22/11/2025
Maambukizi husababisha uvimbe (inflammation) kwenye mfuko wa uzazi na ovari.
Uvimbe huu hubadilisha homoni, na hivyo mzunguko wa hedhi unakuwa usiotabirika.
➡️ Matokeo yake: hedhi inaweza kuwa nzito, nyepesi, kuchelewa, kuja mapema, au kuwa na maumivu makali.
chaula health Solution
0742167265