Mshauri wa AFYA ya Mwili,Michael Hendeshi

Mshauri wa AFYA ya Mwili,Michael Hendeshi Kushauri Afya na Matibabu

08/03/2026
🌿✨ AFYA YAKO NDIO MTAJI WA MAISHA YAKO ✨🌿Je, unajisikia uchovu wa mwili, maumivu ya viungo, gesi tumboni, au unataka kuj...
07/03/2026

🌿✨ AFYA YAKO NDIO MTAJI WA MAISHA YAKO ✨🌿
Je, unajisikia uchovu wa mwili, maumivu ya viungo, gesi tumboni, au unataka kujua hali halisi ya afya yako?
Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa. Chukua hatua mapema leo!
πŸ₯ KARIBU GCAT CLINIC
Tunatumia mashine za kisasa na wataalamu waliobobea kukusaidia kurejesha afya yako kwa njia salama na ya kisasa.
πŸ”¬ VIPIMO VYA MWILI MZIMA (FULL BODY CHECK-UP)
Tambua mapema hali ya afya yako kupitia vipimo vya kisasa vinavyochunguza mwili mzima kwa haraka na usahihi.
🌿 DETOX – KUONDOA SUMU MWILINI
Teknolojia ya kisasa inayosaidia:
βœ” Kusafisha mwili
βœ” Kuongeza nguvu na uchangamfu
βœ” Kuboresha mzunguko wa damu
βœ” Kupunguza uchovu na maumivu ya mwili
πŸ’†β€β™‚οΈ MASAJI YA KITABIBU (THERAPEUTIC MASSAGE)
Huduma maalum kwa:
β€’ Wagonjwa wa stroke
β€’ Maumivu ya mgongo na viungo
β€’ Uchovu wa mwili
β€’ Kuimarisha mzunguko wa damu
🌱 TIBA LISHE ZA ASILI (Kutoka China)
Tunazo dawa za asili zinazosaidia matatizo mbalimbali k**a:
βœ” Bawasiri
βœ” Fangasi
βœ” UTI
βœ” Gesi na maumivu ya tumbo
βœ” Maumivu ya mgongo na viungo
βœ” Uchovu wa mwili
βœ” Kuimarisha kinga ya mwili
πŸ“ HUDUMA ZETU ZIPO KARIBU YAKO
Tuna vituo mikoa yote ya Tanzania na Zanzibar, hivyo unaweza kupata huduma popote ulipo.
πŸ“ž Mawasiliano
Simu / WhatsApp: 0744 581132
⭐ Usisubiri kuugua sana ndipo uanze kutafuta tiba.
Linda afya yako leo – kwa sababu AFYA YAKO NDIO MTAJI WA MAISHA YAKO.
GCAT CLINIC– Afya Bora, Maisha Bora.

🌿 KITUO CHA AFYA CHA GCAT INTERNATIONAL 🌿"Afya Njema, Maisha Bora"Je, unasumbuliwa na matatizo yafuatayo?βœ… TEZI DUME (Pr...
04/03/2026

🌿 KITUO CHA AFYA CHA GCAT INTERNATIONAL 🌿
"Afya Njema, Maisha Bora"
Je, unasumbuliwa na matatizo yafuatayo?
βœ… TEZI DUME (Prostate)
– Kukojoa mara kwa mara
– Maumivu wakati wa kukojoa
– Mkojo kutoka kidogo kidogo
βœ… BAWASILI (Hemorrhoids)
– Maumivu wakati wa haja kubwa
– Damu wakati wa choo
– Kuwashwa au uvimbe sehemu za haja
βœ… PRESHA (Shinikizo la Damu)
– Kizunguzungu
– Mapigo ya moyo kwenda kasi
– Maumivu ya kichwa mara kwa mara
βœ… KISUKARI (Sukari)
– Kiu kupita kiasi
– Kukojoa mara kwa mara
– Kuchoka bila sababu
πŸ”¬ Tunatoa huduma ya ushauri na ufuatiliaji wa afya kwa uangalizi maalum.
🌿 Dawa zetu ni za asili kabisa, zimetengenezwa kwa kuzingatia viwango vya afya.
πŸ‘¨β€βš•οΈ Huduma ni ya siri, salama na kwa heshima.
πŸ“ Fika leo KITUO CHA AFYA CHA GCAT INTERNATIONAL
πŸ“ž Piga Simu: 0744 581 132
⚠️ Usisubiri hali iwe mbaya β€” Chukua hatua mapema!
Karibu tukuhudumie πŸ’š

πŸ”΄πŸ”΅ GCAT INTERNATIONAL HEALTH CARE πŸ”΅πŸ”΄πŸŒΏ Suluhisho la Afya ya Muda Mrefu 🌿🟒 MAGONJWA SUGU YANAKUSUMBUA?🟒 USIKUBALI KUISHI N...
03/03/2026

πŸ”΄πŸ”΅ GCAT INTERNATIONAL HEALTH CARE πŸ”΅πŸ”΄
🌿 Suluhisho la Afya ya Muda Mrefu 🌿
🟒 MAGONJWA SUGU YANAKUSUMBUA?
🟒 USIKUBALI KUISHI NA MAUMIVU, KUWASHA, AU KUCHOKA!
✨ Tunasaidia kudhibiti na kupunguza:
🟠 Kisukari & Presha (BP)
🟑 Mwili kuwasha bila sababu
🟒 Miguu kuvimba, mishipa kukaza
πŸ”΅ Maumivu ya viungo & mgongo
🟣 Matatizo ya tumbo
🟀 Mafuta mengi mwilini & KITAMBI
πŸ”΄ Uchovu wa mara kwa mara
🟠 Homoni kutokaa sawa
🟑 Changamoto za uzazi (wanaume & wanawake)
🟒 Kinga ya mwili kushuka
πŸ”¬ Kwa nini GCAT International Health Care?
βœ… Vipimo vya kisasa vinavyotambua ugonjwa na chanzo chake
βœ… Tiba lishe maalumu kulingana na tatizo la mgonjwa
βœ… Mashine za kisasa kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini
🟒 Hatubahatishi β€” tunaanzia chanzo cha tatizo
🟒 Afya yako, heshima yetu
πŸ”΄ USIHA NGAIKE TENA!
πŸ“ž PIGA SIMU AU WHATSAPP SASA:
πŸ“± 0744 581 132
🟣 GCAT INTERNATIONAL HEALTH CARE
πŸ‘‰ Njoo tukurejeshee afya yako

03/03/2026
🌿 KITUO CHA AFYA CHA ETENAL INTERNATIONAL HEALTH CARE – SHINYANGA 🌿"Afya Njema, Maisha Bora kwa Wana Shinyanga"πŸ“ Sasa tu...
03/03/2026

🌿 KITUO CHA AFYA CHA ETENAL INTERNATIONAL HEALTH CARE – SHINYANGA 🌿
"Afya Njema, Maisha Bora kwa Wana Shinyanga"
πŸ“ Sasa tumefungua rasmi kituo chetu Shinyanga Mjini!
Je, unasumbuliwa na:
βœ… Magonjwa sugu (Presha, Kisukari, Tezi dume, Bawasili n.k.)
βœ… Mwili kuchoka mara kwa mara
βœ… Maumivu ya muda mrefu yasiyoisha
βœ… Matatizo ya mfumo wa uzazi
βœ… Uzito kupungua au kuongezeka kupita kiasi
πŸ”¬ Tunatoa Vipimo vya kisasa vya kuskani mwili mzima kwa ajili ya kugundua changamoto za afya mapema.
🌱 Tunazo Dawa za Tiba Lishe (bila kemikali) zinazosaidia mwili kujirekebisha na kupambana na magonjwa sugu kwa njia salama.
πŸ’Ό FURSA ZA KAZI ZIPO!
Tunakaribisha watu wenye:
Ujuzi wa Afya
Uzoefu wa Mauzo na Huduma kwa Wateja
Nia ya kujifunza na kufanya kazi kwenye mazingira ya tiba lishe
πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.0744581132
Karibu ETENAL – Huduma Bora kwa Jamii ya Shinyanga!

27/02/2026

AFYA YAKO NDIYO MSINGI WA MAISHA YAKO

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshauri wa AFYA ya Mwili,Michael Hendeshi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram