07/02/2022
MWAKO
sio kwamba kila kitu kitaenda vile unavyo taka wewe..kuna wakati itabidi ukwame au ukwamishwe ili upate funzo na uzoefu.
Pamoja na magumu tunayo pitia,mitihani ya dunia iwe katika;
MAHUSIANO (ndoa au dating)
UCHUMI (biashara/ajira)
bado tuendelee kumshirikisha MUNGU katika mahitaji yetu na kujitunza pia..ukikosa leo hata kesho waweza jaribu
ukilia leo kesho waweza cheka..tusione AIBU kuomba msamaha kwa tunao wakosea kwa namna yoyote..
umri una enda LAKINI
❣️HUNA MUME
❣️HUNA MKE
❣️HUNA KAZI
❣️HUNA MTAJI
ila tuzidi kusubiri na kumuomba MUNGU aondoe ugumu...kwa imani yako Mwombe Rabana halafu yeye atajua kipi aanze kukupa;
💓MKE
💓MUME
💓MTOTO
💓KAZI
❣️ELIMU AU VYOTE
******--****************
Kesho ni fumbo hakuna anaejua atapata au atapoteza, ya nini uisumbukie hiyo kesho?
A.J ✍️✍️✍️✍️✍️