TIBA na Ushauri

TIBA na Ushauri Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA na Ushauri, Medical and health, Dar Es Salaam, Dar es Salaam.

Umechoka na maumivu ya muda mrefu? ๐Ÿ˜”
Tunakusaidia kupambana na magonjwa sugu kwa njia asilia ๐ŸŒฟ
Afya bora inaanza leo
๐Ÿ“ž 0755160939
Usikubali kuishi na maumivu kila siku ๐Ÿ’”
Tiba lishe inaweza kubadilisha maisha yako ๐Ÿ’š
Wasiliana nasi leo
๐Ÿ“ž 0755160939

โ— UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO CHINI?Inaweza kuwa ni PID (maambukizi ya mfumo wa uzazi)Usipuuzie dalili hizi:โš  Maumi...
17/03/2026

โ— UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO CHINI?
Inaweza kuwa ni PID (maambukizi ya mfumo wa uzazi)
Usipuuzie dalili hizi:

โš  Maumivu wakati wa tendo la ndoa
โš  Uchafu usio wa kawaida
โš  Maumivu wakati wa kukojoa
โš  Homa au mwili kuchoka
โš  Kichefuchefu au kutapika
๐Ÿ‘‰ PID inaweza kuathiri uzazi wako k**a haitashughulikiwa mapema!

โœ… SULUHISHO LIPO
Tunatoa ushauri na tiba lishe salama kusaidia: โœ” Kusafisha mfumo wa uzazi
โœ” Kupunguza maumivu
โœ” Kuboresha afya ya mwili kwa ujumla
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa:
0755160939
๐Ÿ“ TIBA na Ushauri

๐Ÿ”ฅ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA AU VIUNGO?Usipuuzie dalili hizi:โŒ Maumivu ya magotiโŒ Maumivu ya mgongoโŒ Viungo kukak...
10/03/2026

๐Ÿ”ฅ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA AU VIUNGO?
Usipuuzie dalili hizi:

โŒ Maumivu ya magoti
โŒ Maumivu ya mgongo
โŒ Viungo kukak**aa
โŒ Mwili kuchoka haraka
โŒ Upungufu wa Calcium mwilini

Sasa kuna suluhisho la asili kupitia virutubisho lishe bora:

โœ… Antilipemic Tea โ€“ Husaidia kupunguza mafuta mabaya mwilini na kuboresha mzunguko wa damu.
โœ… Calcium & Protein Powder โ€“ Husaidia kuimarisha mifupa na kuongeza nguvu mwilini.
โœ… Natural Liquid Calcium โ€“ Husaidia kuongeza kiwango cha calcium na kuimarisha mifupa na meno.

๐Ÿ’ช Virutubisho hivi vinaweza kusaidia:
โœ” Kuimarisha mifupa dhaifu
โœ” Kupunguza maumivu ya viungo
โœ” Kuboresha afya ya mifupa kwa ujumla
โœ” Kuongeza nguvu na uimara wa mwili

๐Ÿ“ž Pata ushauri wa bure sasa!
Wasiliana nasi leo tukusaidie kupata suluhisho sahihi.

TIBA na Ushauri
๐Ÿ“ฑ 0755160939

โš ๏ธ Usisubiri hadi maumivu yaongezeke. Chukua hatua mapema kulinda afya ya mifupa yako!

Save post hii maana Haina muda mwingi itaondoka hewani

UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGO?USIISHI NA MAUMIVU TENA!Je, unapata:โŒ Maumivu ya magotiโŒ Maumivu ya mgongo n...
06/03/2026

UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGO?
USIISHI NA MAUMIVU TENA!

Je, unapata:
โŒ Maumivu ya magoti
โŒ Maumivu ya mgongo na kiuno
โŒ Miguu au mikono kufa ganzi
โŒ Viungo kukaza au kuuma mara kwa mara
โŒ Kuchoka kwa mifupa haraka

Hizi ni dalili za udhaifu wa mifupa na upungufu wa madini muhimu mwilini.

TIBA na USHAURI tunakuletea suluhisho kupitia Virutubisho vya Eternal Life vinavyosaidia kuimarisha mifupa na viungo.

โญ HIGH CALCIUM โ€“ Eternal Life
Husaidia:
โœ” Kuimarisha mifupa na meno
โœ” Kupunguza maumivu ya viungo
โœ” Kujenga mifupa imara kwa wazee na vijana

โญ NATURAL LIQUID โ€“ Eternal Life
Husaidia:
โœ” Kuongeza virutubisho muhimu mwilini
โœ” Kuimarisha kinga ya mwili
โœ” Kuboresha afya ya mifupa na mwili kwa ujumla

Watu wengi tayari wameanza kuona mabadiliko mazuri ya afya ya mifupa yao baada ya kutumia virutubisho hivi.

Usisubiri hadi maumivu yawe makali zaidi. Chukua hatua sasa!

๐Ÿ“ž Piga simu au WhatsApp:
0755 160 939

TIBA na USHAURI
Mshauri wako wa afya kwa tiba lishe.

๐ŸŒฟ VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?Unasumbuliwa na:โŒ Maumivu ya tumbo mara kwa mara?โŒ Kiungulia kisichoisha?โŒ Kichefu...
04/03/2026

๐ŸŒฟ VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?

Unasumbuliwa na:
โŒ Maumivu ya tumbo mara kwa mara?
โŒ Kiungulia kisichoisha?
โŒ Kichefuchefu na kujaa gesi?
โŒ Maumivu yanayoongezeka ukiwa na njaa?
โŒ Usingizi kukatika kwa sababu ya maumivu?

Usikubali kuishi na maumivu kila siku ๐Ÿ˜”

Kupitia TIBA na Ushauri, tunakuletea msaada wa lishe unaosaidia:

โœ… Kupunguza maumivu na kiungulia
โœ… Kulinda ukuta wa tumbo
โœ… Kuboresha mfumo wa mmengโ€™enyo
โœ… Kurejesha utulivu wa tumbo kwa njia ya asili

๐ŸŒฟ Suluhisho la asili kwa afya ya tumbo lako.

Wateja wengi wamepata nafuu na kuanza kula bila hofu ya maumivu.
Sasa ni zamu yako kuchukua hatua.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo: 0755160939
TIBA na Ushauri

โš ๏ธ Tunatoa ushauri binafsi kabla ya kuanza matumizi ili kuhakikisha unapata mwongozo sahihi.

Wanawake katika kipindi cha ujauzito wanapenda kitu chochote chenye kuwafurahisha ndo maana wengine wanapenda vitu vya a...
25/02/2026

Wanawake katika kipindi cha ujauzito wanapenda kitu chochote chenye kuwafurahisha ndo maana wengine wanapenda vitu vya ajabu k**a kula udongo, wengine hupenda kukaa karibu na choo, au kunusa soksi chafu, harufu ya jasho la mumewe au kuchuikia kabisa yaani wanaendeshwa na homoni zao wala sio kwa akili zao

Wewe k**a mume, ndugu au jamaa yake wa karibu Ukiona amekupenda shukuru na muoneshe upendo zaidi, ila akikuchukia pia usirudishe muitikio (reaction) mbaya hapo unanazidi kumkera zaidi, We mvumilie tu maana ni hali ya mpito, baada ya muda hukaa sawa na hurudisha upendo k**a awali ikiwa hukuwa na kero zaidi kipindi cha mabadiliko yake ya homoni

Hili ni somo ambalo wanaume wengi bado hawapata uelewa ๐Ÿ˜Œ

Ikiwa mnatafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio karibu tuwasaidie kwa vipimo, ushauri na matibabu 0755160939

PCOS NA UGUMU WA KUSHIKA MIMBA๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ PCOS ni sababu kuu ya ukosefu wa ujauzito kwa wanawake kutokana na usawa wa homoni usio...
22/02/2026

PCOS NA UGUMU WA KUSHIKA MIMBA

๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ PCOS ni sababu kuu ya ukosefu wa ujauzito kwa wanawake kutokana na usawa wa homoni usio thabiti unaosababisha ovulusheni isiyo ya kawaida. Ingawa husababisha hedhi zisizo za kawaida na changamoto za kupata mimba, wanawake wengi wenye PCOS wanaweza kupata mimba kwa mafanikio kupitia mabadiliko ya mtindo wa maisha, dawa zinazochochea ovulusheni (k**a letrozole), au teknolojia za kusaidia uzazi (ART).

Athari za PCOS kwenye Ujauzito

โœ๏ธ Ukosefu wa ovulusheni: PCOS husababisha mzunguko wa hedhi usio wa kawaida au kutokuwepo kwa hedhi, ikimaanisha mayai hayatoi kwa wakati wa kawaida.

โœ๏ธ Usawa wa homoni: Viwango vya juu vya androjeni (homoni za kiume) vinaweza kuathiri ubora wa yai na kuzuia ovulusheni.

โœ๏ธ Upinzani wa insulini: Hali hii ni ya kawaida kwa PCOS, inaweza kuendelea kuathiri ovulusheni na kuongeza hatari za kupata mimba.

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME  ANAYETAFUTA MTOTO ๐Ÿคฐ๐ŸฝWanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi ...
22/02/2026

VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME ANAYETAFUTA MTOTO ๐Ÿคฐ๐Ÿฝ

Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi kamiliโ€ฆ
Au mume hajafanyiwa hata kipimo kimoja.
Hapo unateseka miaka โ€” bila kujua chanzo halisi ๐Ÿ™ƒ

๐Ÿ“ŒHivi ndivyo vipimo vya msingi unapopaswa kufanya, FANYA KUSAVE KABISA post Hii Ili kujikumbushia Kwa Baadae Ukisahau:

1๏ธโƒฃ ULTRASOUND ya via vya uzazi
Inatuonesha kizazi, mfuko wa mayai, uvimbe, mirija, na hali ya jumla ya mfumo wa uzazi.

2๏ธโƒฃ Vipimo vya kuonesha MAYAI KUPATWA / KUPEVUKA
Progesterone siku 7 kabla ya hedhi inayofuata, au OPK nyumbani.

3๏ธโƒฃ Vipimo vya AKIBA YA MAYAI
AMH + FSH kutathmini uwezo wa mayai na kiwango cha kushuka kwake kadri muda unavyosonga.

4๏ธโƒฃ Uchunguzi wa MIRIJIA (HSG)
Hapa tunajua k**a mirija imeziba au iko wazi.

5๏ธโƒฃ Vipimo vya HOMONI
Kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka, kukosa hedhi, kutoa maziwa, uke mkavu, au kupoteza hamu ya tendo; tunapima Estrogen, Progesterone, LH, FSH, Prolactin, n.k.

6๏ธโƒฃ Vipimo vya MBEGU ZA KIUME
Safari ya ujauzito ni ya WAWILI.
Mpenzi/mume naye apime s***m count, morphology na motility.
Usiibebe peke yako Mateso/ lawama zote za Kukosa Ujauzito โœ‹๐Ÿฝ

---Vipimo hivi utapima Kwa Ofa ya
Tsh 30,000/= kwakua watu wengi wanasumbuliwa na changamoto za uzazi wai mapema.

KOSA KUBWA WANAWAKE WENGI HUFANYA:
Kupima peke yao bila mumeโ€ฆ au kufanya vipimo visivyo sahihi halafu wanahangaika miaka bila mafanikio.

---

๐Ÿ” Sasa hapa ndipo siri ya mafanikio inapoanziaโ€ฆ

Kwa wanawake na wanandoa waliopitia matibabu mengi bila kufanikiwa, waliochoka kuambiwa โ€œSUBIRI TUโ€, waliozunguka bila majibuโ€”

GCAT ETERNAL HERBAL CLINIC imekuwa ni tumaini na msaada Kwa wenye changamoto zote za uzazi.

Ni tiba inayoshambulia chanzo cha tatizo:
โœ”๏ธ Humaliza fangasi/maambukizi yanayorudiarudia
โœ”๏ธ Hurekebisha homoni
โœ”๏ธ Hufungua na Kubalance mzunguko Wa Hedhi
โœ”๏ธ Huongeza idadi & ubora wa mayai
โœ”๏ธ Huandaa mwili kupokea na kutunza mimba ndani ya 30โ€“90 days kulingana na hatua ya tatizo

Matokeo yake?
Wanawake waliokuwa wanaitwa โ€œMGUMBAโ€ leo ni mama wa mtoto.

Wanandoa waliokuwa na maumivuโ€ฆ sasa wanashukuru Mungu ๐Ÿ™๐Ÿพ

Dozi hutegemea ukubwa wa changamoto yako.
baada ya kupata majibu ya vipimo.

Tunapatikana Dar es salaam, visiwani na mikoa yote Tanzania

Kwa mawasiliano 07551160939

20/02/2026
๐Ÿ’” JE, NDOTO YAKO YA KUWA MZAZI INAUMIZA MOYO WAKO?Kila mwezi unapopata hedhiโ€ฆKila mara unapoona watoto wa wengineโ€ฆMoyo w...
20/02/2026

๐Ÿ’” JE, NDOTO YAKO YA KUWA MZAZI INAUMIZA MOYO WAKO?
Kila mwezi unapopata hedhiโ€ฆ
Kila mara unapoona watoto wa wengineโ€ฆ
Moyo wako unalia kimya kimyaโ€ฆ
USIKATE TAMAA. ๐Ÿ™
Bado kuna tumaini!
๐Ÿฅ TIBA na Ushauri
Tunatoa:
๐Ÿ”ฌ Vipimo vya Uzazi kwa Mwanamke
๐Ÿ”ฌ Vipimo vya Uzazi kwa Mwanaume
๐Ÿ’Š Matibabu kwa changamoto za uzazi
๐Ÿฉบ Ushauri wa kitaalamu na ufuatiliaji
โš ๏ธ Wengi wanahangaika bila kujua chanzo cha tatizo.
Hatua ya kwanza ni VIPIMO SAHIHI.
๐Ÿ’ฐ BEI YA JUMLA: 30,000/= TU
๐Ÿ’‘ Njoo wewe na mwenzi wako mfahamu ukweli wa afya yenu.
Leo ni hatua ya mabadiliko ya kesho.
๐Ÿ“ž Piga simu sasa: 0755 160 939
๐ŸŒฟ TIBA na Ushauri โ€“ Tunapigania Furaha ya Familia Yako.

๐Ÿ”ฅ JE, UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO YANAYOJIRUDIA RUDIA?Unahisi k**a moto unawaka tumboni?Unapata kiungulia kila mara...
16/02/2026

๐Ÿ”ฅ JE, UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO YANAYOJIRUDIA RUDIA?

Unahisi k**a moto unawaka tumboni?
Unapata kiungulia kila mara?
Unakosa hamu ya kula na nguvu za mwili zinapungua?

โŒ Usikae na maumivu kimya!
Vidonda vya tumbo vinaweza kuathiri afya yako na maisha yako ya kila siku.

๐ŸŒฟ TIBA NA USHAURI
Tunatoa:
โœ… Vipimo sahihi vya afya
โœ… Ushauri wa kitaalamu
โœ… Matibabu ya vidonda vya tumbo
โœ… Mwongozo wa lishe bora kwa uponyaji wa haraka

๐Ÿ’š Tunajali afya yako โ€“ Tunatibu chanzo cha tatizo, si kuficha dalili tu.

๐Ÿ“ž Piga sasa: 0755 160939
๐Ÿ“ฒ WhatsApp inapatikana muda wote

โœจ Rudi kwenye maisha ya furaha bila maumivu ya tumbo!

TUPO DSM NA MIKOANI

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA na Ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share