02/04/2022
Tiba Ya Bawasili Bila Upasuaji !!!
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa.
Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70.
Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa:
Kuna aina mbili za bawasiri:
Bawasiri ya Ndani:
Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje
Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia
Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia
Bawasiri ya Nje:
Hii ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa. Hutokea nje baada ya bawasiri ya ndani kujiimarisha zaidi,
Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja na hutegemea ni chanzo gani ambacho kimepelekea kuathirika na tatizo hilo.
Huambatana na Miwasho ya mara kwa mara, Maumivu katika sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia na baada ya kujisaidia
II.CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu hupelekea kutokupata choo vizuri(Haja kubwa)
Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja k**a kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke.
Hali hii hupelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, Hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.
Hivyo basi kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli ya tundu la haja kubwa huendelea kuathirika zaidi k mpaka kinatokeza.
Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. K**a unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata k**a kile cha mbuzi.
Bawasiri pia huweza kusababishwa na:
-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile,
- Ujauzito
- kuhara kwa mda mrefu
-Kutopata choo kwa mda mrefu
III. DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.
- Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Kitendo hiki huongeza msuguano katika mishipa ya ndani ya tundu la haja kubwa.
- Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota k**a upele na huambatana na miwasho na maumivu makali.
- Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa na kutokea nje ya Tundu la haja kubwa. Hatua hii huashiria tatizo limesha kuwa kubwa na una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishowe kuathirika.
Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.
- Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana
- Kupumua na kushindwa kuzuia kinyesi wakati ukipumua(kujamba na kutoa haja kubwa)
IV. MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI
- Upungufu wa damu mwilini
- Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.
- Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
- Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote. Yaani Mwanamke na Mwanaume.
- Kuathirika kisaikolojia na hupelekea kutojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapoanza.
- Kuvuja damu, maumivu ya mda mrefu na hupelekea kushindwa kukaa.
- Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara na kiuno.
V. NJIA ZAKUONDOA TATIZO HILI
Tiba ya Bawasiri katika hospitali zetu ili kuondoa Ugonjwa huu ni operation
(kukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine)
Tiba hii si yakudumu kwani 78.09 ya wanaofanyiwa upasuaji huu hupatwa na Changamoto ya kujirudia tena kwa Bawasiri baada ya mda fulani hasa pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini.
Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa na kutokwa damu kwa mda mrefu hasa wakati wa kujisaidia na mara baada ya kujisaidia.
Tiba hii huondoa uvimbe pekee na si kutibu chanzo cha tatizo na kuboreshi mfumo wa chakula kuanzia ndani ambako ndo hasa chanzo cha tatizo hili na kupelekea
baadae tatizo hili kujirudia tena.
SULUHISHO LA KUDUMU LA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho + TIBA
(mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu)
Tiba nzuri ni kutumia formula ya siku 60 - 90 tu za kusafisha mfumo wako mzima wa mumeng’enyo wa chakula ambao ndio chanzo cha tatizo na kuua mizizi ya bawasiri hii (Digestive System) kwa kutumia formula hii madhubuti bawasiri huondoka kabisa 100%.
Chanzo cha magonjwa mengi ya mfumo wa chakula tunayoyapata ikiwemo ugonjwa huu wa BAWASIRI hutokana na mfumo mbovu wa mumeng’enyo wa chakula,
mzunguko wa damu (Poor Blood Circulation) na Mwili kuwa na sumu nyingi.
Kila siku tunaoga zaidi ya mara mbili au mara tatu kwa siku nje ya mwili wetu, Vivyo hivyo tunapaswa kuanda utaratibu (formula) kusafisha ndani ya miili yetu na kuhakikisha sehemu kuu tatu za mili yetu zinafanya kazi vizuri.
Hivyo ipo formula hii ya siku 60 - 90 tu maalumu ambayo husaidia katika kuboresha afya kuanzia ndani na kuondoa changamoto hii ya Bawasiri ya ndani na nje.
Njia hii husaidia katika kuondoa vimbe za ndani na kuboresha upataji wa choo laini,
Husaidia kuondoa upataji choo ngumu na uvimbe kwa upande wa ndani.
Lakini pia Formula hiyo ni maalumu kwa walio na shida zote za chakula hivyo husaidia katika Kuondoa vimbe za nje ya tundu la haja kubwa.
Pia husaidia katika kuondokana na maumivu, miwasho na kulainisha na kuondoa uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa.
VI. Umuhimu wa kutumia Formula hii ya siku 60 -90 kutibu bawasiri.
Hii huboresha na kuimarisha afya yako katika;-
1. Digestive System (Mfumo mzima wa mumeng’enyo wa chakula)
2. Blood Circulation (Mfumo mzima wa mzunguko wa damu)
3: Kuboresha kinga ya mwili na kuongeza virutubisho muhimu mwilini.
Programu hii hujumuisha Virutubisho vyenye Carbohydrates & Proteins, Vitamins & Mineral, Essential Fatty Acids, Trace Elements. Miili yetu huhitaji kuvipata ili uzidi kutengenza kinga ya mwili kwajili ya kuondokana na Ugonjwa huu.
Formula hii imesaidia watu zaidi ya 112toka January2022 - march 23-2022
Formula hii
imeandaliwa kitaalamu zaidi na hazina kemikali yenye madhara kwa mtumiaji hivyo imekua na kipaumbele kwa watu wenye tatizo hili.
BAWASIRI NI UGONJWA HATARI K**A HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA.
Wasiliana nasi: kwa kutuma ujumbe mfupi (sms) au wapigie simu watoa huduma kwa +255620324795
Afya ya mama na mtoto tunakujali kwa kukuletea habari njema ya Afya yako.
Karibu kwa ushauri kwa kutuandikia ujumbe +255620324795