22/04/2026
*MWONGOZO WA VYAKULA*
*Wewe unae teseka na vidonda vya tumbo Kuna vitu unavyo takiwa kuacha kutumia kabisa kwa Sasa ili uweze kuwa salama*
*Vitu usivyopaswa kuvitumia.*
*🔺Vyakula vya kusisimua mwili,*
*🔺Vyakula na VINYWAJI vyenye caffeine na Asidi nyingi mfano*
🔺chai ya rangi,
🔺 kahawa,
🔺vyakula vya kwenye makopo soda na juice za viwandani hivyo huchangia kwa kiasi kikubwa vidonda vya tumbo lakini pia acha
kutumia chumvi nyingi hasa 🔺epuka kutumia chumvi mbichi epuka kutumia
🔺vilevi vya Aina yoyote,
🔺 karanga,
🔺dagaa,
🔺 Maziwa
🔺 maharage,
🔺kuku wa kisasa au mayai ya kisasa,
🔺pilau,
🔺nyama nyekundu
🔺 Sukari
🔺 chainise kisamvu , nk *hivyo husababisha kwa kiasi kikubwa kutokupona kwa vidonda vya tumbo hivyo viache kwa mda mpaka utakapo pona*
Matunda unaweza kupunguza na ikiwezekana Acha kabisa kutumia matunda yafwatayo
🔺 Nanasi
🔺 Chungwa
🔺Ukwaju
🔺 Chips
🔺Limao au ndimu
*Vyakula unavyo weza kutumia*
✍️Penda kula matunda kwa kiasi kikubwa Sana kila unapo pata Chakula akikisha Kuna matunda pembeni yako, ,Penda kula
✅ ndizi za kupika au zilizo iva au unga wa ndizi pia itakusaidia,
✅ Parachichi
✅ Tikiti maji
✅Tango
✅Karoti
*MBOGA ZA MAJANI*
penda kula mboga za majani k**a
✅mlenda,
✅Matembele,
✅mchicha,
✅kabeji,
✅nyanya chungu*
✅ BAMIA
Lakini unaweza kutumia samaki wabichi wa kuchemsha
*CHAI YA ASUBUHI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBU*
Chai yako iwe na viungo Mbalimbali K**a vile
✅ mdalasini,
✅ iliki,
✅mchaichai,
✅Karafuu, Kumbuka viungo hivi vinaweza Kuwa vya unga au majani na unaweza kutumia vyote au ata kimoja K**a mazingiza hayaruhusu,
*ANGALIZO* 👉 Kumbuka hutakiwi kutumia vitu vyenye caffeine nyingi Usitumie majani ya dukani mfano *chai Bora,*
*ANGALIZO* *HUTAKIWI KUTUMIA SUKARI* wewe mwenye vidonda vya tumbo tumia asali badala ya sukari *,Tena asali mbichi ambayo haijachakachuliwa* kumbuka asali Ni miongoni mwa dawa ya vidonda vya tumbo.
*VITAFUNWA*
👉Mayai ya kienyeji
👉mkate wa ngano ambayo haijakobolewa brown bread
👉Chapati ya unga wa Nagano amabayo haijakobolewa, ikiwezekana hizi chapati zikandwe na tui la n**i na sio maji tu
👉Ndizi za kuchemsha
👉Ndizi Nyama na N**i
👉Viazi vitamu vya kuchemsha
*👉Nyama ya kuku wa kienyeji na N**i 👉 Wali N**i*
Nitafute kwa elimu ushauri na matibabu +255798588948