11/12/2021
FAHAMU UMUHIMU WA ROYAL JELLY KWA WANAWAKE PAMOJA NA FAIDA ZAKE.
Royal jelly ilikuwa inatumika k**a Tiba za kiasili huko China kuongeza umri Wa kuishi na pia kuimarisha seli kuongeza umri Wa kuishi na pia kuhamasisha hisia za kimapenzi.
Kutokana na gharama zake kuwa kubwa ilikuwa ikihifadhiwa katika himaya za kichina.Hii ilikuwa ni kutokana na ugumu Wa kuipata ila baada ya hapo ufugaji Wa nyuki ulisaidia kuondokana na hilo.
Royal jelly imekuwa ikihitajika kwa wingi kutokana na utafiti uliofanyika dunuani,pamoja na hayo ni bidhaa yenye mchanganyiko Wa vitu vingi ambavyo ni mahsusi mwilini.
Ni mchanganyiko unaosaidia kutengeneza viondosha sumu mwilini na pia kupunguza kasi ya kuzeeka.
Royal jelly ni bidhaa yenye mchanganyiko Wa virutubisho muhimu k**a protein 12%,sukari 11%,kiwango kikubwa cha vitamini (B3,B5,B6,PP,H).
Ni chanzo kikubwa cha vitamin B5 na amino asidi,madini muhimu (calcium,chuma,kopa,magnesium,phosphorus,potassium, silikoni,sulphur, na sodium),fatty asidi muhimu 5%,karbohaidreti 14%,madini yanayohitajika kwa kiasi kidogo,na vizuizi vya bacteria na antibiotiki ya kiasili.
Royal jelly ni mchanganyiko Wa virutubisho vingi pamoja na goji berry na spirulina.
Hiki ni kile chakula anachokula au kulishwa yule malkia Wa nyuki ili aweze kuishi muda mrefu na kutaga mayai mengi zaidi ya 2,000 kwa siku kuweza kuishi miaka 5-6 ukifananisha na nyuki wengine wanaoishi miezi miwili.
MANUFAA YAKE:-
👉🏼kusaidia kuzuia maumivu kabla,wakati na baada ya hedhi (Pre-Menstrual Syndrome (PMS)).
👉🏼kutokupata mimba/ujauzito na kuimarisha tendo la ndoa.
👉🏼kupunguza kasi ya kuzeeka
👉🏼kurekebisha na kubalansi utendaji Wa homoni mwilini.
👉🏼kurekebisha mapigo ya moyo.
👉🏼kurekebisha seli za ubongo.
👉🏼kurekebisha kumbukumbu.
👉🏼kurekebisha matatizo ya ngozi.
👉🏼kupunguza lehemu (cholesterol).
👉🏼kuimarisha viondosha sumu mwilini.
👉🏼kuimarisha kinga kwenye mfumo wa uzalishaji wa mayai ya kizazi.
👉🏼kuimarisha utendaji wa testosterone.
👉🏼kupunguza uwezekano Wa kansa inayoweza kusababishwa na estrogens.
👉🏼kupotea au kushindwa kufanya kazi kwa mifupa.
👉🏼kuondokana na athma ya koromeo.
👉🏼kushindwa kupata usingizi na kasoro zake.
👉🏼ngozi kuwa laini na ya kuvutika.👉🏼kuimarisha msukumo Wa damu kwa watu wenye msukumo mkubwa Wa damu yaan hypertension.
👉🏼mbadala Wa madhara yatokanayo na chemotherapy.
Kuipata Wasiliana Nasi kwa 0692434893