Afya Zone Tz

Afya Zone Tz DAWA NA USHAURI WA KIDAKTARI KWA MATATIZO YOTE YA KIAFYA
~P.I.P
~U.T.I SUGU
~FUNGUS & MIWASHO
~HORMANAL IMBALANCE
~NGUVU ZA KIUME

FAIDA ZA DR TS TOOTHPASTE.1.Huimarisha meno na fizi.2.Huondoa tatizo  la meno kuoza.3.Huondoa tatizo la harufu mbaya kin...
15/03/2026

FAIDA ZA DR TS TOOTHPASTE.
1.Huimarisha meno na fizi.
2.Huondoa tatizo la meno kuoza.
3.Huondoa tatizo la harufu mbaya kinywani.
4.Hutibu tatizo la meno kumeguka meguka.
5.Hung'arisha meno kwa wenye meno ya njano na brown.
6.Huondoa tatizo la kutokwa damu wakati wa kufanya usafi kinywani.
7.Huwafaa watu wanaosumbuliwa na meno.
8.Hutibu tatizo la fizi kuvimba na kutokwa damu.
9.Huondoa bacteria hatarishi kinywani.

Kwa kutumia dawa ya meno hii basi matatizo yako ya meno yataisha

Kwa wanaohitaji piga 0797 465 110

"JE UNASUMBUKA KUHUSU TATIZO LA  NGUVU ZA KIUME "? ~SOMA HAPA ....~ Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo...
15/03/2026

"JE UNASUMBUKA KUHUSU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME "?

~SOMA HAPA ....

~ Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.

Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo?

"NGUVU ZA KIUME NI NINI ?

Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe.

" NI VIUNGO GANI VINAVYO HUSIKA NA NGUVU ZA KIUME ?

Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.

Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.
Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayopubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k.

"KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME NI NINI ?

Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo na inavyotakiwa. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana.

11/03/2026
*Kisukari* ni ugonjwa unaosababishwa na kiwango cha juu cha sukari (glucose) katika damu. Kisukari hufanyika wakati mwil...
11/03/2026

*Kisukari* ni ugonjwa unaosababishwa na kiwango cha juu cha sukari (glucose) katika damu. Kisukari hufanyika wakati mwili hauwezi kutengeneza insulini ya kutosha au kutumia insulini ipasavyo. Insulini ni homoni inayotengenezwa na kongosho na inahusika katika kusaidia seli za mwili kupokea sukari na kuitumia k**a chanzo cha nishati.

Kuna aina tatu za kisukari:

1.Kisukari cha aina ya 1: Hii ni aina ya kisukari ambayo kongosho haitengenezi insulini kabisa. Inatokea hasa katika watu wadogo au vijana na inahitaji matibabu ya kudumu ya insulini.

2.Kisukari cha aina ya 2: Hii ni aina ya kisukari ambayo mwili huzalisha insulini kidogo au mwili hutumia insulini hiyo vibaya. Inaweza kutokea katika watu wa umri wowote, lakini mara nyingi katika watu wazima na watu walio na tabia ya kuwa na uzito mkubwa, maisha ya kutofanya mazoezi, na urithi wa familia wenye kisukari.

3.Kisukari cha aina ya 3: Hii ni aina ya kisukari ambayo inatokea wakati wa ujauzito. Wanawake wajawazito ambao hawakuwa na kisukari hapo awali wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha sukari katika damu wakati wa ujauzito.

Dalili za kisukari zinaweza kujumuisha:

1.Kiu kikali na kiu ya muda mrefu
2.Kukojoa mara kwa mara
3.Kupungua uzito bila sababu ya wazi
4.Uchovu na upungufu wa nguvu
5.Kupona kwa vidonda polepole
6.Kuwasha ngozi
7.Kuona kwa uchovu

Madhara ya kisukari yanaweza kujumuisha:

1.Matatizo ya moyo na mishipa: Kisukari kinaweza kuathiri mishipa ya damu na kusababisha magonjwa ya moyo, kiharusi, na matatizo mengine ya mzunguko wa damu.

2.Matatizo ya figo: Kisukari kinaweza kusababisha uharibifu wa figo unaofahamika k**a ugonjwa wa figo unaotokana na kisukari.

3.Matatizo ya macho: Kisukari kinaweza kusababisha retinopathy ya kisukari, ambayo ni uharibifu wa mishipa midogo ya damu katika macho, na hatimaye kusababisha upofu.

4.Vidonda na maambukizi: Kisukari kinaweza kupunguza uwezo wa mwili kupambana na maambukizi na kusababisha vidonda vigumu kupona
5.Hupelekea Upungufu wa nguvu za kiume.


*0797 465 110*

FAHAMU TATIZO LA PRESHA YA KUPANDA Ugonjwa wa presha ya kupanda, unaojulikana kitaalamu k**a shinikizo la juu la damu (h...
11/03/2026

FAHAMU TATIZO LA PRESHA YA KUPANDA

Ugonjwa wa presha ya kupanda, unaojulikana kitaalamu k**a shinikizo la juu la damu (hypertension), ni hali ambapo shinikizo la damu ndani ya mishipa linakuwa juu zaidi ya kawaida kwa muda mrefu. Hali hii huongeza mzigo kwa moyo na mishipa ya damu, na inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya k**a vile magonjwa ya moyo, kiharusi, na matatizo ya figo.

■ DALILI ZA PRESHA YA KUPANDA

Mara nyingi presha ya kupanda haina dalili za wazi, lakini baadhi ya watu wanaweza kuhisi:

○ Maumivu ya kichwa mara kwa mara

○ Kizunguzungu

○ Uchovu usio wa kawaida

○ Maono hafifu au matatizo ya kuona

○ Mapigo ya moyo kwenda kasi au kuhisi moyo unadunda vibaya

■ SABABU ZINAZOCHANGIA PRESHA YA KUPANDA

○ Msongo wa mawazo

○ Unene kupita kiasi

○ Lishe isiyo bora (vyakula vyenye chumvi nyingi, mafuta mengi)

○ Kutofanya mazoezi

○ Uvutaji sigara na unywaji pombe kupita kiasi

○ Kurithi kutoka kwa familia

○ Magonjwa mengine k**a ugonjwa wa figo au kisukari

■ MADHARA YA PRESHA YA KUPANDA ISIPOTIBIWA

○ Kiharusi (stroke)

○ Matatizo ya moyo k**a shambulio la moyo (heart attack)

○ Figo kushindwa kufanya kazi vizuri

○ Upofu kutokana na uharibifu wa mishipa ya damu kwenye macho

■ NJIA ZA KUDHIBITI PRESHA

○ Kupunguza matumizi ya chumvi kwenye chakula

○ Kufanya mazoezi mara kwa mara

○ Kupunguza uzito ikiwa una uzito mkubwa

○ Kula matunda, mboga za majani, na vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi

○ Kuepuka msongo wa mawazo

○ Kuepuka sigara na pombe

○ Kutumia virutubisho lishe vya asili

K**A UNAPITIA CHANGAMOTO YA PRESHA KWA MUDA MREFU NA HAUJAPATA SULUHISHO MPAKA SASA TUWASILIANE UPATE SULUHISHO LA KUDUMU

CALL/ WHATSAPP
*0797 465 110*

Jiunge katika group la afya ujifunze dawa za magonjwa sugu k**a vilepidupungufu wa nguvu za kiumekisukaribawasiripresham...
11/03/2026

Jiunge katika group la afya ujifunze dawa za magonjwa sugu k**a vilepidupungufu wa nguvu za kiumekisukaribawasiripreshamiguu kuwaka moto,kuuma,kuvimba,n.k.kutokwa na uchafu ukenifunguskung'arisha uso na ngozi

YOTE HAYO KWA KUTUMIA VYAKULA

https://chat.whatsapp.com/HIUv7KP3WPE44j2dR8thyS?mode=gi_t

Bonyeza hiyo link👆

𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗭𝗔 *VAGINAL CLEANSER* (𝐅𝐞𝐦𝐢𝐧𝐢𝐧𝐞 𝐂𝐥𝐞𝐚𝐧𝐬𝐞𝐫)👉 Hutibu UTI sugu👉 Hutibu Fangasi sugu👉 Inaondoa Miwasho ukeni👉 Inaondoa H...
25/02/2026

𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗭𝗔 *VAGINAL CLEANSER* (𝐅𝐞𝐦𝐢𝐧𝐢𝐧𝐞 𝐂𝐥𝐞𝐚𝐧𝐬𝐞𝐫)
👉 Hutibu UTI sugu
👉 Hutibu Fangasi sugu
👉 Inaondoa Miwasho ukeni
👉 Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉 Inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉 Inasafisha na kuzibua mirija ya uzazi
👉 Inakulinda usipate UTI na Fangasi
👉 Inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉 Inaongeza joto la uke
👉 Inabana Kuta za uke zilizo legea
👉 Inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉 Inarudisha ute ute ukeni
👉 Inatibu PID ikitumika na 𝐑𝐞𝐟𝐢𝐧𝐞𝐝 𝐘𝐮𝐧𝐳𝐡𝐢 𝐄𝐬𝐬𝐞𝐧𝐜𝐞

𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜

Tupigie Sasa Kupitia
0686472843

Message Dkt. MAGEMBE on WhatsApp. https://wa.me/255686472843

*"ANTIDIARR PILLS" ~ Hii ni bidhaa mojawapo ya mfumo wa chakula ambayo imetengenezwa kwa mimea na viungo asilia K**a vil...
18/02/2026

*"ANTIDIARR PILLS"

~ Hii ni bidhaa mojawapo ya mfumo wa chakula ambayo imetengenezwa kwa mimea na viungo asilia K**a vile YELLOW CYPRESS, CINNAMON, LIQUORICE, CLOVE pamoja na DRIED TANGERINE.*

*Moja ya Sifa za ANTIDIARR PILLS ni kutoa Majibu haraka kwa muda mfupi Sana au Ndani ya masaa machache au Dakika kadhaa Mara baada ya kutumia (INSTANTLY RESULTS).*

*KAZI YAKE*
*1️⃣.Inadhibiti na kutibu tumbo la kuhara papo kwa hapo.*
*2️⃣.Inadhibiti kichefuchefu na kutapika.*
*3️⃣.Inatibu tumbo kujaa gesi , Kuwaka Moto Na Kiungulia Kwa Haraka Sana.*
*4️⃣.Inatibu kuvimbiwa.*
*5️⃣.Inatibu typhoid na kuhara ndani ya dakika3.*
*6️⃣.Inatibu meno yanayouma na kuondoa mdudu kwenye meno.*
*7️⃣.Inatibu harufu Mbaya mdomoni.*
*8️⃣.Inaondoa sumu mwilini. Kwa mfano K**a mtu Amekula chakula Chenye sumu, hii dawa ni kiboko yake yaani Hakuna kuchelewesha unaokoa Maisha ya mtu hapo hapo.*
*9️⃣.Inaondoa matatizo ya kukosa hamu ya Kula.*
*🔟.Inatibu vidonda vya tumbo kwa haraka ikitumiwa na CONSITI Relax.*
*11 - *Inamaliza Kabisa Tatizo la *Alkaline Ya Tumbo* ( GERD - GastroEsophagael Reflux Dessease )
*12 ~ .Inaondoa kujisikia vibaya kutokana na uvimbe tumboni.*
*13 ~ Inauwa Minyoo aina Zote Ikiwemo H. Pyrole Inayosababisha Vidonda Vya Tumbo

~ Tunapatikana dodoma uhindini
Tupigie 0686472843

+Karibu tukuhudumie*

18/02/2026

*KWA NINI UKE WAKO UNATOA HARUFU MBAYA...?*

Ni uke ambao hutoa harufu na hutoa uchafu k**a maji maji ya njano k**a maziwa ya mtindi yenye harufu mbaya k**a shombo la samaki

*🛑VISABABISHI VYA UKE KUTOA HARUFU MBAYA*

👉🏼matumizi ya sabuni za antbiotics kujisafishia uke k**a protex,medicatede soap, n.k
👉🏼Kujiingiza vidole ukeni mara kwa mara.
👉🏼Fangasi sugu ukeni
👉🏼U.T.I sugu
👉🏼Kutojisafisha na kujikausha vizuri ukeni
👉🏼Magonjwaa ya zinaa k**a kaswende,gonorea n.k
👉🏼Hormone imbalance
👉🏼Unywaji na ulaji wa vyakula vyenye sukari kwa wingi mara kwa mara.
👉🏼Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mara kwa mara.

- Hii inaitwa *FEMICARE* kiboko ya matatizo yote ya ukeni kwa Sasa inapatikana kwangu
- piga 0686 472 0686 472 843

Dr. Ts TOOTHPASTE➡️Ni dawa ya meno ya asili inayotoa huduma ya 4D kwa meno yako. Dr. Ts ina viambato vinavyokupa ulinzi ...
04/02/2026

Dr. Ts TOOTHPASTE
➡️Ni dawa ya meno ya asili inayotoa huduma ya 4D kwa meno yako. Dr. Ts ina viambato vinavyokupa ulinzi wa jumla wa afya ya kinywa. Kijitu cha bluu cha kusafisha hufanya usafi wa kina, huimarisha enamel ya meno, na huzuia kutoboka kwa meno.

➡️Viambato vya kijani vya mitishamba, k**a notoginseng, chai ya kijani, na lonicera Japonic, huimarisha afya ya meno na fizi, kuondoa harufu mbaya ya kinywa, na kupunguza uvimbe.

FAIDA ZA KUTUMIA Dr. Ts
- 🦷Kusafisha Meno na Kuzuia Meno Kutoboka
- 🦷Huimarisha Meno na Kulinda Enamel
- 🦷Hupunguza kutengeneza ukoga na kuoza kwa meno
- 🦷Huimarisha na kuboresha uimara wa meno
- 🦷Huondoa harufu mbaya ya mdomo (halitosis)
- 🦷Husaidia kulinda dhidi ya magonjwa sugu ya fizi
- 🦷Hutibu maambukizi ya fizi na kuzuia fizi kuvuja damu
- 🦷Hii dawa ya meno inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa katika kudumisha afya ya meno na kutengeneza tena enamel zilizoharibika
- 🦷Inazuia ukuaji wa bakteria hatari kwenye meno

0686 472 843

*ATHARI ZA MVURUGIKO WA HOMONI KWA AFYA YA UZAZI* Umewahi kujiuliza kwa nini hedhi zako mara nyingine hazieleweki, zinac...
04/02/2026

*ATHARI ZA MVURUGIKO WA HOMONI KWA AFYA YA UZAZI*

Umewahi kujiuliza kwa nini hedhi zako mara nyingine hazieleweki, zinachelewa, zinakuwa nzito kupita kiasi, au zinapungua sana?

Au kwa nini unapata maumivu makali usiyozoea kila mwezi? Haya yote siyo mambo ya kawaida; mara nyingi chanzo chake ni mvurugiko wa homoni.

Hali hii inagusa moja kwa moja uwezo wa mwanamke kushika ujauzito na kubaki na mimba salama.

Hebu tuangalie athari zake kwa undani

1. *Kuvurugika kwa Mzunguko wa Hedhi*

Hedhi huja mapema mno au kuchelewa sana.
Wakati mwingine damu huwa nzito kupita kiasi au ni kidogo sana.

👉 Hii inaonyesha homoni za uzazi (Estrogen na Progesterone) hazipo kwenye uwiano sahihi.

2. *Kukosa Ovulation (yai kutokomaa/kutoka)*

Mwanamke anaweza kuona siku zake, lakini yai halitoki.

Bila ovulation, mimba haiwezi kutungwa.

3. *Changamoto za Kushika Mimba*

Mvurugiko wa homoni unasababisha mirija ya uzazi na uterasi kutokuwa tayari kupokea mimba.

Matokeo yake ni kuchelewa kupata ujauzito.

4. *Kuongezeka kwa Hatari ya Mimba Kuharibika*

Ikiwa homoni ya Progesterone iko chini, kuta za uterasi haziwezi kushikilia mimba vizuri.

Hii inasababisha mimba kuharibika mapema.

5. *Maumivu Makali Wakati wa Hedhi*

Homoni zikivurugika, misuli ya uterasi hukaza zaidi.

Hii inaleta maumivu makali yasiyo ya kawaida.

✅ *Hitimisho* :

Ukiona unapata mabadiliko ya hedhi, unachelewa kushika mimba, au maumivu yasiyo ya kawaida ya hedhi, ni ishara kwamba homoni zako hazipo sawa.

Kudhibiti homoni mapema huokoa afya ya uzazi na huondoa changamoto za kushika mimba.

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Benard Rutongot, James Gobo, Master Ke, Felix Felix, Päpä...
24/01/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Benard Rutongot, James Gobo, Master Ke, Felix Felix, Päpä DrÏp, Munene Luckyboy, Hlayisani Chauke, Rass Rasco, Kashumba Clemence, M Bony Man, Bangisa Mobali, Javerine Christophrer, Ibruhim Nashon

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Zone Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram