visivyo na nyuzinyuzi (fiber)
❌ Kuzuia haja kubwa mara kwa mara
✅ Njia rahisi za kuondoa choo kigumu:
1️⃣ Kunywa maji glasi 6–8 kwa siku
2️⃣ Kula matunda k**a papai, ndizi, parachichi
3️⃣ Ongeza mboga za majani kwenye mlo
4️⃣ Fanya mazoezi walau dakika 20 kwa siku
5️⃣ Jaribu maji ya uvuguvugu asubuhi
💡 Kumbuka: Ukiona damu, maumivu makali sana, au tatizo linaendelea zaidi ya wiki moja – muone daktari.
Afya ya tumbo ni msingi wa afya ya mwili mzima ✨
Jitunze. Elimu ni kinga.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Devotha na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram