Afya point

Afya point MAGONJWA YOTE YANATIBIKA!

TUNATOA USHAURI NA MATIBABU NA TUNAFANYA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA BEI NAFUU MNOO YA SH. 30000/= , KWA BEI HIO UNAPATA KUTAMBUA KILA UGONJWA ULIONAO MWILINI

UKISIKIA HERNIA JUA HAYA, INAKUPASA UOGOPEHernia au Ngiri ni hali inayotokea pale ambapo kiungo au nyama ya ndani ya mwi...
30/11/2025

UKISIKIA HERNIA JUA HAYA, INAKUPASA UOGOPE

Hernia au Ngiri ni hali inayotokea pale ambapo kiungo au nyama ya ndani ya mwili inatokea nje kupitia pengo au udhaifu uliopo kwenye misuli ya tumboni.
Kwa lugha rahisi: ni k**a ukuta wa mfuko kupasuka kidogo, halafu kitu cha ndani kinajitokeza.

DALILI ZA HERNIA (NGIRI)

Mtu mwenye ngiri mara nyingi anaweza kuona au kuhisi:

Uvimbaji kwenye sehemu ya tumbo au kinena (unene wa upande wa chini ya tumbo).

Maumivu yanayoongezeka ukibeba vitu vizito.

Kukaza tumbo au kiuno unapojikaza chooni.

Kuvimbiwa mara kwa mara.

Uvimbaji kutoweka ukiwa umelala na kurudi ukiwa umesimama.

SABABU ZINAZOCHANGIA KUPATA HERNIA

Hernia inaweza kusababishwa na mambo haya:

Kuinua vitu vizito kupita kiasi.

Kujikaza chooni kwa muda mrefu (constipation).

Kukohoa sana kwa muda mrefu.

Uzito mkubwa / kitambi.

Kuwa na misuli dhaifu ya tumbo (kwa mfano kwa wazee).

Kuwa na jeraha au upasuaji wa zamani tumboni.




29/11/2025

DALILI ZA MWISHO ZA VIDONDA VYA TUMBOYawezekana Umeziona Dalili Zingine za Vidonda vya Tumbo lakini k**a Umeanza kuzisik...
28/11/2025

DALILI ZA MWISHO ZA VIDONDA VYA TUMBO

Yawezekana Umeziona Dalili Zingine za Vidonda vya Tumbo lakini k**a Umeanza kuzisikia Na kuziona Hizo Hapo Chini, Ujue Uko Katika Hatua Mbaya ya Vidonda na Unatakiwa Kuchukua Hatua za haraka:

1. Kutapika damu au mate yenye rangi ya kahawia Inaonyesha vidonda vinavovuja damu.

2. Kinyesi kuwa na rangi ya kahawa Dalili ya kutapika damu au kuvuja damu tumboni.

3. Maumivu makali yasiyopungua inaweza kuashiria tatizo kubwa ndani ya tumbo.

HATA HIVYO, kabla hujafikia Kuona Dalili hizo Hapa Chini Kuna Dalili ambazo ukiziona Unazo Unapaswa Kututafuta Haraka maana ni dalili za Awali :

1. Maumivu kidogo au kuchoma tumboni Huu ni mguso au uchomaji juu ya kitovu, huanza polepole.

2 . Kichefuchefu kidogo, Kujihisi mchovu au kichefuchefu baada ya kula au kabla ya chakula.

3 . Kumeng’enyuka au gesi tumboni, Kuhisi tumbo limejaa au limechuchumaa mara kwa mara.

4 . Maumivu yanayobadilika baada ya kula, Mara hugoma baada ya kula, lakini huanza tena baada ya muda.

Mwisho: Vidonda vya Tumbo ni Ugonjwa Unaotibika , Wahi Kupata Huduma na Ushauri kwa kubonyeza Wa.me/255795978104

Dalili za Vidonda vya Tumbo ambazo Watu Huzipuuza)⚠️ Dalili 6 za vidonda vya tumbo ambazo watu wengi huzipuuziaJe, umewa...
28/11/2025

Dalili za Vidonda vya Tumbo ambazo Watu Huzipuuza)

⚠️ Dalili 6 za vidonda vya tumbo ambazo watu wengi huzipuuzia

Je, umewahi kuhisi dalili hizi na ukazipuuzia?
Zinaweza kuwa ishara za vidonda vya tumbo vinavyoanza au vilivyo kwenye hatua ya kati:

1️⃣ Maumivu yanayowaka kifuani au tumboni
2️⃣ Kuhisi tumbo limejaa hata ukila kidogo tu
3️⃣ Kucheua sana au gesi kupita kiasi
4️⃣ Kichefuchefu hasa asubuhi
5️⃣ Kupungua uzito bila sababu
6️⃣ Maumivu yanayopungua baada ya kula lakini kurudi baada ya muda

Usipuuzie dalili hizi — ukizidisha, vidonda vinaweza kuchimba (ulcer perforation).

✨ Kwa Matibabu na ushauri wa daktari Wasiliana nasi
Wa.me/0795978104

Dalili za Vidonda vya Tumbo ambazo Watu Huzipuuza)⚠️ Dalili 6 za vidonda vya tumbo ambazo watu wengi huzipuuziaJe, umewa...
28/11/2025

Dalili za Vidonda vya Tumbo ambazo Watu Huzipuuza)

⚠️ Dalili 6 za vidonda vya tumbo ambazo watu wengi huzipuuzia

Je, umewahi kuhisi dalili hizi na ukazipuuzia?
Zinaweza kuwa ishara za vidonda vya tumbo vinavyoanza au vilivyo kwenye hatua ya kati:

1️⃣ Maumivu yanayowaka kifuani au tumboni
2️⃣ Kuhisi tumbo limejaa hata ukila kidogo tu
3️⃣ Kucheua sana au gesi kupita kiasi
4️⃣ Kichefuchefu hasa asubuhi
5️⃣ Kupungua uzito bila sababu
6️⃣ Maumivu yanayopungua baada ya kula lakini kurudi baada ya muda

Usipuuzie dalili hizi — ukizidisha, vidonda vinaweza kuchimba (ulcer perforation).

✨ Kwa Matibabu na ushauri wa daktari Wasiliana nasi
WA.me/0795978104

Address

Ferry, Kigamboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya point posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram