02/11/2022
Kwa wale ambao hufanyia mazoez gymnasium(gym), namimi nafanyia mazoezi gym siku hizi. Nakwenda mara 3 mpaka 5 kwa wiki. Kila niendapo natumia lisaa limoja na nusu mpaka mawili na nusu. Lakini pia bado nakimbia mara 4 kila wiki na mara moja kati ya hizo 4 huwa nakimbia umbali usiopungua kilometa 21π€πΏπ€πΏ