Afya Na Steven

Afya Na Steven Mtaalamu na Mshauri wa Tiba, afya.

19/03/2026

Unepata maumivu ya tumbo chini ya kitovu?
Tazama video hii mpaka mwisho.

16/03/2026




13/03/2026

12/03/2026
10/03/2026

09/03/2026

Shida siyo uwezo wa kushiriki tendo shida ni idadi ya mbegu unazizalisha.

Tunaposema nguvu za kiume tunaangalia mambo haya matatu;
1. Uwezo wa kusimamisha vizuri uume.
2. Uwezo wa kumfikisha mwenzako kileleni.
3. Ubora wa mbegu (Idadi ya mbegu, shape ya mbegu morphology.)

Jikague uko kundi Gani tukutane kwenye comments.

Changamoto za uzazi Me&ke number kwenye bio tiba ni ya asili na huduma inapatikana mikoa yote Tz na nje ya Tz

05/03/2026

Kujua historia ya maambukizi husaidia kuchukua tahadhari mapema ili kuzuia kuambukizana tena au kusambaza maambukizi.

Baadhi ya maambukizi ya via vya uzazi yasipotibiwa vizuri yanaweza kusababisha madhara k**a PID, utasa, au maumivu ya muda mrefu kwenye nyonga.

Kuzungumza kuhusu historia ya afya kunasaidia kujenga uaminifu, uwajibikaji, na maamuzi bora ya kiafya kwa wote wawili.

03/03/2026

Sio kila njia ya uzazi wa mpango inafaa kwa kila mwanamke.

Mwili wako ni wa pekee, na wathamani, chagua kwa uelewa, si kwa kuiga.

Haya ni makundi manne ya watu wanaotakiwa kutumia Detox haraka sana.Scroll kuendelea..........
22/01/2026

Haya ni makundi manne ya watu wanaotakiwa kutumia Detox haraka sana.

Scroll kuendelea..........

Unakosa choo?Unapata choo kigumu?Unapata kiungulia?Tumbo linajaa gesi?Au tumbo linaunguruma mara kwa mara?Tumia Detoxili...
22/01/2026

Unakosa choo?
Unapata choo kigumu?
Unapata kiungulia?
Tumbo linajaa gesi?
Au tumbo linaunguruma mara kwa mara?

Tumia Detoxilive leo.

Address

Emausi Dodoma
Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Na Steven posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram