Muuguzi wa FB

Muuguzi wa FB Wanadamu Sote ni Sawa, Wahudumiwe Sawa.

Mama mjamzito, jitahidi kupumzika angalau masaa 8 kila siku na kunywa maji mengi
29/04/2026

Mama mjamzito, jitahidi kupumzika angalau masaa 8 kila siku na kunywa maji mengi

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Msengi Menard, Purity Mwendwa, Everny Mc
29/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Msengi Menard, Purity Mwendwa, Everny Mc

🤰Bofya Picha, Ujifunze kuhusu Dalili za Hatari
25/04/2026

🤰Bofya Picha, Ujifunze kuhusu Dalili za Hatari

🫄🫃🤰
25/04/2026

🫄🫃🤰

👍
25/04/2026

👍

26/03/2026

🚨 BREAKING NEWS: Tanzania kuanza kutumia sindano ya kuzuia HIV!

Serikali ya Tanzania iko mbioni kuanza matumizi ya dawa mpya ya sindano ya muda mrefu iitwayo Lenacapavir, ikiwa ni hatua kubwa katika mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI.

💉 Dawa hii ni nini?
Ni dawa ya kisasa ya kuzuia na kudhibiti VVU ambayo:

Inachomwa mara mbili tu kwa mwaka
Hubaki mwilini kwa zaidi ya miezi 6
Huzuia virusi kuzaliana mwilini

✅ Faida zake kwa wananchi:

Hakuna tena ulazima wa kumeza vidonge kila siku
Inaongeza ufuasi wa matibabu
Ina ufanisi mkubwa sana katika kuzuia maambukizi mapya

👥 Nani watanufaika?

-Watu walio katika hatari ya kupata VVU
-Pia kusaidia waliokwisha kuishi na VVU kudhibiti hali yao

⚠️ Muhimu kufahamu:
Hii sio chanjo ya HIV, bali ni dawa ya muda mrefu inayotolewa chini ya usimamizi wa wataalamu wa afya.

🌍 Kwa nini ni hatua kubwa?
Inaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa maambukizi mapya na kurahisisha maisha ya watumiaji wa dawa za VVU.

📢 Hitimisho:
Hii ni hatua muhimu kuelekea Tanzania isiyo na maambukizi mapya ya HIV – mapinduzi katika afya ya umma!

Unaijua😀
04/03/2026

Unaijua😀

💊 Dawa adimu kwa matibabu maalum — ubora wa juu kwa afya bora zaidi.Husaidia katika matibabu ya:✔️ Maambukizi makali ya ...
04/03/2026

💊 Dawa adimu kwa matibabu maalum — ubora wa juu kwa afya bora zaidi.

Husaidia katika matibabu ya:
✔️ Maambukizi makali ya bakteria
✔️ Magonjwa ya mfumo wa kinga kushuka sana mwilini
✔️ Maambukizi sugu yasiyoitikia dawa za kawaida
✔️ Baadhi ya matatizo makubwa ya damu au mwili yanayohitaji tiba maalum

Faida zake:
✔️ Hufanya kazi haraka mwilini
✔️ Huongeza ufanisi wa matibabu kwa wagonjwa mahututi
✔️ Hutengenezwa kwa viwango vya juu vya kitaalamu
✔️ Hutumika chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya 👩‍⚕️👨‍⚕️

✨ Afya Bora, Maisha Bora! Gundua nguvu ya virutubisho adimu k**a Omega-3, Probiotic, Turmeric na vingine vingi vinavyoku...
03/03/2026

✨ Afya Bora, Maisha Bora!

Gundua nguvu ya virutubisho adimu k**a Omega-3, Probiotic, Turmeric na vingine vingi vinavyokusaidia kuimarisha moyo, ubongo, kinga na afya ya mwili kwa ujumla. 💊🌿

Chagua ubora. Chagua afya.
📍 Karibu dukani leo ujipatie unachohitaji kwa mwili wenye nguvu na maisha yenye ubora!

🚨 WATANZANIA WANAPIGWA BEI! 🚨Omega-3 hii hii unayoiona…Maduka ya hapa wanauza mpaka TSH 120,000+ 😳😳Lakini ukweli ni kwam...
03/03/2026

🚨 WATANZANIA WANAPIGWA BEI! 🚨

Omega-3 hii hii unayoiona…
Maduka ya hapa wanauza mpaka TSH 120,000+ 😳😳

Lakini ukweli ni kwamba…
Inaagizwa nje kwa bei nafuu sana!

🐟 OMEGA-3 FISH OIL – HIGH POTENCY (1000–2000mg)
✔️ Afya ya moyo
✔️ Ubongo na kumbukumbu
✔️ Maumivu ya viungo
✔️ Ngozi yenye afya

🔥 Mimi naiagiza direct – hakuna middlemen!
💰 Bei yangu: TSH 75,000 tu

Unaokoa hadi 45,000+ 😎

📦 Stock ni limited – wanaojua thamani wanaagiza mapema.
📲 Comment “OMEGA” au Inbox sasa nikuhudumie.

⚠️ Hii ni supplement (si dawa ya kutibu magonjwa). Matokeo hutofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine.

Fairhaven Health FertilAid for Women 💊 Inasaidia Kupata ujauzito 💰 Bei: Kuanzia takriban kuanzia Tsh. 100,000/= – Tsh. 1...
03/03/2026

Fairhaven Health FertilAid for Women

💊 Inasaidia Kupata ujauzito

💰 Bei: Kuanzia takriban kuanzia Tsh. 100,000/= – Tsh. 180,000/= (K**a utahitaji andika namba kwenye kom*nti, alafu nitakuunga kwenye group la hizi Dawa.

Unajaribu kupata ujauzito? FertilAid for Women ni supplement maarufu iliyotengenezwa kusaidia:

💓 Kusaidia mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida
💓 Kusaidia hormone balance
💓Pre-conception nutritional support
💓Imeundwa kwa viambato k**a Vitex, folate na iron

Ukweli Ni kwamba hii dawa ni chaguo la wanawake wengi wanaojiandaa kwa ujauzito.

Karibuni
01/03/2026

Karibuni

Address

Buswelu
Ilemera

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muuguzi wa FB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share