15/01/2026
Vijana wengi hupuuza dalili ndogo za mwili kwa kusema"ni kawaida".
Ukweli ni kwamba ,mwili huanza kutoa ishara mapema kabla matatizo hayajawa makubwa.
Elimu sahihi hukupa nguvu ya kujilinda mapema.