Afya Yako Point

Afya Yako Point We Care About Your Health

18/12/2025

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2025 tuna ZAWADI kubwa na nzuri sana kwako ambayo ni SOY LECITHIN KWA Tsh 75,000/= badala ya Tsh 105,000/=

HII NI ZAIDI YA ZAWADI KWAKO NI KWA SABABU TUNAKULA VYAKULA NA KUNYWA VINYWAJI VYENYE SUMU KILA SIKU

SASA TUMIA SOY LECITHIN KUONDOA SUMU MWILINI MWAKO HATA K**A HUNA SHIDA YA KIAFYA KWENYE MWILI WAKO.

UMUHIMU WA KUFANYA DETOXIFICATION KWA KUTUMIA SOY LECITHIN yenye fosfolipids ambayo hutumika sana kusaidia kusafisha INI, kupunguza mafuta mabaya, kuboresha ufyonzwaji wa virutubisho na kuweka mwili kwenye hali ya usawa.

Mungu akutunze umalize mwaka salama na kuanza 2026 ukiwa na nguvu mpya.
Wasiliana nasi kupitia namba 0746 334 963

Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2025 tuna ZAWADI kubwa na nzuri sana kwako ambayo ni SOY LECITHIN KWA Tsh 75,000/= bad...
11/12/2025

Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2025 tuna ZAWADI kubwa na nzuri sana kwako ambayo ni SOY LECITHIN KWA Tsh 75,000/= badala ya Tsh 105,000/=

SOMA HADI MWISHO UTAGUNDUA NI ZAIDI YA ZAWADI KWAKO NI KWA SABABU TUNAKULA VYAKULA NA KUNYWA VINYWAJI VYENYE SUMU KILA SIKU👇👇👇

SASA TUMIA SOY LECITHIN KUONDOA SUMU MWILINI MWAKO HATA K**A HUNA SHIDA YA KIAFYA KWENYE MWILI WAKO.

UMUHIMU WA KUFANYA DETOXIFICATION KWA KUTUMIA SOY LECITHIN

Soy lecithin ni kiambata chenye fosfolipids ambacho hutumika sana kusaidia kusafisha ini, kupunguza mafuta mabaya, kuboresha ufyonzwaji wa virutubisho na kuweka mwili kwenye hali ya usawa. Faida zake za detoxification ni k**a zifuatazo:

1. HUSAIDIA KUSAFISHA INI (LIVER DETOX)
👉Ina phosphatidylcholine, ambayo ni muhimu sana katika kutengeneza seli mpya za ini.
👉Hupunguza mkusanyiko wa mafuta mabaya (fatty liver) ambao mara nyingi husababisha kisukari, shinikizo la damu na uzito kupanda.
👉Husaidia ini kufanya kazi yake ya kuondoa sumu kwa ufanisi zaidi.

2. HUPUNGUZA MAAMBAZI YA SUMU MWILINI (BODY TOXINS)
👉Huongeza uwezo wa mwili kuvunja, kuyeyusha na kuondoa kemikali, dawa, pombe, uchafu na free radicals.
👉Hupunguza mzigo wa sumu kwenye figo, ini, mfumo wa damu na ubongo.

3. HUBORESHA USAFIRISHAJI WA MAFUTA NA KUZUIA MAFUTA KULUNDIKANA
👉Lecithin hupunguza mkusanyiko wa cholesterol kwenye mishipa.
👉Husaidia kutengeneza HDL (good cholesterol) ambayo husafisha mishipa ya damu.
👉Huzuia atherosclerosis, hivyo kupunguza hatari ya:
👉Shinikizo la damu
👉Magonjwa ya moyo
👉Stroke

4. HUIMARISHA UWEZO WA UBONGO (BRAIN DETOXIFICATION)
Soy lecithin ina choline ambayo inasaidia utengenezaji wa neurotransmitter acetylcholine.
Ambayo husaidia:
👉Kumbukumbu
👉Kuondoa "mental fog"
👉Kurejesha nguvu za ubongo baada ya msongo au usingizi hafifu
👉Kuboresha mood

5. HUSAIDIA KUSAFISHA NA KUBORESHA MFUMO WA UMENG’ENYAJI
👉Hupunguza gesi, kiungulia, constipation na uchovu baada ya kula.
👉Huongeza usagaji wa mafuta kwa ufanisi hivyo kupunguza uzito kupanda.

6. HUPUNGUZA UVIMBE MWILINI (INFLAMMATION)
Lecithin ina anti-inflammatory action inayopunguza uvimbe unaosababisha:
👉Kisukari type 2
👉Ugonjwa wa joints
👉Magonjwa ya moyo
👉Vidonda vya tumbo
👉Uvimbe wa mfumo wa uzazi kwa wanawake

7. HUBORESHA MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE
👉Kwa kuwa inasaidia detoxification ya ini na homoni, huleta faida k**a:
👉Kuboresha ubora wa shahawa
👉Kusaidia kusawazisha homoni za wanawake
👉Kupunguza maumivu wakati wa hedhi
👉Kuboresha nguvu za mwili (stamina)

8. HUSAIDIA KUPUNGUZA MSONGO NA UCHOVU (STRESS DETOX)
👉Hurejesha utulivu wa mishipa ya fahamu
👉Hupunguza cortisol
👉Huongeza nguvu asubuhi na kupunguza uchovu wa mara kwa mara.

Detoxification kwa kutumia Soy Lecithin ni muhimu kwa sababu:
Husaidia ini na figo kuondoa sumu
Hupunguza mafuta mabaya
Huboresha ubongo, moyo, na mfumo wa mmeng’enyo
Husaidia homoni kusawazika
Hupunguza uvimbe
Huongeza nguvu na kinga ya mwili

Mungu akutunze umalize mwaka salama na kuanza 2026 ukiwa na nguvu mpya.
Wasiliana nasi kupitia namba 0746 334 963

26/11/2025

Hatari 3 ambazo mwili wako na daktari atakuonya kutokana na kuwa na mlundikano wa mafuta mabaya mwilini

1. Shambulio la moyo/ Heart attack ni rahisi kupata Presha Ya Kupanda pamoja na Stroke kutokana na kuongezeka kwa mafuta kwenye mishipa ya damu.
2. Kuvurugika kwa Homoni au Hormone Imbalance kutokana na Kuvurugika kwa Insulini, Estrogen na Cortisol hivyo kupelekea kuwa na hedhi isiyoeleweka, kuongezeka kwa uzito hovyo na kuwa na uchovu kupita kiasi.
3. Ni rahisi kupata kisukari aina ya pili kwa kuwa Cell hushindwa ku-resist Insulin hivyo kupelekea kupata kisukari na Presha.
Ya lazima lakini sio muhimu ni kupata uvimbe,kuzeeka na kukunjamana kwa ngozi kutokana na kuathiriwa kwa Collagen.

Usisubiri haya yote yakutokee ndio uchukue hatua.

Maisha yako ni muhimu sana

26/11/2025

Figo ni kiungo muhimu sana,kwani nephrones zake zina kazi ya kuchuja damu na zote zinaweza kuharibiwa na sukari.
Zina kazi ya kuzalisha homoni zinazoweza kutawalq kiwango cha presha ya damu pamoja na kusawazisha kiwango cha Sodium, Potassium na Calcium na ndio maana chumvi sio adui wa figo bali sukari kwa kuwa Figo haziwezi kusawazisha kiwango cha Glucose hata k**a ni kidogo.

Figo zina kazi ya kutengeneza mkojo lita mbili kila siku kutokana na uchafu na kiwango cha maji unachokunywa kwa siku na zinachuja hadi lita 100 ya Damu kulingana na umri na uwezo wake wa kufanya kazi.

Epuka sukari na sumu nyinginezo ili kulinda figo zako kwani zikiharibika kurudi kwenye uwezo wake ni gharama sana .

Unaweza usielewe sasa hivi hadi ukutane na mtu au uanze kufanya Dialysis mara 3 kwa wiki Maisha yako yote kwa gharama ya kati ya 900,000 hadi 1,200,000/=

24/11/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

Pindua Sahani Punguza Uzito
17/11/2025

Pindua Sahani Punguza Uzito

Watch, follow, and discover more trending content.

11/11/2025

Epuka Gharama Kubwa Kwa Kuokoa Kati Ya 1,200,000-900,000/= Kila Mwezi Kwa Ajili Ya Matibabu.

Pona Na Okoa Figo Zako Kwa 460,000/= Tu Leo

Kwa Watu Watano Wa Kwanza Watapata Kwa Punguzo La 445,000/= Tu Pamoja Na Utapata Bure Package Maalum Ya Detoxification

Tuma neno FIGO kupata OFFER hii

25/10/2025

Sababu za Pedal Edema

1. Shida za moyo kushindwa kusukuma damu vizuri (congestive heart failure).

2. Shida za figo zikishindwa kutoa maji na chumvi vizuri mwilini.

3. Shida za ini k**a cirrhosis, ambazo hupunguza uwezo wa ini kudhibiti maji mwilini.

4. Mimba kutokana na shinikizo kwenye mishipa ya damu.

Madhara ya Pedal Edema (K**a Haitatibiwa)

1. Maumivu na uzito kwenye miguu.

2. Kuchanika kwa ngozi au vidonda kutokana na shinikizo.

3. Kukosa mzunguko mzuri wa damu, hivyo vidonda kutopona haraka.

4. Dalili za ugonjwa mkubwa k**a moyo, figo, au ini kushindwa kufanya kazi vizuri.

Mwili wako ni matokeo ya mitindo yako ya maisha unayo ishi kila siku??K**a unataka afya bora, nguvu, na mwonekano mzuri....
22/10/2025

Mwili wako ni matokeo ya mitindo yako ya maisha unayo ishi kila siku??

K**a unataka afya bora, nguvu, na mwonekano mzuri.
Anza leo kufanya maamuzi, Zingatia haya

1. Punguza vyakula vyenye sukari, chumvi na mafuta mengi

Vyakula hivi vinaharibu mishipa ya damu na kuchochea magonjwa sugu k**a kisukari, shinikizo la damu na unene kupita kiasi.

2.Fanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku, Mazoezi ni tiba ya mwili na akili.

Husaidia kuchoma bad cholesterol na kuboresha kinga za mwili na afya bora kwa ujumla.

3. Punguza au acha kabisa pombe na soda.

Kunywa maji safi na ya kutosha kila siku— Maji ndiyo booster asilia ya afya yako ya figo na ngozi.

4. Usitumie dawa bila ushauri wa daktari.

Figo zako ni hazina, zilinde kwa kutotumia dawa kiholela kwa kujinunulia duka la dawa bila vipimo au kuandikiwa na dakitari...

5. Linda afya yako ya akili

Epuka video za ngono, punyeto, na tabia zinazoharibu mfumo wa fahamu, Badala yake, soma, tafakari, Omba Mungu kwa imani yako, na tafuta utulivu.

6. Pumzika masaa 7–8 kila usiku.

Ndipo mwili wako hujijenga, akili hupumzika, na homoni zako hurudi katika usawa.

Kubadilisha mtindo wa maisha ni uamuzi wa akili na nidhamu ya moyo.

Fanya medical check-up walau mara mbili kwa mwaka, Afya njema ni matokeo ya ufuatiliaji wa mapema.

Anza leo, Afya yako ni Uwekezaji, sio Gharama

Address

Moshi, Dar Es Salaam
Dodoma
MOSHI

Telephone

+255746334963

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Yako Point posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Yako Point:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram