10/01/2026
kwanza jenga mazoea ya kufanya mazoezi ya Kegels walau reps 50+ kila siku ndani ya mwezi lazima utaona changes
Pia jenga mazoea ya kupata vyakula vya kuimarisha misuri na msukumo wa damu, na mara kadhaa nawaandikia, kitunguu saumu, karafuu, tangawizi, karanga, dark chocolates, kahawa, habat soda (rejea somo hadi mwisho)
Msitawaliwe na uoga haya mambo yanatulika
Muhimu wakati mnatafuta kuwa imara tena msitumie msosi ya kutiwa mafuta mengi, pombe, sukari nyingi katika milo au vinywaji acheni au punguza kisha jiamini kwa kuchukua hatua ndogo ndogo kila siku, everything's gonn' be alright
K**a umepiga sana punyeto miaka ya ujanani na umeanza kuona madhara yake au bado hujaanza kuyaona, nakushauri kuwa na ulazima wa kufanya zoezi hili kila siku walau mara 50 au zaidi ili kuimarisha misuri inayoshikilia uume wako kusimama imara na kuzuia / kuruhusu mbegu kutoka
Wengi wa wahanga wa kupiga punyeto ni kumwaga mapema tena ndani ya sekunde kadhaa kwa sababu ya udhaifu wa misuri, hata ujizuie vipi unajikuta umeachia wazungu tu
Jipe siku 30 za kujiimarisha kupitia hili zoezi
K**a unaona hata hamu ya kufanya tendo imepungua au hujiskii kufanya tendo baada ya kumwaga au unaposhiriki bao la pili inakuchukua muda mrefu kumwaga au wazungu hawatoki kabisa, nakushauri kupata mlo wenye madini ya zinc kwa wingi ili kuongeza kiwango cha uzalishwaji wa homoni ya kiume
Katika kutibu changamoto hizi mwanaume jitahidi kuweka hofu pembeni, ili uweze kuwa imara, inafaa sana kuzingatia sana ulaji wako na kuhakikisha jogoo lako linaweza kusimama imara bila kuwa legevu ili kupenyeza katika uke na kurusha manii mbali kwenye kizazi.
Mwanaume | Unahitaji sana Madini Ya Zinki hasa k**a unaona mambo ya chumbani hayaendi vizuri,
Unaweza kuandaa hii lishe k**a una brenda
Mahitaji ni Karanga Mbichi, Almonds, Korosho, Mbegu za maboga na Tende (tupa mbegu ubakize maganda yake)
Nafaka hizi zina madini ya zinc kwa asilimia zaidi ya 70%
Chukua viambata vyote hivyo, saga vyote kwa pamoja kwenye brenda kisha utaweka maziwa fresh.
Usiongeze sukari wala Asali.
Tumia glass moja kila siku jioni baada ya Mazoezi ya Kegels..
2: ZOEZI LA KEGEL
Kati ya mazoezi yenye faida kubwa ni zoezi hili kwani mbali na kutumika kukata kitambi, kuondoa maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga, zoezi hili linaimarisha sana msuri unaoshikilia uume pindi unapokuwa umesimama [pelvic floor muscle], na usichokijua ni kwamba linathibiti kwa kiwango kikubwa ukuaji wa ngiri na tezi dume.
~Tenga dakika moja au zaidi kufanya zoezi hili ili uwe shuhuda wa maarifa haya
Cha kufanya:
Lala chali, kunja miguu kuelekea kwenye kiuno kisha binua kiuno kuelekea juu kwa sekunde 15 kisha shuka then binua tena kiuno kwa raundi 15 hivi inatosha. [Mimi hulifanya zoezi hili ninapoamka asubuhi na usiku kabla sijalala], unaweza tazama tutorial yake, video zaidi nimekutumia (chuka hatua)
3: MTINDO WA MAISHA [wengi tumeharibikiwa hapa]
Kuwa makini katika katika kile unachokiingiza mwilini na matendo pia, Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe isipokuwa mvinyo mwekundu [k**a imani yako inaruhusu kunywa kiasi], achana upigaji punyeto k**a bado unafanya hivyo kwa kuuminya au kuusugua u**me husababisha kutanua misuri na kuifanya kuwa legevu zaidi na kunywea kuwa k**a wa mtoto, weka mbali picha za ngono maana ndio sababu kubwa ya kupata hamu ya kujichua.
JINSI YA KUANDAA TIBA LISHE
Kwa kuwa mwanaume Unahitaji sana Madini Ya Zinki, Unaweza kuandaa hii lishe k**a una brenda
Mahitaji ni Karanga Mbichi, Almonds, Korosho, Mbegu za maboga na Tende (tupa mbegu ubakize maganda yake)
Nafaka hizi zina madini ya zinc kwa asilimia zaidi ya 70%
Chukua viambata vyote hivyo, saga vyote kwa pamoja kwenye brenda kisha utaweka maziwa fresh.
Usiongeze sukari wala Asali.
Tumia glass moja kila siku jioni baada ya Mazoezi ya Kegels.
Mabadiliko utayapata baada ya siku 15 Tu.
Muhimu mwanaume punguza matumizi ya sukari nyingi katika milo au vinywaji, wacha matumizi ya pombe, sigara na vyakula vyenye mafuta mengi
Ukihitaji dawa iliyoandaliwa kutoka kwetu ipo [JUISI na Mafuta] Kwa ajili ya kuondoa madhara ya punyeto, pia nayo unaweza kuandaa mwenyewe, ni rahisi sana
Tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.
Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa k**a dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.
Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi
MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala
Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za upungufu wa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko ktk tendo la ndoa.
Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari
Ni ya kunywa, na tutaisafirisha mpaka mkoa wako au nchi jirani.
Dawa yetu Unaitumia kwa siku 25 na kumaliza kabisa tatizo la ngu*vu za kiume
Mafuta ya Kunyoosha Uume Pia ya lo, kwa wale waliojichua saana yaan wanavibamia.
Tunapatikana Dodoma Majengo.
Wasiliana nasi kwa Kupiga Simu / WhatsApp 0781918586.
NAKUSISITIZA SANA KATIKA MILO:
Sio kila mlo ni wa kubugia, vyakula vingine huwa si vizuri haswa vyakula hivi vya kisasa.
K**a mwanaume hakikisha katika milo yako ya siku nzima angalau unapata vyakula vitatu au zaidi katika orodha hii, hata k**a ni mara tatu kwa wiki sio mbaya.
Vyakula k**a chaza, pweza, tende, mbegu za maboga, asali ya nyuki wadogo, bamia, ndizi mbivu, mbegu za tikiti, pilipili, zabibu, mvinyo mwekundu, tangawizi, chai ya iliki na mdalasini, vitunguu saumu, viazi vyekundu, unga wa habat sawda, udishe au msamitu, ni vyakula ambavyo kazi yake katika mwili ni pamoja na kuchochea uzalishwaji wa homoni za kiume kwa wingi na kuleta mzunguko wa damu katika mishipa, hivyo hukuwezesha uume kujaa damu na kudumu kwa muda mrefu katika mishipa ya uume wakati wa tendo