30/09/2021
JOINTS ( 0717427805)
💥Ni sehem ambayo mifupa miwili hukutana. Maumivu ya VIUNGO K**a vile kiuno, mgongo, miguu,shingo, miguu kuwaka moto, kukak**aa kwa misuri imekuwa ni changamoto kubwa hasa kwa wazee,wanamichezo,watu wenye uzito mkubwa, watu wanaopendelea kwenda GYM na watu wa Marika mengine kutoka na ukosefu la lishe na madini ya kutosha mwilini
💥💥💥 VISABABISHI VYA MAUMIVU HAYO NI VIPI??
🌑UMRI MKUBWA,kadri umri unavyoenda mwili unashindwa kuzalisha Ute Ute katika VIUNGO vya mifupa na kupelekea msuguano wa mifupa na kusababisha maumivu makali.
🌑 JOINTS TEAR AND WEAR,Mara nyingi ugonjwa huu huitwa ARTHRITIS, husababishwa na hitilafu yoyote katika sehem hizo za maunguo ya mifupa inaweza kuwa cartilage Inalika.
🌑 UPUNGUFU WA SYNOVIAL FLUID ( maji au Ute Ute katika maungio ya mifupa) na kusababisha msuguano wa mifupa
🌑 Maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo ya ya viungio vya mifupa K**a vile mgongo, shingo, mikono,kiuno nk
🌑 Vimbe kwenye joints ambayo husababishwa na umri mkubwa, uzito mkubwa na ukosefu wa madini mwilini.
💥💥💥TATIZO LISIPOTIBIWA HUSABABISHA NINI??👇👇
🌑Macho kuwa makavu au mekundu, kutopenda mwanga na kutoona vizuri
🌑Midomo kuwa mikavu, kupauka lips za Midomo na maumivu na maambukizi ya fizi( hii husababishwa na ukosefu wa madini mwilini)
🌑Mishipa ya damu kushindwa kisukuma damu vizur na kusababisha tatizo la upumuaji au presha( hasa kwa wazee na watu wenye uzito mkubwa Sana)
🌑 Kushindwa kutembea au kufanya kazi vizuri kutokana na maumivu makali.
Nk
💥💥💥TIBA
🌑kwa wazee wenye Matatizo K**a hayo wanatakiwa wapatiwe lishe ya kutosha, virutubisho asili vitakavyowasaidia Kuondokana na tatizo Hilo.
🌑 Matumizi ya virutubisho vyenye asili ya mafuta ya Omega-3,Curcumin, Vitamin D3 na Glucosa chondroitin (ni virutubisho) na calcium na freedom za kutosha.
🌑 Kufanya mazoezi huku ukipatiwa tiba lishe pia kwa wazee waweze kupewa muda wa mazoez kidogo hasa nyakati za jion na asubuhi,. Tuma Neno Afya kwenda namba 0717427805