29/04/2026
Kujifunza bila kuchukua hatua ni kupoteza muda.
Unaweza kusoma vitabu vingi, kusikiliza ushauri mzuri, na kujaa maarifa… lakini k**a huchukui hatua, hakuna kitakachobadilika.
Mafanikio hayaji kwa kujua pekee — yanakuja pale unapobadilika na kuanza kutenda.
Usiwe mtu wa “najua”… kuwa mtu wa “nafanya.”
Kila unachojifunza leo, anza kukitumia sasa. Hapo ndipo maisha yanabadilika.