TRUST Trust is a DKT International Tanzania family planning brand.The Trust brand promise is building successful, healthier and wealthier families.

KWA MAFANIKIO YAKO

With our different contraceptive methods, you can have CONTROL over when to start a family, and decide what PLANS and DREAMS you want to pursue in the meantime. We aspire to become the one stop shop family planning brand of choice i.e. the most comprehensive brand with the most extensive range of innovative, exciting family planning services and products in Tanzania. Trust products and services can be accessed at clinics, pharmacies and private health facilities.

Happy Nyerere Day.
14/10/2025

Happy Nyerere Day.

Appreciating our clients this Customer Service Week for their continued trust and partnership. -Wiki hii ya Huduma kwa W...
10/10/2025

Appreciating our clients this Customer Service Week for their continued trust and partnership.

-

Wiki hii ya Huduma kwa Wateja, tunawashukuru wateja wetu kwa kuendelea kutuamini na kushirikiana nasi.

Trust Contraceptives at the Tanzania Health Summit!We’ll be here again tomorrow, come say hi and let’s talk health.-Trus...
02/10/2025

Trust Contraceptives at the Tanzania Health Summit!
We’ll be here again tomorrow, come say hi and let’s talk health.

-

Trust Contraceptives ipo kwenye Tanzania Health Summit!
Tutakuwa hapa tena kesho, so njoo utuone na tuzungumze afya

We joined the national celebrations of World Contraception Day at the Jakaya Kikwete Convention Centre in Dodoma!From in...
29/09/2025

We joined the national celebrations of World Contraception Day at the Jakaya Kikwete Convention Centre in Dodoma!

From insightful discussions to engaging with amazing people at our booth, it was all about raising awareness and empowering choice in family planning.

Together, let’s keep building a future where everyone has the knowledge, confidence, and access to make informed reproductive health decisions.

-

Tulijiunga na maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Uzazi wa Mpango Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma!

Kuanzia mijadala yenye maarifa hadi kukutana na watu mbalimbali kwenye banda letu, ilikuwa siku ya kuongeza uelewa na kuhamasisha uhuru wa kuchagua njia ya uzazi wa mpango.

Pamoja, tuendelee kujenga kesho yenye maarifa, ujasiri na upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi kwa wote.

Family planning means options, access, and empowerment. This   Trust is here with reliable solutions for a healthier tom...
26/09/2025

Family planning means options, access, and empowerment. This Trust is here with reliable solutions for a healthier tomorrow.

-

Uzazi wa mpango ni chaguo, upatikanaji na uwezeshaji. Katika Trust ipo na suluhisho za kuaminika kwa kesho yenye afya bora.

At the Masaki Health Expo with gratitude to Dr. Natalie  for the invite and for leading important conversations on repro...
21/09/2025

At the Masaki Health Expo with gratitude to Dr. Natalie for the invite and for leading important conversations on reproductive health. Together with Trust Contraceptives, family planning becomes accessible, trusted, and empowering for all.

-

Kwenye Masaki Health Expo, shukrani kwa Dkt. Natalie kwa mwaliko na kwa kuongoza mazungumzo muhimu kuhusu afya ya uzazi. Pamoja na Trust Contraceptives, uzazi wa mpango unakuwa rahisi kufikiwa, wa kuaminika na wenye nguvu kwa wote.

From pills to injectables and beyond, Trust Contraceptives was proud to showcase our full range at MedExpo 2025. Thank y...
16/09/2025

From pills to injectables and beyond, Trust Contraceptives was proud to showcase our full range at MedExpo 2025. Thank you for exploring our products and joining us in empowering healthier life choices.

Kuanzia vidonge hadi sindano na zaidi, Trust Contraceptives tulijivunia kuonesha bidhaa zetu zote kwenye MedExpo 2025. Asanteni kwa kujifunza kuhusu bidhaa zetu na kushirikiana nasi katika kuwezesha chaguo bora za afya.

We’re showcasing solutions that make family planning easy, affordable and accessible. Visit our booth at MedExpo 2025 to...
10/09/2025

We’re showcasing solutions that make family planning easy, affordable and accessible. Visit our booth at MedExpo 2025 to learn more about how we’re building healthier communities together.
_
Tunawaletea suluhisho bora za uzazi wa mpango ambazo ni rahisi, nafuu na zinapatikana kwa wote. Tembelea banda letu hapa MedExpo 2025 ujifunze jinsi Trust inavyosaidia jamii.

Jamani, ni mwaka 2025, basi kwanini bado tunaendelea kuzungumza juu ya afya ya uzazi kwa siri?​Ni imani gani potofu umew...
11/08/2025

Jamani, ni mwaka 2025, basi kwanini bado tunaendelea kuzungumza juu ya afya ya uzazi kwa siri?​

Ni imani gani potofu umewahi kusikia kuhusu uzazi wa mpango?​



Maadhimisho mema ya siku wa wakulima kwa kuchangia maendeleo ya Tanzania
08/08/2025

Maadhimisho mema ya siku wa wakulima kwa kuchangia maendeleo ya Tanzania

Sasa kwa kuwa una uhuru mpya kupitia Trust Contraceptives...​Mpango wako ni upi wa kuacha alama isiyosahaulika kwenye ma...
07/08/2025

Sasa kwa kuwa una uhuru mpya kupitia Trust Contraceptives...​

Mpango wako ni upi wa kuacha alama isiyosahaulika kwenye maisha? ​



Je, unatafuta njia gani kwenye uzazi wa mpango?​Tunaelewa kila mtu ana mahitaji tofauti.​Tueleze kupitia DM ni aina gani...
05/08/2025

Je, unatafuta njia gani kwenye uzazi wa mpango?​

Tunaelewa kila mtu ana mahitaji tofauti.​

Tueleze kupitia DM ni aina gani ya uzazi wa mpango unaokuvutia au ungependa kujua zaidi.​

Tupo hapa kukusaidia kuchagua kilicho sahihi na bora kwako.​





Address

Chole Road, Oyster Pearl Galleria
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TRUST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to TRUST:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram